Uhalisia wa taifa la Israeli

Uhalisia wa taifa la Israeli

OK. Mtumishi. Kuhusu jina Ebrania na maana take soma Mwanzo 39:14-17 na Kutoka 2:6. Mwanzo inazungumzia pale Yusuph maana yakobo alipouzwa kwa Potifa na mke wa potifa akamuita Mwebrania. Jihoji kwanini amuite mwebrania wakati yeye Yusuph ndiye Muisrael wa kwanza kufika Misri.

Kutoka 2:6 Inazungumzia mototo Musa alipookotwa wamisiri waliitambua kama Muebrania.
Mkuu uzao wote wa Abraham ,pamoja na msafara wake akina lutu,mkewe na wafanyakazi wao kwa pamoja waliitwa waebrania

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na ukisoma kwenye quran takatifu kuna aya inamtaja urusi kupewa huo ufalme

Kwa mfano tu. Tangu niijue urusi sijawahi kusikia tabia ya kijinga ikianzia kule kama ushoga usagaji ubabe uonevu hawaoneagi hawa jamaa huwatetea wenye haki kama assad na wale raia wa ukraine. Yawezekana ikawa kweli maana nilisikia sheikh akihubiri haya ndio maana palestina hachoki kupigana nao anaamini ipo siku maana hata rahis wa misri aliwahi kusema sitaelewana na waisrael maana walitoka misri wakiwa weusi wamefika israel wakiwa weusi.
Nawasilisha.
Umeandika nini sasa nawewe kuwa makini kijana,usijitoe akili kwa sababu ya dini bana umeisoma historia ya urusi wewe vizuri wacommunist ni makatili tu ,
Kamsome Stalin hafu ulete aya zako hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waisrael wa kweli ni wapelestina,hawa walioko leo israel sio wapelestina ni watu waliokusanywa kutoka mataifa mbalimbali kuhalalisha uvamizi wa nchi ya wapalestina,Wapalestina wa kweli ni wuzao wa shem(semitic) ambao wataalamu wa DNA wanakiri kuwa hawa akina Netanyau sio waisraeli kindaki ndaki
wamefanikiwa sana kuuingiza huu mgogoro kwenye sura za kiimani yaani wengi tunahisi waisrael ndio wakristo wa kweli na Wapalestina wanaopigwa ni waislam lakini ukweli ni kwamba wanaouawa palestina ni watu wa dini zot, pi a kupitia imani wameweza kuwaamnisha wakristo wengi duniani waamini kuwa hawa Mazayuni (wale waliovamia palestina) wanafanya vile ili kutimiza maandiko na wana haki ya kufanya vile na wanastahiri msaada,lakini ukweli ni kwamba hawa mazayuni hawajui hata rangi ya kanisa illivyo na wala Yesu si agenda yao kabisa
Tusomeni vitabu tuujue ukweli
Acha bangi wewe

Wapalestina ndo wakina nani?
Wana lugha gani?
Wana culture gani inayowatofautisha na watu wengine?

Wapalestina ni waarabu tu kutoka maeneo mbalimbali kama misri,Syria,Iran ,Iraq ,Lebanon n.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
actual lugha ya ni matokeo ya evolution,kuna mchanganyiko wa lugha humo kama aramaic,sumerian,akkadian etc,kwa hiyo haina maana kuwa abraham alipotoka mesopotamia tu ghafla alijikuta anaongea kiebrania,ni kama kiswahili tu ambacho nina hakika miaka ya akina abraham hakikuwepo,ila kiebrania cha leo si kile walichoongea kina moses,kwani cha sasa kilianzishwa miaka ya 1700.as kwa imani ya kiyahudi,abrahamu hakupata kuwa,hata wanawe na wajukuu,isaac na yakobo,
kiyahudi kimeanza na moses kwa kuchukua mafundisho ya Midian wa kabila la shasu
 
@Tig,wapalestina sio waarabu,japo wanaongea kiarabu,waarabu wa asili ni yemen,saudi arabia
 
