Uhamiaji hawaoni aibu kutoa passport laki mbili kwenye nchi yenye watu milioni 55?

brazaj au braza j nakukubali kwa kukiri kukosa hoja na kuchukua short cut answers approach na execuses zisizo na msingi kwako na kwa wapambe wengine humu JF.

Soma tofauti ya mabandiko yangu vis a viz yako. Mukaruka utaona yapi yameshiba.

Kwa bandiko hili si nia yangu kuendelea kushughulika na kelele zaidi za chura.
 
Ngoja nikwambie brazaj, huyu Mukaruka Mzee was once a JF EXPERT MEMBER kama MZEE MUKARUKA, go and look for my mabandiko na utajua unaongea na kujibizana na nani. Sasa hivi ni New Member under Mukaruka Mzee avatar! Bye.
 
Ulichoandika kinaonyesha kichwani kwako uko mweupe.Kule Kuna serikali,Polisi na mahakamani pia utashughulikiwa ukikosea huko huko

Kwa hiyo mumejibesha jukumu.la Polisi na mahakama ya dunia uwiii mbavu zangui Mimi.Hamuamini nchi zingine kuwa Ziko vizuri kupambana na wahalifu?

Mambo ya kimataifa yanatakiwa kuaminiana Mfano wewe umempa mtu passport anaenda marekani.Wewe hujampa Visa ya kuingia Marekani unaogopa Nini?

Wao ndio waliompa baada ya kujiridhisha wenyewe kuwa Ni mtu Safi.Sasa akiuza bangi kule wewe yanakuhusu Nini wewe hukumpa visa .Hata ukihojiwa unasema Mimi nilitoa passport sio visa
Lakini ukijitia ohhh mimi najua aliniambia anakuja huko na ushahidi fomu hii hapa aliyojaza Ina maana akidakwa na madawa ya kulevya wewe ndio mbeba lawama Kama facilitator kwa kukiri Mwenyewe

Nchi nyingi Wana avoid Hilo kuepuka
Hilo.Wewe toa passport usiulize anaenda nchi gani kufanya Nini sukumia Risk ubalozi unaotoa Visa
you are right

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo ni mambo machache waliyo fanikiwa mabeberu na wakoloni kuyapanda kwenye vichwa vya Waafrika wengi ikiwamo na Watanzania wanaojiita "wasomi". Hili ni jina lililoibuliwa na Wachumi wa pale Benki ya Dunia kwa nia ya kuweka matabaka katika Mataifa kwa lengo la kuendeleza economic imperialism (if you know what I mean) kwenye nchi zetu kwa nia ya kuendeleza unyonyaji wa kiuchumi! Bado unalisikia sana hilo jina siku hizi!?Siku hizi wantumia "developing countries" au "partners in development". Tuache kukariri negative things hazikusaidii kwenye kukufungua mawazo.
Issue hii ni zaidi ya kukariri. Ukweli ni kwamba kwa nchi zetu za Kusini mwa jangwa la Sahara tupo nyuma sana. Na ili tusonge mbele ni lazima tukiri madhaifu yetu, kujimwambafy hakuna maana yoyote.
 
Basi ZIUZWE TU kama njungu ikiwa hoja ni kwa nchi kupata mapato. Hebu niambieni ninyi wa leo, ni raia wangapi wa Marekani wana Pasipoti; inaonekana mjua na kufahamu sana habari za USA. Ni raia wangapi wanazo? 2010 binafsi nilikuwa USA na kwenye mazungumzo yangu na hao mnao ona wameendelea, wengi walikuwa hawajui watatoka lini hata nje of their STATES, achilia mbali nje ya nchi yao! Msiwaone kama wao ni watu SPECIAL SANA JAMENI, nikitumia neno "jameni" kama alipendavyo kusema Rais Kenyatta.
Sawa mzee mukaruka makani
 
Haki yako endapo utafuata utaratibu, hayo maswali ni uhamiaji wameweka,ndo taratibu zao na sera zao

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu utaratibu upo wazi na watu wanaufata wanaolalamika sio wajinga ili kuipata hiyo documents yamewekwa mazingira magumu ili watu wale mimi pia ni mhanga niongea kwa experience

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Tatizo kwenye sekta nyeti Kama hizi ndiyo sehemu wazee wamejazwa unafikiri kazi zitafanyika ipasavyo!

Ukoloni mtupu umewajaa, si wakacheze na wajukuu zao huko majumbani kwao
Hivi vizee ni visumbufu sana

Ukijitahidi muende Sawa utasikia ww umezaliwa juzi hujui kitu

Naikumbuka kauli moja ya Marehemu Kapten komba pale bungeni Dodoma 2014
Alivyo mtolea povu Yule mzee msumbufu
 
Hivi ni sahihi Uhamiaji kutoa Passport mpya laki mbili kwenye nchi yenye watu milioni 55?

Nchi za wenzetu mfano Marekani passport na visa ni chanzo kikubwa cha mapato ya serikali.

