Uhalisia wa taifa la Israeli

Vifungu vya kitabu cha wimbo ulio bora hujavielewa..
Mwandishi kila anaposema ana ngozi nyeusi anaelezea na sababu iliyomfanya kuwa na ngozi nyeusi.
Kuna sehemu kasema ni njaa,kuna sehemu kasema ni mateso.
Kumbe basi huenda hakuwa na ngozi nyeusi ila kutokana na maadhi ya madhila aliyopata ndio yakapelekea kuwa na ngozi nyeusi.
Rudia kuisoma hiyo mistari utaelewa
 
Sasa ww umeyajuaje?
 
Ww umejuaje,una ushahidi?
 
Wamisri ni dark kabisaa..... Baada ya kuingiliana na waarabu ndo wamekuwa weupe by some extent, ila mpaka sasa majority yao kuna dark wengibsana.... Wamisri hawajawahi kuwa weupe ilo lipo wazi kabisa.
Mbona salah ni mweupe..kwenye timu yao ya taifa kuna black wangapi?
 
weka hivyo fivungu hapa basi tuvinyambue
 
Mbona salah ni mweupe..kwenye timu yao ya taifa kuna black wangapi?
Hapa inaongelewa misri ya enzi za kina Abraham sio misri ya hawa waarabu waliotokea mashariki ya kati baadae sana so unapoongelea historia usiangalie ya sasa angalia ya nyuma ukitaka kujua hilo jiulize kivipi Wale watu weusi kabisa wazimbabwe wamegundulika ni pure ISRAELITES kuliko hata hao waashkenazi waliopo ISRAEL ya sasa
 
Aaah ok nimeelewa kwa hiyo manabii waliopita walikua wayahudi
nisawa na kuuliza watu wa zamani(1964 kushuka chini) kwenye hili taifa walikuwa watanzania!
mwanzo lilikuwa taifa moja linaitwa israel lenye kabila 12 ndani yake so manabii wa kipindi hicho walikuwa waisrael au wana wa israel then baadaye kabila 10 zikajitenga zikaanzisha taifa lao na zile kabila 2 zilizobaki zikaendeleza yale yoote yaliyokuwa yanafanywa awali wakati zikiwa kabila 12 ,hili taifa lililobakia la kabila 2 ndio likachukua jina Yahudi(Jews) au wayahudi dini walioyokuwa wanaifuata ni ile ile ya zamani wakati taifa likiwa na kabila 12,so manabii waliofuata walikuwa wanafuata dini ile ile ya zamani,so ukiita dini ya kiyahudi/ unazungumzia kitu kile kile na ukisema manabii wa zamani walikuwa wanawa israel na walikuwa wanafuata dini ya israel bado dini hiyo hiyo ina msingi moja (Torati) ila kwa vipindi tofauti,kipindi likiwa taifa la kabila 12 (dini ya wana wa israel) na kipindi likiwa taifa la kabila 2(dini ya kiyahudi), na usibabaike na dini,Dini ni taratibu tu au njia ambazo tumejiwekea wanadamu namna ya kumuabu Mungu

NB:
Wayahudi sio kabila bali ni Taifa ambalo ndani yake kuna kabila 2 (YUDA na Benjamini)
Wasamaria sio kabila bali ni taifa lina kabila zile 10 zilizojitenga
Israel sio kabila bali ni Taifa ambalo ndani yake kuna kabila 12 (wana wa Yakobo wale 12)
 

Napataje number zako Mzee za simu nataka kujua mengi kupitia wew tafadhali
 

fact upo vizurii sana nimekucheki number zangu inbox unipe maarifa zaidi mkuu
 
Mkuu kwa sasa usije kutegemea tena Israel kupigwa(huu ni ukweli mchungu sana sana masikioni mwa wengi) hawa jamaa wameteseka sana, wameteswa sana wakateswa, miaka 400 waliyoteswa pale Misri si midogo, mateso ya mwisho ni kwa Hitra Adolf, kwa sasa hawatapigwa wala kushindwa tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…