Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni kweli unalosema ila kwakuuwa tumezoea kujisifia kwa namba hiyo wanaweza kuitumia kama kigezo kwamba watoto wote wa masikini wamepata mkopo 100 percnt.Lakini wapiga kura wengi watakua ni wale walio baki mitaaani na waliopata division zero.....
Sidhani kama target yao ndio hiyo walifikiri vema katika hili....
necta wametangaza matokeo..jamani watu wamefeli sana, hiki kizazi sijui kinaelekea wapi..hali ni tete!
Hongera kwa waliofaulu, waliofeli ni wao kujipanga sana.
Kwa mujibu wa habari hii chini, tunaweza kusema:
kati ya wanafunzi 397,136 waliofanya mtihani; 240,750 walipata sifuri!
- division i - 1,641 => 0.41%
- division ii - 6,453 => 1.62%
- division iii - 15,426 => 3.88%
- division iv - 103,327 => 26.02%
- division 0 = [397,136 - (1,641+6,453+15,426+103,327)] -> 270,289 => 68.06%
Swala si matokeo, mwenendo mzima wa elimu yetu kwa sasa asiyeuona kama unakasoro huyo ni kipofu.
kama taifa halina mtaala waelimu unategemea nini? Hakuna waalimu ,vitabu wala maabara mnategemea wafaulu kwa nguvu za kiza? Kwanza nawapongeza sana waliofeli na waliofaulu. Bungeni tukisema sana tunaambiwa wakorofi wadogo zetu wakifeli hawasoni kipindi cha kampeninecta wametangaza matokeo..jamani watu wamefeli sana, hiki kizazi sijui kinaelekea wapi..hali ni tete!
Hongera kwa waliofaulu, waliofeli ni wao kujipanga sana.
Kwa mujibu wa habari hii chini, tunaweza kusema:
kati ya wanafunzi 397,136 waliofanya mtihani; 240,750 walipata sifuri!
- division i - 1,641 => 0.41%
- division ii - 6,453 => 1.62%
- division iii - 15,426 => 3.88%
- division iv - 103,327 => 26.02%
- division 0 = [397,136 - (1,641+6,453+15,426+103,327)] -> 270,289 => 68.06%
Naomba nikuwekee ujumbe wangu niliouweka face book jana kukuthibitishia kwamba ninatambua kuwa shule inahitaji washikadau wanne muhimu, serikali, wanafunzi, walimu na wazazi, lakini kiliochangu ni kwamba serikali haijatekeleza wajibu wake ipasavyo, kwanza rejea maelezo ya Kawambwa jana, nafahamu kabisa kuwa uzaifu wa elimu nchini hauwezi kuongelewa kwa kigezo kimoja tu, lakini kwa nini serikali ya ccm juzi ilitupilia mbali hoja binafsi ya Mbatia?utambulisho wako wa jina humu JF na unachochangia havina mahusiano kabisa, swala la mtu kufikia hitimisho kabla hata ya kujua kinachoendelea ndio tamaduni na desturi ya watanzania.
tiririsha hoja za msingi ndio ulete hitimisho, sio kukaa kulalamikia serikali kila siku kupitia chama tawala, wakati mitoto yenu haipendi kusoma na wala wazazi hamtoi msukumo kwa watoto kusoma. Unadhani serikali itakugongea hodi kuja kumuhamasisha mwanao apende kusoma? wote tumepitia mazingira hayo hayo maguju, lakini tumetimiza malengo yetu.