Uhamiaji ianze uchunguzi jinsi watoto wa Lissu, ambao ni raia wa Marekani walipata passport za Tanzania, kama Lissu alidanganya, ashughulikiwe

Njoo hapa Shabaha Mbezi Beach tunapata moja baridi njoo upate moja
Sawa mkuu, ntakuja na heshima zote. Sasa hapo shabaha mbona hakuna vibe, basi tushuke kidogo hapo Lamada au pale open beach.
 
Ile roho ya mauaji bado mnayo tu? Huyu mtu kawakosea nini? Mwanzo mlitaka kutoa roho yake Mungu kamlinda, kaibuka ibilisi mwingine anataka roho za watoto wake, hebu mwacheni huyu mtu, mateso aliyopitia yanatosha.
Kichwani una akili au matope?
 
Sawa mkuu, mauaji ndiyo jadi yenu, ntakuja na heshima zote. Sasa hapo shabaha mbona hakuna vibe, basi tushuke kidogo hapo Lamada au pale open beach.
Hapa huwa tunajifunza na shabaha pia karibu sana mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…