Uhalisia wa matokeo ya kidato cha nne 2012: Nini kimepelekea kufeli huku?

Uhalisia wa matokeo ya kidato cha nne 2012: Nini kimepelekea kufeli huku?

waalimu walishasema wakati wa migomo yao, hamkuwaelewa?tutegemee mabaya zaidi kama madai ya waalimu hayatazingatiwa. mimi ni mwalimu tunajua tunachofanya!
 
tatizo si walimu hao watoto ni mitatizo. UWEZO WAO WA KUFIKIRI UPO CHINI ZAID YA KIWANGO CHA KAWAIDA AMBACHO WALIPASWA KUWANACHO!
 
Hivi Tanzania kuna serikali kweli au genge la walanguzi wa madaraka na kuyatumia kupora rasilimali za nchi????
 
Matokeo ya kidato cha nne yanathibitisha hoja ya James Mbatia kuhusu udaifu wa elimu na kukosekana kwa mitaala. Nimefurahi kuona viongozi wa CCM wakiwa wakwanza kuonyesha mstuko kutokana na ubaya wa matokeo hayo. Ifuatayo ni post Ya January Makamba aliyoituma kwenye page yake ya facebook;

•
January Y. Makamba

Disastrous Form 4 Results. Div 1 - 1,641; Div 2 - 6,453; Div 3 - 15,426; Div 4 - 103,327; Div 0 - 240,903. Div 1-3: Boys 16,342, Girls 7,178.

We need to have a national conversation about education in Tanzania. We need to do something. URGENTLY. New Katiba is fine but this is the future.

Je hii si kukumbuka shuka asubuhi?
 
inasikitisha, anyway waziri elimu anadai tanzania ni muungano wa tanganyika na zimbabwe huyu kweli anaweza chochea elimu.
 
tatizo si walimu hao watoto ni mitatizo. UWEZO WAO WA KUFIKIRI UPO CHINI ZAID YA KIWANGO CHA KAWAIDA AMBACHO WALIPASWA KUWANACHO!
Hili linasababishwa na siasa zilipo kwenye matokeo ya darasa la saba na kidato cha pili imesababisha wengi wasistahili kufika form 4 wamefika,maana haiwezekani mtu afaulu vzr form 2 halafu asilimia kubwa yaani 86% kwa haya matokeo ije ifeli form4.uzuri hawa NECTA hawana siasa hata kidogo pia hata nature ya mitihani yao kama hujui utajulikana tu
 
Na kweli hueleweki!!
Nahs face book, bbm, twitter, jf etc wamechangia kufeli kwa hawa viumbe,
Kizaz cha .com kaz kweli kweli
 
Asilimia 67 ya wanafunzihawataendelea na masoo ya ainayoyote maana wamefeli kwa mujiu wa necta,hivyo imethibitisha mgomo wa waalimu uko hai kama walivyosema wao kuwa serikalihaiwezi kuwalazimisha kufundisha ingawa inaweza kuwalazimisha kwenda ktk majengo ya shule, sasa sijui kwa madaktari wagonjwa wangapi wanakufa kwa kukosa huduma, jamani tanzania nchibyangu nakulilia umeingia ktk dimbwi laumaskii wa akili kwa sababu ya CCM. What else can we do now going forward?
 
nahisi ndio maana hawajaweka majina ili usijue mtoto wa nani kafeli ila its dis appointing sana yaaani hizo div 0 hadi kero

hahahahah,thanks God Mdogo wangu kafanya vizuri..hali ni mbaya sana.watu wanapumulia mipira mingi.
 
Ndugu zanguni hatutafika???!!!!

Baada ya matokeo kutangazwa nilikuwa karibu na baadhi ya walimu wakishangalia kwa vifijo na ndelemo huku wakisema "our mission was perfect implemented"

Aaahahaha kumbe ni mpango uliopangwa toka kwa wakuu wa chama cha walimu that wanafunzi wafelishwe ili madai yao yasikilizwe na serikali....

Ukwel wa tetesi nilizozipata na zina uhakika waalimu waliosahihisha karatasi walifanya hvyo kimakusudi na walikuwa wanatia mikasi tu .....

Mbaya zaidi hata hzo karatasi alizozionyesha waziri walimu waliziweka kimakusudi ili wanafunzi waonekane walishindwa kujibu paper!!!


Chondo chonde ndugu zangun waalimu hyo si njia sahihi ya kudai haki zenu!!!!!

Kuwen waungwana mlichowafanyia wadogo zetu siyo kabisaaaaaa!!!!


Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
ndo unaendelea huo.ccm walifikiri kwenda mahakamani kngesaidia kitu.walijidanganya na wanajua.hali itaendelea kuwa mbaya kuelekea 2015.
 
Ya ni mmoja wa waliohuzunika sana matokeo ya form form 4 mwaaka huu
sikuwah kufwatilia matokeo haya huko nyuma ila leo nikiwa kwenye basi waziri wa elimu
akatangaza idadi ya waliofanya mtihan na waliopata div zero niliomba kushuka moroco
niombe sehemu ya kupunguza haja kubwa

si kwamba nimemaliza form 4 la hasha ni uchungu wa wenzangu kwa walioyapata najua na imani
wengi wa hawa ni wale waliotoka maisha na familia duni ndugu zanguni ni maombi yangu kwa watanzania
si muda muafaka wa kuanza kuwacheka ni muda maalum wa kuwaombea mungu awape nguvu za kuendelea na masomo kwa kuresit...naamini wapoo mawaziri wabunge walioamua kufia na div zero/iv zao ndugu yangu kama uko hapa jamvini leo hii nakuletea ujumbe kutoka kwa bwana

jioniiiii ya reooo mungu napenda kukwambia usikate tamaaa kuwa na imani mungu wa mbingun alikujua kabla ujazaliwa anajua wewe unakwenda kuwa nani katika nchii aijlishi kuongoza nchi hata ndege utaongoza kupitia matokeo haya mungu akupe nguvu ya kuweza kuendela na kufanikiwa kimasomo

""better is not good enough the best is yet to come """"""""""""
 
Matokeo ya kidato cha nne yaliyo tangazwa leo mda sio mrefu na waziri wa Elimu Dr.Shukuru Kawambwa amesema wanafunzi 24 waliandika matusi kwenya booksheet zao za kujibia mtihani .Na hivyo kwa mujibu wa kanunu za baraza kifungu number 6(c) wanafunzi hao wanafutiwa mtihani
trend hii ya wanafunzi kufanya mambo ya ajabu inazdi kuongezeka baada ya yule mwanafunziwa mwaka juzi (2011) aliyeandika nyimbo za bongo freva

£ Swali lawama hizi za watoto hawa abebe nani?

A. Wazazi waliowaacha wototo wao wakue hovyo hovyo bila ya malezi mazuri
B. Serikali ambayo imeshindwa kubadilisha syllabus zinazo endana na wakati na kuwalipa walimu mafao yao vizuri ili waweze kuwa na moyo mmoja wa kuwa monitor hawa watoto

C .Au walaumiwe watoto wenyewe kizazi cha nyoka?
 
ukitaka kujua uhondo wa ngoma ingia ndani ucheze
kama unaona wadogo zako wameonewa ruksa kukata rufaa mkuu
 
Back
Top Bottom