MbondeiAsilia
Member
- Oct 20, 2016
- 65
- 36
Juma chief imani yangu ni juu ya upendo na utu wema ,Tuna imani nyingi sana duniani tunacho paswa ni kuelimishana kwa kuheshimiana bila kudhuriana .Jukumu la maamuzi bado linabaki kwa muelimishwaji njia ipi kwake anaona itakuwa muafaka kuifuata .Tarmud ndio tulichokuwa tunakiongelea na ndio maana nilirudi huko[emoji1] [emoji1] .nicheke kdg..!!..hapo ni sawa na kusema huwezi kuwahukumu shoga's wala kuwakemea.. kwani wewe nani..??..wakati tendo hilo limelaaniwa kabisa kwa ushahidi wa maandiko ya vitabu vya dini....
umerudi kwenye mstari kuhusu mtoa mada na hoja yake kuhusu tarmud...
.