Uhalisia wa taifa la Israeli

Uhalisia wa taifa la Israeli

Checking...20%
Searching...0%
Network loading !

Near by Soweto Mbeya.
 
Mi nawazia hiyo laan unayoiongela wewe ya kumkataa Yesu,

Je Yesu hakusema baba wasamehe maana hawakui walietendalo? Je hakusema Imeisha, nini ilikua maana ya maneno hao,
Wakristo tuaminivyo baada ya Yesu kufa kila kitu kilifutwa na mambo yakaanza upya, ina maana hiyo laana yao haikuwa kwenye hesabu ya huo msamaha.

Pia hebu nisaidie hao wayahud unaowaongela wapo utumwani wapo nchi gan?
Checking...100%
Searching...100%
Network connected !

Near by Soweto Mbeya.
 
wewe pia utuelimishe rangi yao mkuu
Mengine umeandika vizuri lakini kusema kwamba waMisri ni weusi nimeshindwa kukuelewa. Unaweza kuwa na point lkn ukiandika kiushabiki na umbumbumbu taarifa inakosa maana na hatima yake ni kukataliwa. Unataka niwaonee huruma wapalestina!!! nitafaidika nini? si heri niwatambue wayahudi hata kama sio sahihi maana angalau kuna maendeleo naweza faidika kuliko kuhubiri ugaidi wakati wote.
 
Waisrael wa kweli ni wapelestina,hawa walioko leo israel sio wapelestina ni watu waliokusanywa kutoka mataifa mbalimbali kuhalalisha uvamizi wa nchi ya wapalestina,Wapalestina wa kweli ni wuzao wa shem(semitic) ambao wataalamu wa DNA wanakiri kuwa hawa akina Netanyau sio waisraeli kindaki ndaki
wamefanikiwa sana kuuingiza huu mgogoro kwenye sura za kiimani yaani wengi tunahisi waisrael ndio wakristo wa kweli na Wapalestina wanaopigwa ni waislam lakini ukweli ni kwamba wanaouawa palestina ni watu wa dini zot, pi a kupitia imani wameweza kuwaamnisha wakristo wengi duniani waamini kuwa hawa Mazayuni (wale waliovamia palestina) wanafanya vile ili kutimiza maandiko na wana haki ya kufanya vile na wanastahiri msaada,lakini ukweli ni kwamba hawa mazayuni hawajui hata rangi ya kanisa illivyo na wala Yesu si agenda yao kabisa
Tusomeni vitabu tuujue ukweli
 
kuhusu weusi,ukifuata history itakwambia kuna kipindi Cush empire ilijipanua mpaka misri hadi caanan,
wacush ni weusi,that is why,damu zikaingiliana.
Kuhusu huwezi faidika na kitu ukiwaunga mkono wapalestina,kwani kwa hawa wazungu wa israel unafaidika nini mkuu?,
netanyau kaja africa juzi hajaacha hata kitu cha kuonyesha atawafaidisha nini.
Heri wapalestina kipindi cha mapambano ya makaburu walikuwa na mchango wa katika mapambano.
Ukiona wayahudi wanakuletea msaada ujue kuna interest zao hapo zimejificha.

Kama sikosei kwa mjibu wa bible alieambiwa ,atakaekulaani nami nitamlaani,ni Abraham.
Abraham ni baba wa mataifa mengi sio israel pekee,
abrahamu hakuwa myahudi,

wayahudi ni watu cunning,wakayageuza maandiko,na kuiba baraka za Mungu kwa abrahamu ili ionekane wao ndo walibarikiwa.
Yaani kama yakobo alivyomtapeli babake isaka na kupora baraka za Esau,wana wa jacobo,yaani waisrael wakajiporea baraka zoooote za Mungu kwa abrahamu ziwe zao pekee,
wakayaspin maandiko na kujianzishia mungu wa taifa lao pekee,Hao ndio wayahudi wamejaa hila kuliko binadamu yeyote.
Wanatukuza kipande cha ardhi kuliko wanavyomtukuza mungu,kwasababu mungu wao anahusianishwa na mambo ya ardhi
hongera mkuu
 
Yaani waafrika akili zetu zipo kwenye mikundu yetu. Hao wayahudi wanavyowadhalilisha wapelestina kwa kuwaua na kupora ardhi zao ambayo ni sawa na wale makaburu au wakoloni walivyotufanyia waafrika. Lakini leo hii anaepigania haki yake kama wapelestina wanaitwa magaidi hata ANC ya Afrika kusini wakati walipokuwa wanatafuta haki walikuwa branded na mataifa ya magharibi kama magaidi. Na wapigania uhuru wote walikuwa wanaitwa magaidi. Someni mjue.
 
Yaani waafrika akili zetu zipo kwenye mikundu yetu. Hao wayahudi wanavyowadhalilisha wapelestina kwa kuwaua na kupora ardhi zao ambayo ni sawa na wale makaburu au wakoloni walivyotufanyia waafrika. Lakini leo hii anaepigania haki yake kama wapelestina wanaitwa magaidi hata ANC ya Afrika kusini wakati walipokuwa wanatafuta haki walikuwa branded na mataifa ya magharibi kama magaidi. Na wapigania uhuru wote walikuwa wanaitwa magaidi. Someni mjue.
umeongea point kubwasana
mkuu ila edit utoe hilo neno hapo juu
 
Kama utakuwa na mda jiongezee maarifa kwa kutafiti Yafuatayo,,,kush/cush sio Africa bali ni maeneo yanayohusiana na mesapotamia,,,Armageddon sio vita yenye lengo la kuiadhibu Israeli ila ni vita yenye kuleta mwisho wa mfumo wa mema na mabaya aliouasisi Adam na Eva,,,,jambo la kutafiti zaidi ni labda patakapokuwa eneo la tukio labda ndio palikuwa mwanzo wa tukio....Umeiongelea Israel ili kuridhisha hisia zako na wala hukupenda kujikita kwenye ukweli.
 
