Doooh.Naunga mkono hoja...Ongeza na hili, mtu yoyote akienda kuomba passport lazima wamwambie sio raia
Naunga mkono hoja,hivi inaingia akilini mtu unaenda ku renew passport ambayo umekaa nayo miaka nenda rudi,una national id bado unawekewa mizengwe mara oh we will mtanzania,mara uje na invitation letter na visababu vingi tu ambavyo havina msingi wowote. Ingekuwa vizuri utoaji wa passport wangepewa wengine hasa TRA kama ulivyosema. Wao uhamiaji wabaki na mambo ya uhamiaji/uraia tu.Naunga mkono hoja...Ongeza na hili, mtu yoyote akienda kuomba passport lazima wamwambie sio raia pamoja na maneno ya kukatisha tamaa.
"Rudi kesho", " unatusumbua", "kwanza unafanana na Wakenya utakua Mkenya wewe". Uhamiaji kuna haja ya kuufanyia mabadiliko.
Napendekeza uhamiaji wafanye kazi ya kuthibitisha uraia halafu passport zitoke TRA kama walivyofanya kwenye leseni za udereva
Haya ndio mambo hatuyataki, aisee passport mpaka nihonge? Tutaendelea kweli? Hata Ku renew tu na lishangongwa Mara kibao nchi kibao? Mara leta leseni ya biashara, Mara kalete invitation letter, Mara vile, the helll? Damn! Whats wrong with our heads?Doooh.
Sasa wakishakwambia siyo Raia ndiyo hawakupi kabisa Ppt au wanakutikisa tu ili uwape chochote kitu?
Mi hizi kero nikifikaga pale nakamata mmoja namvutia Laki yake na nusu namwambia niko kwenye kibanda cha chips pale nje, utaniita zamu yangu ikifika.. Na ppt unaondoka nayo the same Day.
Ulaya America Asia na Nchi zilizoendele kama South Africa passports ni kitu cha lazima kuwa nacho hakuna usumbufu kuipata inachukua masaa siku kuipata, pia kwa Tanzania passport inalipiwa tshs 150, 000\= wakiwa smart wataingiza pesa nyingi sana kwani watanzania wengi wanataka passport lakini wanakatishwa tamaa na usumbufu wa maswali ya kijinga jinga, Rushwa na mengineyo mengi ya hovyo hovyo.Kati ya taasisi za serikali inayonishangaza katika utendaji wake ni uhamiaji. Especially linapokuja suala la international passport, acheni bureaucracy.
Jana nilienda na rafiki yangu ambayo wote tulikuwa na sababu zetu, mmoja akitaka kurenew passport apate ya electronic, mwingine ndio anataka passport kwa mara ya kwanza, kwakweli nilijua you have changed lakini nimekutana na mambo yale yale ya kipindi kile natafuta passport Kwa Mara ya kwanza "bureaucracy".
Hivi niwaulize do someone need a reason that is so appealing to you guys ili mumpe passport?
Just imagine mtu una passport ambayo tayari umeisafiria nchi kibao umeona urenew upate ya electronic lakini bado kuna unaletea usumbufu, what reason do you need? Hivi kwanini kigezo chenu kisiwe mtu ni Mtanzania na mkaconfirm 100% ni Mtanzania then mkampatia? Hivi dunia ya leo do I need a complex reason that is so appealing ili tu nipewe passport? Seriously?
Dunia mbona imebadilika sana? Tunataka kuwa kama hawa watu weupe harafu mambo yetu bado ya aina hii? .
Yani ninaweza kuwa na vijisenti vyangu bank nikasema aisee nasikia Wachina wameendelea sana jebu ngoja nikaone na Mimi. Hiyo ni sababu tosha sana! Sio lazima niseme naenda China kununua nguo au machine or whatever reason you think is much better that this one.
Jamani dunia imebadilika, hebu acheni haya mambo ya " kishamba" mtu kama ni Mtanzania, mmejihakikishia hivyo basi MPE, acheni usumbufu, probably I wanna go to China and wanna "bung" a Chinese, do you really wanna know? What if that is my legit reason? Aisee toa passport, acheni haya mambo kufikiri ukipata passport ni kama port of gold, hicho ni kitambulisho tu cha Mtanzania nje ya nchi na ni HAKI YAKE!
Haya ndio mambo hatuyataki, aisee passport mpaka nihonge? Tutaendelea kweli? Hata Ku renew tu na lishangongwa Mara kibao nchi kibao? Mara leta leseni ya biashara, Mara kalete invitation letter, Mara vile, the helll? Damn! Whats wrong with our heads?
Haya ndio mambo hatuyataki, aisee passport mpaka nihonge? Tutaendelea kweli? Hata Ku renew tu na lishangongwa Mara kibao nchi kibao? Mara leta leseni ya biashara, Mara kalete invitation letter, Mara vile, the helll? Damn! Whats wrong with our heads?
Mimi kuna kaka aliniambia, "kupata passport sio kitu kirahisi dada unatakiwa kuihangaikia. Wenzio wanakujaga mara 30 na wanakosa, wewe mara mbili tu unalalamika".
Wameshaona kusumbua watu hata kwa makosa yanayosababishwa na kupishana kwao maelezo basi ni sawa tu.
Walinikasirisha mpaka midomo ikawa inacheza.
Sema nikatumia kujuana kwangu nikaipata week tu na sikutoa hela yoyote zaidi ya hela halali inayolipwa
Naunga mkono hoja...Ongeza na hili, mtu yoyote akienda kuomba passport lazima wamwambie sio raia pamoja na maneno ya kukatisha tamaa.
"Rudi kesho", " unatusumbua", "kwanza unafanana na Wakenya utakua Mkenya wewe". Uhamiaji kuna haja ya kuufanyia mabadiliko.
Napendekeza uhamiaji wafanye kazi ya kuthibitisha uraia halafu passport zitoke TRA kama walivyofanya kwenye leseni za udereva
Hii taifa inashangaza sana ukiachana na usumbufu wa uhamiaji ambapo passport kwao wanaona unaenda ku enjoy nje ya nchi kupita wao.
Kuna taasisi moja juzi nimeenda wanaanza kuniomba barua ya mwenyekiti wa mtaa sijui mjumbe ,nikawaambia nini maana ya kuniambia nije na kadi ya nida maana iyo ndio inataarifa zote za serikali kuanzia mtaa hadi familia. Si elewi nini maana ya kuwa na vitu hivyo
Maswali ya kujiuliza hivi serikali awaunganishi data zao kwa urahisi?