Well, let's start at the beginning, looking at
what that area originally started as. The
region known as the British Mandate of
Palestine was originally Ottoman Empire
territory, in what was then southern Syria.
Basically, it was part of a British plan to not
establish colonies but develop and take care
of the territories of the shut-down Ottoman
Empire. They soon found they had no real
interest, and began to back out soon after
the First World War. Now we get to the
interesting part.
The Mandate of Palestine was maintained by
Britain until 1948. In 1946 they started
planning to fulfill an earlier promise. Let's go
back in time now to 1917. It's the height of
the first world war and we look at the
Balfour Declaration, which was a formal
promise to the Jewish Population of Great
Britain that the area known as the British
Mandate of Palestine would be established
as a national home for the Jewish people.
This was in part to raise more soldiers.
Now, this promise is tabled for decades,
until after the Second World War and the
atrocities of the holocaust, the Jewish
people are livid. Jews across Europe are full
of hate, fear, strife, and have had enough.
The Balfour Declaration is returned to the
light, and Britain responds. In 1946 Britain
formally looks into what it would take to
admit Jews into Palestine. They decided to
immediately admit 100,000 Jewish refugees
from Europe, accompanied by 300,000
troops to keep the peace against an Arab
revolt.
The Commission stated that "in order to
dispose, once and for all, of the exclusive
claims of Jews and Arabs to Palestine, we
regard it as essential that a clear statement
of principle should be made that Jew shall
not dominate Arab and Arab shall not
dominate Jew in Palestine."
It was decided later, by the united nations,
that the territory known as Palestine would
be divided more or less in two, among the
Arab inhabitants and the Jewish inhabitants,
creating two states, one Arab, one Jewish.
Jerusalem was maintained internationally,
and was not the jurisdiction of either state.
The Jewish Agency, which was the Jewish
state-in-formation, accepted the plan, and
nearly all the Jews in Palestine rejoiced at
the news. At midnight of the 14th of May,
1948, the territory known as the British
Mandate of Palestine ended.
And the Arab area, much of it, was invaded
by Arabs from Jordan. Over time, the Jewish
nation known as Israel has expanded to
occupy the entire block, more or less,
previously known as Palestine.
Basically, the old Arab nation was in two
parts. One on the left, one on the right. The
right was invaded by Jordan, later reclaimed
by Israel. The left has been shrinking, and
now it is only the Gaza strip remaining of
the left side of the old Arab nation. A map to
help you can be found below:
http://upload.wikimedia.org/wikipedia/
commons/d/db/
UN_Partition_Plan_For_Palestine_1947.svg
Anyway, that's the story of how the Ottoman
Empire region of south Syria became the
British mandate of Palestine, which became
an Arab and Jewish nation, which then
became Israel and the dwindling left side of
the old Arab nation.
And here we are today; with Israel the large
mass surrounding the remnants of the Arab
part of Palestine (Which they still refer to
themselves as because they never changed
it to anything like the Jews did with "Israel")
Palestine did exist. Palestine technically does
exist. Palestine is the old name for the
territory as a whole, all of the Gaza strip and
all of Israel, in the same way that Great
Britain used to be called Albion. And now
Palestine is the name used by those who
never changed the name of their state.
 
@2013,still palestine by nature are not arabs,they just got arabised
 
Kwahiyo wale wayahudi wote siyo halisi? Halisi ni wapi sasa na wako utumwani nchi gani? Vipi kuhusu wale ethiopian Jews waliorudishwa Israel mwaka 1991, je na wao siyo halisi? lakini pia vipi kuhusu wale aliowaua Adolf Hitler kule Ujerumani wakati wa WW2 hawakuwa halisi? duuh! Kumbe Adolf Hitler aliua wayahudi fake? Nauliza tu!
Kama bado upo JF hongera saana

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Hata mimi zile zama za ujinga nilikuwa nafikiria na kuamini kama wewe,kwenye gari yangu na nyumbani nilibandika mabendera ya israel,Nilikuwa nawafuatilia akina John Hagee kila usiku kwenye televisheni kimsingi nilikuwa mtumwa wa kushabikia taifa la israel taifa fake, ila siku nilipokuja kuujua ukweli ndio nikawa huru,nilifahamu ukweli baada ya kuruhusu kufikiria tofauti na mwanzo/imani yangu ya awali na kuacha ushabiki wa kiimani,Nadhani na wewe ipo siku utaelewa nilichokiandika ikiwa tu utaacha kumeza maandiko bila kuyatafakari! Mithali 14:15 "MJINGA HUAMINI KILA NENO;BALI MWENYE BUSARA HUANGALIA SANA AENDAVYO".Angalia sana hayo unayoyaamini huwenda yakawa sio kweli
Umetafakari mwenyewe au Kuna mtu amekutia nguvu hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu kwanza ngoja niwatofautisheni juu ya hili kuhusu uyahudi au myahudi au mayahudi, "Neno Yahudi ni dini sio kabila wala taifa, UYADI NI DINI siyo utaifa au ukabila.
 
Halafu kwanza ngoja niwatofautisheni juu ya hili kuhusu uyahudi au myahudi au mayahudi, "Neno Yahudi ni dini sio kabila wala taifa, UYADI NI DINI siyo utaifa au ukabila.
sio kweli,Neno Yahudi,wayahudi,yahudi inatokana na kabila la Yuda mzizi wake ni kabila la Yuda baada ya israel kugawanyika zikabakia kabila mbili zilizoungana (YUDA NA BENJAMINI) na zikawa na makao yao makuu kwenye mji wa Yerusalem na nchi yao walikuwa wakiita "YUDEA",wakati zile kabila 10 zingine zilizo jitenga zikabakia na jina la israel na mjiwao mkuu ulikuwa unaitwa SAMARIA ndio hao walikuwa wanaitwa WASAMALIA,
Dini ni ile ile ya Musa ikifuata Torati kabla na baada ya kujitenga,so neno yahudi limetokana na wakazi wa YUDEA,JUDEA=JEWS ni Jina na sio dini!
 
Mkuu umeongea, sasa naomba unifafanulie hili, Nabii Musa na manabii wengine kabla ya Yesu walikua dini gani?
 