Dah hii maada si mchezo kwa tunaopenda jifunza, ni wazo la kulipitia.

Ila nijuavyo Mimi mtoa maada haomaanishi ukiwa mweeema saana ndio unapokelewa na Mungu...yeye ni exception sana hasa unapokuja ktk sawala zima la imani.

Umetoa nukuu kwenye kumbukumbu la torati juu ya masharti ya kufata ili ubarikiwa... Naukasema ukimwona MTU muovi then anabarikiwa basi si Baraka toka kwa Mungu...anyway sijui rangi ya ngozi ya mfalme Daudi. Ila kumbuka huyu jamaa alipenda sana totoz alimtwaa mke wa askari wake na kumua jamaa ili awe na mke wake?

Lakini Daudi pamoja na hayo Mungu alimtakabali na akambariki saana na zaidi mfalme tajiri saana kuwahi tokea Suleiman ni mtoto wa mke wa askari wa Daudi ambae alimuua kwa kutoa oda!!

Anyway vyema jifunza na kusoma historia Ila ishu ya imani ni ngumu kulewela...na kuna maandiko mengi tu, rejea ktk mji wa Yeriko waliojidai kumcha Mungu waliangamia Ila rahabu aliyeitwa kahaba akapona.

Nifananishe tu ishu ya Bashite na Mkuu Watu wanamwona Bashite ni mkosaji saana Ila mkuu haoni hayo!

Kuhusu makabira 12 ya Israeli kabila moja ndio lavuma saana Yuda the rest yawezekana ikawa wahusu pia jamii ya Afrika, maana pana ushahidi wa kihistoria kwamba Suleiman alizaa na Malkia wa Eithopia waenzi hizo Sheba baada ya kwenda staajabu hekima za mfalme Mwana wa Daudi.

Pia unesema kuhusu waisraeli wasasa kwamba wanamiliki kila kitu vyombo vya Habari hadi huko Hollywood makampuni ya sinema...so warhibitisha hao jamaa ni wabarikiwa pamoja na uovu wao,?? Maana kama sivyo usinge wamention au wasingenekana sehemi tofauti tofauti.

Tuendelea jifunza zaidi shukrani kwa post ya kufikirisha!
 
Huwezi kutofautisha Kati ya myahudi na muisrael maana Wayahudi ni moja ya makabila 12 ya Israel ambalo ni kabila la Yuda alikotoka Yesu
Tafuta waosia wa mwisho wa Musa kwa Yuda ni uone ndio maana jamaa yupo hivyo alivyo kushinda kabila nyingine 11!
 
Hivi kumbe Yesu ni Mungu..!!?[emoji144] ebu mnifafanulie vizuri hili swala..
 
Hivi unajuwa chanzo cha mujahedeen ni Urusi kuivamia Afghanstan? Je unajuwa kwamba first mission ya Osama bin Laden ni Afghanistan alikwenda kujiunga na mujaheeden kupambana na majeshj ya uvamizi ya warusi?

Kwa lugha nyingine kama si Urusi kuivamia Afghanistan huenda basi hata Al qaeda isingeanzishwa na Osama asingekuwa gaidi.

Dini yako inakusisitiza iqraa-soma.
Yani unaangaika hawaelewagi hawa jamaa wakikariri wamekariri
 
Kwa mwenye taarifa sahihi kuhusu Israel ni taifa au Dini anieleweshe
Israel ni taifa
Ndani yake kuna dini nyingine tuu kama
Judaism (kuu),inafata uislamu ndo wapili kwa wingi halafu ukristo watatu kwa idadi
 
Huwezi kutofautisha Kati ya myahudi na muisrael maana Wayahudi ni moja ya makabila 12 ya Israel ambalo ni kabila la Yuda alikotoka Yesu
Hizi tribes ukisoma historia vizuri baada ya mfalme Suleiman zilipasuka yani wakajitenga into two nations
1. Northern kingdom( Israel walijiita)
2.Judea ( south) hawando wayahudi
Then wakavamiwa wakatawanywa Israel ilihasirika zaidi maana waashuru waliwaua sana na kuwateka utumwani huku wakichukua binti wa kiisrael

Machotara hawa wakaitwa wasamaria ambao kipindi cha yesu walitengwa na wayahudi na kuwachukulia kama watu wamataifa

Makabila mengine ya Israel yalitawanyika even before Jesus
 
Huwezi kutofautisha Kati ya myahudi na muisrael maana Wayahudi ni moja ya makabila 12 ya Israel ambalo ni kabila la Yuda alikotoka Yesu
Kabila ya yuda aka juda ndio Negro wa sasa wale waliouzwa kwenye trans saharan trade trouth west africa to usa
 
Back
Top Bottom