Mfano uhamiaji wangepewa lengo mfano la kutoa Passport milioni moja tu kwa mwezi kwa bei ya Passport ya shilingi laki moja na nusu serikali ingeingiza pato la shilingi bilioni 150 ambazo zingesaidia mno nchi.

Kikwazo kikubwa cha watu kupata Passport ni kuwa Afisa Passport hatakiwi kumuuliza mtu anaenda wapi kufanya nini akitaka kumpa. Hilo atapambana nalo Ofisi ya Ubalozi anakoenda akienda kuomba Visa. Wewe kila Mtanzania mpe passport mengine mwachie akapambane na hali yake mbele kwa mbele

Passport ni kitambulisho tu cha kawaida kama cha NIDA tofauti iliyopo ni kuwa cha NIDA kinatambuliwa ndani ya nchi wakati passport ni kitambulisho cha raia cha Kimataifa .Mtu ruksa kuwa na passport hata kama hasafiri ni kitambulisho chake cha kimataifa.

Mtu anakiwa kuwa na vitambulisho viwili cha NIDA na passport

Uhamiaji wanaona passport kama kitu kikuubwa!
Inaonyesha jinsi watanzania tusivyosafiri nje ya mipaka yetu. Kisha tunatarajia kukuza utalii na kuifanya Dar kuwa hub kwa usafiri wa anga! Nina wasiwasi ikiwa shirika letu la ndege litatoboa safari za nje.
 
Hivi ni sahihi Uhamiaji kutoa Passport mpya laki mbili kwenye nchi yenye watu milioni 55?

Nchi za wenzetu mfano Marekani passport na visa ni chanzo kikubwa cha mapato ya serikali.

Mfano uhamiaji wangepewa lengo mfano la kutoa Passport milioni moja tu kwa mwezi kwa bei ya Passport ya shilingi laki moja na nusu serikali ingeingiza pato la shilingi bilioni 150 ambazo zingesaidia mno nchi.

Kikwazo kikubwa cha watu kupata Passport ni kuwa Afisa Passport hatakiwi kumuuliza mtu anaenda wapi kufanya nini akitaka kumpa. Hilo atapambana nalo Ofisi ya Ubalozi anakoenda akienda kuomba Visa. Wewe kila Mtanzania mpe passport mengine mwachie akapambane na hali yake mbele kwa mbele

Passport ni kitambulisho tu cha kawaida kama cha NIDA tofauti iliyopo ni kuwa cha NIDA kinatambuliwa ndani ya nchi wakati passport ni kitambulisho cha raia cha Kimataifa .Mtu ruksa kuwa na passport hata kama hasafiri ni kitambulisho chake cha kimataifa.

Mtu anakiwa kuwa na vitambulisho viwili cha NIDA na passport

Uhamiaji wanaona passport kama kitu kikuubwa!

Tuachieni nchi yetu ya Zanzibar, mkae na passport zenu ,tumechhhhoka udhalimu
 
Hakuna Idara ya Hovyo Hovyo kama Immigration..unaenda wapi? Lete barua ya safari, lete ticket ya ndege, shwain
Hivi ni sahihi Uhamiaji kutoa Passport mpya laki mbili kwenye nchi yenye watu milioni 55?

Nchi za wenzetu mfano Marekani passport na visa ni chanzo kikubwa cha mapato ya serikali.

Mfano uhamiaji wangepewa lengo mfano la kutoa Passport milioni moja tu kwa mwezi kwa bei ya Passport ya shilingi laki moja na nusu serikali ingeingiza pato la shilingi bilioni 150 ambazo zingesaidia mno nchi.

Kikwazo kikubwa cha watu kupata Passport ni kuwa Afisa Passport hatakiwi kumuuliza mtu anaenda wapi kufanya nini akitaka kumpa. Hilo atapambana nalo Ofisi ya Ubalozi anakoenda akienda kuomba Visa. Wewe kila Mtanzania mpe passport mengine mwachie akapambane na hali yake mbele kwa mbele

Passport ni kitambulisho tu cha kawaida kama cha NIDA tofauti iliyopo ni kuwa cha NIDA kinatambuliwa ndani ya nchi wakati passport ni kitambulisho cha raia cha Kimataifa .Mtu ruksa kuwa na passport hata kama hasafiri ni kitambulisho chake cha kimataifa.

Mtu anakiwa kuwa na vitambulisho viwili cha NIDA na passport

Uhamiaji wanaona passport kama kitu kikuubwa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unarenew passport ila maswali unayoulizwa ni yale yale kama uliyoulizwa wakati unapewa passport ile ya mwanzo.

Una kitambulisho cha NIDA ila uhamiaji unaulizwa maswali ambayo tayari ushayajibu kule NIDA kama cheti cha kuzaliwa cha mzazi.

Uhamiaji waboreshe huduma zao urasimu umekua mwingi. Pia passport ni haki ya mtu kuwa nayo as long as atalipia gharama yake haina haja ya maswali ya safari. Wengine huko nje ya nchi tunaenda kula bata tu wala hatuna cha maana tunachoenda kufanya sasa ukianza kutuuliza barua za mialiko tutakushangaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo kwenye sekta nyeti Kama hizi ndiyo sehemu wazee wamejazwa unafikiri kazi zitafanyika ipasavyo!

Ukoloni mtupu umewajaa, si wakacheze na wajukuu zao huko majumbani kwao
Hivi vizee ni visumbufu sana

Ukijitahidi muende Sawa utasikia ww umezaliwa juzi hujui kitu

Naikumbuka kauli moja ya Marehemu Kapten komba pale bungeni Dodoma 2014
Alivyo mtolea povu Yule mzee msumbufu
Hivi umewahi kufika BAKITA jomba?... Basi panga siku ukafanye utalii wa ndani utakuta na wakongwe wa kumwaga!.... Hawastaafu wale.😁😁
 
Issue hii ni zaidi ya kukariri. Ukweli ni kwamba kwa nchi zetu za Kusini mwa jangwa la Sahara tupo nyuma sana. Na ili tusonge mbele ni lazima tukiri madhaifu yetu, kujimwambafy hakuna maana yoyote.
You have to mwambafy mwenyewe if you are a human being, ukisubiri watu wa kumwambafy ITAKULA KWAKO. Jiamini ndugu mwenyewe for your own benefit. Mungu alituumba wote kwa sura na mfano wake, if you believe in that then hauna sababu ya kukaa nyuma nyuma kama sijui nini ndugu yangu!
 
Report ya WHO inasema hakuna nchi ya Africa yenye uwezo wa kukabiliana na virusi vya Corona. Wewe endelea kujimwambafy
 
Hivi ni sahihi Uhamiaji kutoa Passport mpya laki mbili kwenye nchi yenye watu milioni 55?

Nchi za wenzetu mfano Marekani passport na visa ni chanzo kikubwa cha mapato ya serikali.

Mfano uhamiaji wangepewa lengo mfano la kutoa Passport milioni moja tu kwa mwezi kwa bei ya Passport ya shilingi laki moja na nusu serikali ingeingiza pato la shilingi bilioni 150 ambazo zingesaidia mno nchi.

Uhamiaji wanaona passport kama kitu kikuubwa!
MKuu, technically, uhamiaji wanagawa passport zilizochapishwa na serikali, hawatoi. Kama hazipo sio kosa lao, muulize Magu kwa nini serikali haichapishi passport za kutosha?

Kwa mfano, Nida wanagawa vitambulisho anbavyo serikali inachapisha, na TRA leseni za udereva.

Hawa wote kuchapisha sio jukumu lao wala bajeti yao
 
kwani passport wanagawa bure ?????
Unalipa lakini hela inakwenda serikalini sio Uhamiaji. Ndio maana serikali itasema mapato kutokana na passport yalikuwa kiasi kadhaa. Mbaya wako hapo kama hakuna passport. vitambulisho vya NIDA. leseni za magari ni serikali.
 
Hivi ni sahihi Uhamiaji kutoa Passport mpya laki mbili kwenye nchi yenye watu milioni 55?

Nchi za wenzetu mfano Marekani passport na visa ni chanzo kikubwa cha mapato ya serikali.

Mfano uhamiaji wangepewa lengo mfano la kutoa Passport milioni moja tu kwa mwezi kwa bei ya Passport ya shilingi laki moja na nusu serikali ingeingiza pato la shilingi bilioni 150 ambazo zingesaidia mno nchi.

Kikwazo kikubwa cha watu kupata Passport ni kuwa Afisa Passport hatakiwi kumuuliza mtu anaenda wapi kufanya nini akitaka kumpa. Hilo atapambana nalo Ofisi ya Ubalozi anakoenda akienda kuomba Visa. Wewe kila Mtanzania mpe passport mengine mwachie akapambane na hali yake mbele kwa mbele

Passport ni kitambulisho tu cha kawaida kama cha NIDA tofauti iliyopo ni kuwa cha NIDA kinatambuliwa ndani ya nchi wakati passport ni kitambulisho cha raia cha Kimataifa .Mtu ruksa kuwa na passport hata kama hasafiri ni kitambulisho chake cha kimataifa.

Mtu anakiwa kuwa na vitambulisho viwili cha NIDA na passport

Uhamiaji wanaona passport kama kitu kikuubwa!
Wakati mwingine unakuwaga na akili. Lakini baadaye umapoteza network !!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unalipa lakini hela inakwenda serikalini sio Uhamiaji. Ndio maana serikali itasema mapato kutokana na passport yalikuwa kiasi kadhaa. Mbaya wako hapo kama hakuna passport. vitambulisho vya NIDA. leseni za magari ni serikali.

na wanaonunua service ya kuchapishiwa vitabu vya passport ni nani, uhamiaji ama serikali?
 
Back
Top Bottom