Uhalisia: Wanawake wengi Duniani wana Uke mdogo kuliko wanaume wengi wanavyofikiri

Uhalisia: Wanawake wengi Duniani wana Uke mdogo kuliko wanaume wengi wanavyofikiri

Kutokana tafiti mbalimbali za wataalam wa Takwimu (worlddata.com), mifumo ya uzazi ya wanawake(Gynaecologist),maswala ya ngono na mahusiano(sexologists).

Ni kwamba,
Kwa zaidi ya 70% ya wanawake wote duniani,

1. Mwanamke akiwa katika hali ya kawaida RELAXED MODE
[emoji117]Uke wake unakua na
-kina cha inch 3.5 mpaka inch 4 maximum.
-upana wa chini ya inchi 1 maximum
(yaani upana wa kidole cha pete)

NOTE[emoji848]:
-Ni 20% tu ya wanawake Wote duniani ndio wanaweza KUFIKIA kina urefu inch 4 na upana inch 1
- Ni chini ya 10% tu ya wanawake wote duniani ndio wanaweza KUZIDI urefu inch 4 na upana inch 1

2. Mwanamke Akiwa katika hali ya msisimko(nyeg*) AROUSED MODE,
[emoji117]Kina cha uke wake kinaongezeka kuanzia inch 4 mpaka inch 5 na upana wa inch 1.5 mpaka inch 2 kwa wanawake walio wengi

NOTE[emoji848]:
-Ni 20% tu ya wanawake wote duniani wanaweza KUFIKIA kina cha inch 5 maximum na upana wa inch 2 maximum.
-Ni chini 10% tu ya wanawake wote duniani ndio wanaweza KUFIKIA kina urefu inch 6 maximum na upana inch 2.5 maximum

3. Mwanamke Akiwa katika hali ya kutanuliwa zaidi wakati wa Tendo,STRETCHED MODE.
[emoji117]Basi Uke wake unaweza kutanuka kina chake mpaka kufikia inch 7 maximum.
Na upana mpaka kufikia inch 3 maximum.

NOTE[emoji848]:
-Ni 20% tu ya wanawake wote duniani wanaweza kutanuliwa uke Wao KUFIKIA kina urefu inch 7.0 na Upana inch 3.0
-Ni chini ya 10% tu ya wanawake wote duniani ndio wanaweza kutanuliwa uke kufikia kina urefu inch 9 maximum na upana inch 3.5 maximum

4. Mwanamke akiwa katika hali ya kujifungua,(BIRTH MODE)
Uke wake unaweza kutanuka zaidi na zaidi mpaka kufikia kina inchi 11 na upana inch 6 ili kuruhusu mtoto apite.

NOTE[emoji848]:
- Ni 20% tu ya wanaowake wote duniani ndio wanaweza KUFIKIA kina urefu inch 11.0 na upana inch 6.0 wakati wa kujifungua.
-Ni chini ya 10% tu ya wanawake wote duniani ndio wanaoweza KUFIKIA kina urefu inch 12 na upana inch 8 wakati wa kujifungua.
- Ni chin ya 1% tu ya wanawake wote duniani ndio wanaoweza KUZIDI kina urefu inch 12 na upana inch 8 wakati wa kujifungua.

KARIBUNI KWA MJADALA[emoji116]
View attachment 1808963View attachment 1808965
Hivi kweli mtoto anaweza akapita kwenye tundu la inchi sita (6)? Au mimi ndo sijaelewa, kichwa cha mtoto kina kwa kawaida ni nusu futi inchi (50) kweli hicho kichwa kitapenya je kwenye inchi sita za uke?
 
Hauwezi kushindana ohh kushindana na mwanadamu mwenye k aloloooo
 
Nakubaliana na wewe asilimia kubwa ziko ivyo ila Hua zinakua kama pazia tu pale unapo ingiza uume ndio unaweza kujua kua hii Ndogo au hii kubwa ila kwa kuangalia tu huwezi kuona maajabu yeyote na Mara nying kubwa zenye kuonekana kwa macho ni chache
Unaongea kwa uzoefu kabisa,sio?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivi kweli mtoto anaweza akapita kwenye tundu la inchi sita (6)? Au mimi ndo sijaelewa, kichwa cha mtoto kina kwa kawaida ni nusu futi inchi (50) kweli hicho kichwa kitapenya je kwenye inchi sita za uke?
Mmmmh mtoto awe na kichwa inchi 50?[emoji15]

Kama wewe ulieandika hii comment una kichwa size inchi 50,basi demu wako ana huruma sana.
 
Hivi kweli mtoto anaweza akapita kwenye tundu la inchi sita (6)? Au mimi ndo sijaelewa, kichwa cha mtoto kina kwa kawaida ni nusu futi inchi (50) kweli hicho kichwa kitapenya je kwenye inchi sita za uke?
Futi moja ina inch 12
Nusu futi ni sawa na inch 6,

usawa wa nusu RULA.

Hakuna mtoto anazaliwa na kichwa inch 50.

Mtoto mkubwa zaidi duniani aliwahi zaliwa akiwa na kichwa inch 19 upana.

Na alizaliwa na aliyekuwa mwanamke mrefu zaidi duniani na aliyeshikiria rekodi ya mwanamke mwenye uke mkubwa zaidi duniani.

Anaitwa LUCY
 
Hivi kweli mtoto anaweza akapita kwenye tundu la inchi sita (6)? Au mimi ndo sijaelewa, kichwa cha mtoto kina kwa kawaida ni nusu futi inchi (50) kweli hicho kichwa kitapenya je kwenye inchi sita za uke?
Inchi 50 ni nusu futi?
 
Nilichaganya inchi na centimeters (cm) hapo sawa inchi moja ni sawa na 100 cm. 1feet ni sawa na 12 inches, kweli nusu futi (6inhes) mtoto anapenya tu.
 
Back
Top Bottom