Uhamiaji hawaoni aibu kutoa passport laki mbili kwenye nchi yenye watu milioni 55?

Kila mtu akipewa pasipoti hvyo kumbuka Kuna watu sio watanzania wanataka mnooo itakuwa hatari kwa nchi, pia zingatia pasipoti maalum kwa wasafiri tu sio kila mtu awea nayo kama NIDA
 
Kiukweli pale kuna visa na aibu mtu unaambiwa unaenda nchi gani kufanya nn kama huna barua ya mualiko huko uendapo basi passpport hupati na hapo kumbuka ushajaza online ushaenda serikali ya mtaa ushaenda kwa wakili kupiga muhuri na afidavit ushapoteza muda wako mwisho wa siku wanakuwekea vikwazo ili uwape laki 2 na huku unatakiwa kulipia 130k. Tanzania ya viwanda.
 
Wewe ndio mpuuzi kabisa tena wakiwango cha lami,ni nani aliyekuambia ukishakuwa na passport unaweza kwenda nchi ingine kirahisi namna hiyo,kila nchi inataratibu zake .ni lazima uzikamilishe ndio uweze kuingia,na sio kuwa ukishakuwa na passport utaingia tu.
 
afadhali mkuu umeliona hili
yaan nchi zetu ni aibu sna ukienda kwenye hizi taasisi

kwa wenzetu mtoto akizaliwa tu ...unaulizwa unataka pasort yake utengenezewe baada ya sku ngapi


kwa kweli its so shame kwa nchi zetu..utahis kama vile unaenda kuomba roho au pepa kuitafta pasport kumbe ni kitu ambacho ni haki yako


hawa wafanya kazi wa uhamiaji ni malimbukeni wa kutupwa.
 
Hili li nchi ni la kikumbavu sana. Yani ukifanikiwa kusepa kwenye hili li nchi basi ukirudi wewe niwakufungukiwa jiwe na kutupwa baharini.

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Hili li nchi ni la kikumbavu sana. Yani ukifanikiwa kusepa kwenye hili li nchi basi ukirudi wewe niwakufungukiwa jiwe na kutupwa baharini.

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Ili ujue una mawazo mgando siku ukisepa huko unakokujua na ukarudi baada ya wiki moja ndo utaelewa vizuri kuwa duniani maharage ndo mboga nzuri kuliko mboga zote.
 
Laiti robo ya watumishi wa Uhamiaji wangekuwa alau na nusu ya uelewa wako kuhusu umuhimu wa passport, hii nchi ingesonga mbele sana.
 
Wasomi wa kiafrika wakisitafu ndipo hawa na akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…