Sawa mkuu, ntakuja na heshima zote. Sasa hapo shabaha mbona hakuna vibe, basi tushuke kidogo hapo Lamada au pale open beach.Njoo hapa Shabaha Mbezi Beach tunapata moja baridi njoo upate moja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuu, ntakuja na heshima zote. Sasa hapo shabaha mbona hakuna vibe, basi tushuke kidogo hapo Lamada au pale open beach.Njoo hapa Shabaha Mbezi Beach tunapata moja baridi njoo upate moja
Kichwani una akili au matope?Ile roho ya mauaji bado mnayo tu? Huyu mtu kawakosea nini? Mwanzo mlitaka kutoa roho yake Mungu kamlinda, kaibuka ibilisi mwingine anataka roho za watoto wake, hebu mwacheni huyu mtu, mateso aliyopitia yanatosha.
Sheria msumenoNaona kichwani uliwekewa utumbo wenye mzigo wa kutosha badala ya ubongo
Hapa huwa tunajifunza na shabaha pia karibu sana mkuu!Sawa mkuu, mauaji ndiyo jadi yenu, ntakuja na heshima zote. Sasa hapo shabaha mbona hakuna vibe, basi tushuke kidogo hapo Lamada au pale open beach.