Mkuu umeongea, sasa naomba unifafanulie hili, Nabii Musa na manabii wengine kabla ya Yesu walikua dini gani?
Kwa tafsiri ya dini kama Njia ya kumuendea Mungu,na kwetu sisi wakristo dini ipo moja,i mean tuna njia moja ya kumuendea Mungu,sasa ndani ya kanisa la kristo au ndani ya nyumba ya Abraham (baba wa imani) kuna makanisa mawili,kuna dini mbili,

1.DINI YA KWANZA au kanisa la kwanza-ni lile kanisa lililokuwa chini ya sheria ya Musa,Dini ya mwanzo ya akina musa na manabii wengine waliofuata walifuata sheria ya Torati,wao walikuwa chini ya sheria.kama utaiita dini ya torati sawa,kama utaiita dini ya musa sawa,kama utaita dini ya sheria ya Musa sawa!

2.DINI YA PILI au Njia ya pili ya kumuendea Mungu,au kanisa la Pili ndilo hili tuliopo sasa,ndio njia hiyo moja tu ya kupitia YESU KRISTO dini ya kuwa MTAKATIFU "HOLINESS"
 
Usikwepe kujibu swali, mi ninavyoelewa na nilivyosoma biblia Nabii Musa na hao wengine kabla ya Kristo Yesu dini yao ilikua ni UYAHUDI, walikua Mayahudi kidini.
 
Usikwepe kujibu swali, mi ninavyoelewa na nilivyosoma biblia Nabii Musa na hao wengine kabla ya Kristo Yesu dini yao ilikua ni UYAHUDI, walikua Mayahudi kidini.
bado hujaelewa tu?,Neno wayahudi limekuja zaidi ya miaka 400 baada ya kifo cha Mussa,kwa mara ya kwanza limetajwa kwenye biblia katika kitabu cha 2Wafalme 16:6 "WAYAHUDI" huko nyuma koote halikuwahi kutajwa wala dini ya kiyahudi haikuwahi kutajwa sasa iweje Mussa ndio iwe dini yake??,wapi kwenye biblia imesemwa Mussa dini yake ni ya kiyahudi?,wewe umesoma wapi kuwa walikuwa diniya uyahudi??
 
@2013,still palestine by nature are not arabs,they just got arabised
There is nothing called 'natural'. Every race has been contaminated and in some point not original compared to the past.
In the DNA strand, the remnants still exist.
Palestines are more Arab than any other race related to

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hata baada ya kuingia caanan,israel waliendelea kuabudu miungu mbalimbali,mfano Baal,Tammuz,Queen of heaven etc,hata huyo solomon habari yake inafanana na shulmanu,mfalme wa asyria ndo alijenga hekalu la shulmanu,jew as a religion rasmi ilianza baada ya israel kutoka babel,mfalme koreshi alisimamia kusimama kwa jewish kwa kumpa maagizo Ezra ya kurudi caanan kujenga hekalu la solomon na pia kumpa walimu wa kuwafundisha wayahudi dini,japo iman ya Yahwew ilianza kipindi cha moses kwa kucopy kutoka kwa jamii ya midian,lakini kipindi cha moses hapakuwa na dini inayoitwa jewish
 
@2013,same as jews are more europen now than jews of jesus time,
we can so agree that even if there was jews way back ,they were not white ,as we saw today european claiming to be jews in the middle east
 
hata baada ya kuingia caanan,israel waliendelea kuabudu miungu mbalimbali,mfano Baal,Tammuz,Queen of heaven etc,hata huyo solomon habari yake inafanana na shulmanu,mfalme wa asyria ndo alijenga hekalu la shulmanu,jew as a religion rasmi ilianza baada ya israel kutoka babel,mfalme koreshi alisimamia kusimama kwa jewish kwa kumpa maagizo Ezra ya kurudi caanan kujenga hekalu la solomon na pia kumpa walimu wa kuwafundisha wayahudi dini,japo iman ya Yahwew ilianza kipindi cha moses kwa kucopy kutoka kwa jamii ya midian,lakini kipindi cha moses hapakuwa na dini inayoitwa jewish

Wana wa Israel wote hawakua wanamuamini Mungu Yehova hata wakiwa wanatokea Egypt.
In short wako kama mataifa mengine waliabudu Miungu ya Misri, masanamu, miungu ya mataifa mengine. Nk. Walikuwepo hadi wachawi.

Uyahudi ilikua dini ya Serikali.
Ambapo hata wakati wa Yesu, Mfalme Herode ambaye ni mgiriki aliwajengea Hekalu, kwa maslahi ya kisiasa.

Utaona pia hata ilivyokua Roman Empire, kulikua na dini Nyingi na miungu mingi lakini baadaye emperor constatine akaifanya Ukristo kua dini rasmi ya utawala wa kirumi, japo inasemekana yeye mwenyewe hakua anaiamini bali aliutumia kwa maslahi ya kisiasa tu. Hii haiwafanyi watu wote kuuamini Ukristo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom