Uhamiaji hawaoni aibu kutoa passport laki mbili kwenye nchi yenye watu milioni 55?

WENZETU HAWA hawahoji maswali ya ubalozini ukiomba passport ona masharti yao

RWANDA

REQUIREMENTS
APPLICANTS OF 16 YEARS AND ABOVE

* Rwandan identity card

* Payment of required application fees

KENYA

An application shall be accompanied by:-
  • Documentary evidence of Kenyan citizenship i.e. Original & copies of birth Certificate and National Identity Card, or a Certificate of naturalization or registration and Renunciation Certificate of former citizenship. Current clear and un-mounted three passport size photographs as may be directed by the Passport Control Officer.
  • The Application must be recommended in section ‘7’ by a citizen of Kenya such as Minister of religion, a Minister or Legal Practitioner, an established Civil Servant or Bank Official personally acquainted with the applicant, but not by immediate relatives. The recommender must attach a copy of his/her National ID or passport.
  • Prescribed fee.

UGANDA

While heading at the passport office, go with your application ID, national ID, a certificate to confirm your profession (if any) and a copy of the recommender’s national Id and a copy of the old passport for those renewing.
 
Hivi ni sahihi Uhamiaji kutoa Passport mpya laki mbili kwenye nchi yenye watu milioni 55?

Nchi za wenzetu mfano Marekani passport na visa ni chanzo kikubwa cha mapato ya serikali.

Mfano uhamiaji wangepewa lengo mfano la kutoa Passport milioni moja tu kwa mwezi kwa bei ya Passport ya shilingi laki moja na nusu serikali ingeingiza pato la shilingi bilioni 150 ambazo zingesaidia mno nchi.

Kikwazo kikubwa cha watu kupata Passport ni kuwa Afisa Passport hatakiwi kumuuliza mtu anaenda wapi kufanya nini akitaka kumpa. Hilo atapambana nalo Ofisi ya Ubalozi anakoenda akienda kuomba Visa. Wewe kila Mtanzania mpe passport mengine mwachie akapambane na hali yake mbele kwa mbele

Passport ni kitambulisho tu cha kawaida kama cha NIDA tofauti iliyopo ni kuwa cha NIDA kinatambuliwa ndani ya nchi wakati passport ni kitambulisho cha raia cha Kimataifa .Mtu ruksa kuwa na passport hata kama hasafiri ni kitambulisho chake cha kimataifa.

Mtu anakiwa kuwa na vitambulisho viwili cha NIDA na passport

Uhamiaji wanaona passport kama kitu kikuubwa!
Jameni (kama asemavyo Rais wa Kenya) hebu tujaribu kuwa serious on this! Hapa UHAMIAJI wana kosa gani, wanalaumiwa kwa lipi? Mnataka maofisa wa UHAMIAJI waingie mitaani na kulazimisha watu waende kutafuta Pasipot au mnataka wapite mitaani wakizagawa bure hizo Pasi? mbona siwaelewi nyie mnaolalama kuhusu suala hili. Hivi kweli mtu na akili zake timamu, atoke tu kwake au kwao aende UHAMIAJI kuomba Pasipoti hatakama hana lazi nayo kwa leo au sasa? Fahamuni kwamba PASIPOTI ni kwa ajili ya KUSAFIRIA, it is a travelling document.Siyo document unayo kuwa nayo tu kwa mapambo au kuwalingishia watu mtaani kwako, hapana ni kwa ajili ya kukuwezesha kusafiri nje ya mipaka yetu. Kwamantiki hiyo basi, hao watu 200000 wenye hizo Pasipoti ndiyo wenye mahiataji nazo. Labda useme, tena kwa takwimu zenye kuaminika, kuwa kuna maombi ya Pasipoti huko UHAMIAJI ya Watanzania 10,000,000 ambao kwa sababu za uzembe na ufashisti na ufisadi, hawajapatiwa Pasipoti zao, hapo una kila sababu ya kuwalaumu UHAMIAJI. Kama siyo hivyo hakuna sababu yoyote ya kuwalaumu, tunachotakiwa kufanya ni kwenda kuomba hizo Pasipoti, kama, nasisistiza tena kama tunazihitaji kwa ajili ya safari za kwenda UGHAIBUNI, vinginevyo tusiwalaumu UHAMIAJI eti kwa uchache wa Watanzania wenye Pasipoti!
 
Fahamuni kwamba PASIPOTI ni kwa ajili ya KUSAFIRIA, it is a travelling document.Siyo document unayo kuwa nayo tu kwa mapambo au kuwalingishia watu mtaani kwako, hapana ni kwa ajili ya kukuwezesha kusafiri nje ya mipaka yetu.
nakuhurumia huna ulijualo

passport inatumika hata kuomba kazi mtandaoni au kuomba scholarship mtandaoni au kufanya mitihani ya kimataifa mitandaoni .YAANI unatia huruma wewe ujue .KENYA ULIOWATAJA PASSPORT WANAKUPA tu ukiitaka huhitaji kuwa na safari unachoongea ni mambo ya enzi ya Nyerere.KIFUPI UMEPITWA NA WAKATI YOU ARE OUTDATED.pisheni vijana maofisini wazee mstaafu kuficha aibu kama hizi na huu ujinga ulioandika
 
Hivi ni sahihi Uhamiaji kutoa Passport mpya laki mbili kwenye nchi yenye watu milioni 55?

Nchi za wenzetu mfano Marekani passport na visa ni chanzo kikubwa cha mapato ya serikali.

Mfano uhamiaji wangepewa lengo mfano la kutoa Passport milioni moja tu kwa mwezi kwa bei ya Passport ya shilingi laki moja na nusu serikali ingeingiza pato la shilingi bilioni 150 ambazo zingesaidia mno nchi.

Kikwazo kikubwa cha watu kupata Passport ni kuwa Afisa Passport hatakiwi kumuuliza mtu anaenda wapi kufanya nini akitaka kumpa. Hilo atapambana nalo Ofisi ya Ubalozi anakoenda akienda kuomba Visa. Wewe kila Mtanzania mpe passport mengine mwachie akapambane na hali yake mbele kwa mbele

Passport ni kitambulisho tu cha kawaida kama cha NIDA tofauti iliyopo ni kuwa cha NIDA kinatambuliwa ndani ya nchi wakati passport ni kitambulisho cha raia cha Kimataifa .Mtu ruksa kuwa na passport hata kama hasafiri ni kitambulisho chake cha kimataifa.

Mtu anakiwa kuwa na vitambulisho viwili cha NIDA na passport

Uhamiaji wanaona passport kama kitu kikuubwa!
Unaelewa nini unaposikia nchi ya dunia ya tatu ?
 
Tatizo kubwa lipo kwenye System mpaka leo bado watu wanafanyia kazi miongozo ya Nyerere Nchi zingine zinaenda speed na tekenolojia sisi tunakomaa na Nyerere
 
Kiwanda cha sabuni hakiwezi mfanya kila mtu akawa safi.

Hivi ni sahihi Uhamiaji kutoa Passport mpya laki mbili kwenye nchi yenye watu milioni 55?

Nchi za wenzetu mfano Marekani passport na visa ni chanzo kikubwa cha mapato ya serikali.

Mfano uhamiaji wangepewa lengo mfano la kutoa Passport milioni moja tu kwa mwezi kwa bei ya Passport ya shilingi laki moja na nusu serikali ingeingiza pato la shilingi bilioni 150 ambazo zingesaidia mno nchi.

Kikwazo kikubwa cha watu kupata Passport ni kuwa Afisa Passport hatakiwi kumuuliza mtu anaenda wapi kufanya nini akitaka kumpa. Hilo atapambana nalo Ofisi ya Ubalozi anakoenda akienda kuomba Visa. Wewe kila Mtanzania mpe passport mengine mwachie akapambane na hali yake mbele kwa mbele

Passport ni kitambulisho tu cha kawaida kama cha NIDA tofauti iliyopo ni kuwa cha NIDA kinatambuliwa ndani ya nchi wakati passport ni kitambulisho cha raia cha Kimataifa .Mtu ruksa kuwa na passport hata kama hasafiri ni kitambulisho chake cha kimataifa.

Mtu anakiwa kuwa na vitambulisho viwili cha NIDA na passport

Uhamiaji wanaona passport kama kitu kikuubwa!
 
nakuhurumia huna ulijualo

passport inatumika hata kuomba kazi mtandaoni au kuomba scholarship mtandaoni au kufanya mitihani ya kimataifa mitandaoni .YAANI unatia huruma wewe ujue .KENYA ULIOWATAJA PASSPORT WANAKUPA tu ukiitaka huhitaji kuwa na safari unachoongea ni mambo ya enzi ya Nyerere.KIFUPI UMEPITWA NA WAKATI YOU ARE OUTDATED.pisheni vijana maofisini wazee mstaafu kuficha aibu kama hizi
If that is the case, then what you need is just a NUMBER! A NUMBER kama mlivyo kuwa mnahitaji kwa ajili ya kusajili simu kutoka NIDA. That is all, sasa ukisha wapa hao wanao kupa mitihani au hao unao waomba scholarship, then WHAT!? Wao wanatakaja kujua kama una URAIA, je unajua kuwa kuna watu hawana nchi, hawana uraia!? Hiyo ndiyo sababu yenyewe. Hayo ya UNYERERE yaache , huyajui wala huyafahamu, labda umesimuliwa tu na wana siasa uchwara na wewe umeyakariri Achaneni na PAROCHIALISM!
 
Unaelewa nini unaposikia nchi ya dunia ya tatu ?
Basi ZIUZWE TU kama njungu ikiwa hoja ni kwa nchi kupata mapato. Hebu niambieni ninyi wa leo, ni raia wangapi wa Marekani wana Pasipoti; inaonekana mjua na kufahamu sana habari za USA. Ni raia wangapi wanazo? 2010 binafsi nilikuwa USA na kwenye mazungumzo yangu na hao mnao ona wameendelea, wengi walikuwa hawajui watatoka lini hata nje of their STATES, achilia mbali nje ya nchi yao! Msiwaone kama wao ni watu SPECIAL SANA JAMENI, nikitumia neno "jameni" kama alipendavyo kusema Rais Kenyatta.
 
If that is the case, then what you need is just a NUMBER! A NUMBER kama mlivyo kuwa mnahitaji kwa ajili ya kusajili simu kutoka NIDA. That is all, sasa ukisha wapa hao wanao kupa mitihani au hao unao waomba scholarship, then WHAT!? Wao wanatakaja kujua kama una URAIA, je unajua kuwa kuna watu hawana nchi, hawana uraia!? Hiyo ndiyo sababu yenyewe.
Hakuna anayekataa utoe hata kama ilivyo namba ya NIDA utajijua

Issue ni kuwa vigezo vilivyopo VYA MTU KUMPA PASSPORT vimepitwa na wakati

Ok haina HAINA SHIDA mpe namba ya passport halafu scholaship akipata aje achukue passport ufanye kazi mara mbili badala ya mara moja

Passport inatolewa kwa raia naona hata hilo hulijui umeandika kijuaji wakati hujui eti then what watajuaje kama ni raia? WAMPE NAMBA YA PASSPORT TU we mzee kweli unaonyesha mengi ya sasa huyajui na uzee wako ASiyekuwa na kitambulisho cha NIDA hawezi pewa passport hata hiyo namba ya passport hawawezi mpa !!!!

Naona uko gizani nakuacha sitajadiliana na wewe tena kwenye hili ufahamu wako si tu umezeeka lakini mengi ya sasa naona huyajui
 
Unaelewa nini unaposikia nchi ya dunia ya tatu ?
Hayo ni mambo machache waliyo fanikiwa mabeberu na wakoloni kuyapanda kwenye vichwa vya Waafrika wengi ikiwamo na Watanzania wanaojiita "wasomi". Hili ni jina lililoibuliwa na Wachumi wa pale Benki ya Dunia kwa nia ya kuweka matabaka katika Mataifa kwa lengo la kuendeleza economic imperialism (if you know what I mean) kwenye nchi zetu kwa nia ya kuendeleza unyonyaji wa kiuchumi! Bado unalisikia sana hilo jina siku hizi!?Siku hizi wantumia "developing countries" au "partners in development". Tuache kukariri negative things hazikusaidii kwenye kukufungua mawazo.
 
Hakuna anayekataa utoe hata kama ilivyo namba ya NIDA utajijua

Issue ni kuwa vigezo vilivyopo VYA MTU KUMPA PASSPORT vimepitwa na wakati

Ok haina HAINA SHIDA mpe namba ya passport halafu scholaship akipata aje achukue passport ufanye kazi mara mbili badala ya mara moja

Passport inatolewa kwa raia naona hata hilo hulijui umeandika kijuaji wakati hujui eti then what watajuaje kama ni raia? WAMPE NAMBA YA PASSPORT TU we mzee kweli unaonyesha mengi ya sasa huyajui na uzee wako ASiyekuwa na kitambulisho cha NIDA hawezi pewa passport hata hiyo namba ya passport hawawezi mpa !!!!

Naona uko gizani nakuacha sitajadiliana na wewe tena kwenye hili ufahamu wako si tu umezeeka lakini mengi ya sasa naona huyajui
Hayo majibu ni ishara ya KUKOSA HOJA NA DALILI WAZI ZA DEFEATISM. Wew kijana mbona hutoi hoja ila VIOJA. Kwa heri.
 
nakuhurumia huna ulijualo

passport inatumika hata kuomba kazi mtandaoni au kuomba scholarship mtandaoni au kufanya mitihani ya kimataifa mitandaoni .YAANI unatia huruma wewe ujue .KENYA ULIOWATAJA PASSPORT WANAKUPA tu ukiitaka huhitaji kuwa na safari unachoongea ni mambo ya enzi ya Nyerere.KIFUPI UMEPITWA NA WAKATI YOU ARE OUTDATED.pisheni vijana maofisini wazee mstaafu kuficha aibu kama hizi na huu ujinga ulioandika

Atajulia wapi mbechile (imbecile) huyo? Hawa hadi tutapokuja kuwa na serikali ya wananchi itakayo wajibika kwao vinginevyo ni majanga tu.
 
Atajulia wapi mbechile (imbecile) huyo? Hawa hadi tutapokuja kuwa na serikali ya wananchi itakayo wajibika kwao si vinginevyo ni majanga tu.
Mwingine huyu naye HANA HOJA analeta za kuleta tu humu kwa watu weledi!
 
Pole officer wa immigration. Ila usingekuwa mbechile ungetambua passports si za kusafiria tu kama mnavyotaka aminisha ma mbechile wenzenu.

Nyodo zenu zina mwisho. Ipo siku tutajakumbushana.
 
Lete hoja siyo execuses brazaj! Zungumzia ya sasa wachana na yajayo. Hayo hata wewe huyajui, bali ni MIHEMUKO TU isiyo na maana.
 
Yaonyesha mabandiko yangu yamekugusa. Kama ni hivyo rejea essence ya mabandiko yangu. Passports si kwa kusafiria tu bali pia:

Kufanyia international applications nyingine nyingi tu. Ndiyo maana nikakumbusha kuwa kama hata hayo hamuyaoni basi subirieni. Kama wa awamu hii hawayaoni pia, basi siku hazigandi ya nini turumbane? Watakuja wengine mtajuzwa live bila chenga ya kuwa hamtufai.

Pole lakini huo ndiyo ulio ukweli mchungu.
 
Yaonyesha mabandiko yangu yamekugusa. Kama ni hivyo rejea essence ya mabandiko yangu. Passports si kwa kusafiria tu bali pia:

Kufanyia international applications nyingine nyingi tu. Ndiyo maana nikakumbusha kama hayo hamuyaoni basi subirieni. Kama wa awamu hii hawayaoni watakuja wengine mtajuzwa bila chenga ya kuwa hamtufai.

Pole lakini huko ndiyo ulio ukweli mchungu.
Ni kweli unaweza kuguswa na anything hata "useless ones" au siyo brazaj for the sake of learning good and useful comments.
 
Pole sana officer. Si mbaya kukumbuka kuwa mtanzania wa leo siyo yule wa zamani.

Message sent. Message delivered.

Tunakijua kilicho haki yetu mengine mnayotuletea ni kama kelele za chura tu.
 
brazaj au braza j nakukubali kwa kukiri kukosa hoja na kuchukua short cut answers approach na execuses zisizo na msingi kwako na kwa wapambe wengine humu JF.
 
Back
Top Bottom