Uhalisia wa taifa la Israeli

Hivi unajuwa chanzo cha mujahedeen ni Urusi kuivamia Afghanstan? Je unajuwa kwamba first mission ya Osama bin Laden ni Afghanistan alikwenda kujiunga na mujaheeden kupambana na majeshj ya uvamizi ya warusi?

Kwa lugha nyingine kama si Urusi kuivamia Afghanistan huenda basi hata Al qaeda isingeanzishwa na Osama asingekuwa gaidi.

Dini yako inakusisitiza iqraa-soma.
 
Mie kitu ambacho huwa najiuliza pasipo kupata majibu,ni kwa nini duniani watu wenye rangi nyeusi ni wachache sana kuliko wenye rangi nyeupe? Ukiangalia wachina,wahindi,waarabu,wazungu,wa asia wote ni weupe.karibu mabara yote!
Hao wachache ndio wateule wa Mungu usiumize tena akili yako.
 
Huyu nae akili kama za Bashite
 
Huyu nae akili kama za Bashite
 
Huyu nae akili kama za Bashite
 
Juu ya wamisiri kuwa weusi husibishe kijana, kuna mkakati ulifanyika kuwaondoa weus kaskazini mwa Africa hawa waarab wote ni wageni kijana
 
Ni vema kama ungelianza wewe kutujulisha ulichowahi kuhoji ni nini, wewe ulishawahi kuhoji juu ya kitabu kile kilichoshushwa na MUNGU, alafu hicho hicho kikawaagiza mkazitafute biblia na kuzisoma akili za watu bwana
 
Asilimia 90 ya Watanzania ni Wana wa Abraham. Historia inaonyesha makabila mengi Tanzania wametokea kaskazini
 
Ndo kama ulivyoviweka, nadhani unajua tofauti kati ya dark na black... Egyptian are dark so was israelites
Wayahudi waliishi Misri miaka mingi lugha yao na rangi yao hufanana kwa sababu ya kuzaliana
 
Kiufupi elewa kuwa Bantu na Negroes ndio Wana wa Abraham
 
Wewe ndio mbumbumbu, waebrania ni Wana wa Abraham na Waisrael ni moja ya Wana wa Abraham
 
Kwa mwenye taarifa sahihi kuhusu Israel ni taifa au Dini anieleweshe
 
Kwa mwenye taarifa sahihi kuhusu Israel ni taifa au Dini anieleweshe
Israel ni jina la Yakobo mwana wa Isaka mwana wa Abraham. Uzao wa Yakobo (Israel) ndio ulioshushiwa manabii wa Mungu hivyo kupatikana kwa dini kupitia uzao wa Israel.
 
Wana watakatifu wa Israeli, hawakuwa Mayahudi. Tofautisha Kizazi cha Jakubu na Mayahudi. Ni vitu viwili tofauti.
Huwezi kutofautisha Kati ya myahudi na muisrael maana Wayahudi ni moja ya makabila 12 ya Israel ambalo ni kabila la Yuda alikotoka Yesu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…