Uhamiaji ianze uchunguzi jinsi watoto wa Lissu, ambao ni raia wa Marekani walipata passport za Tanzania, kama Lissu alidanganya, ashughulikiwe

Inabidi tuheshimu sheria zetu tulizozitunga wenyewe kwa faida za watz wote.
Msameheni jamani,, sawa najua nchi yetu hairusu uraia pacha labda alidaganya kwa kutojua tu sheria, asamehewe tu, kisha achague anataka awe mmarekani au mtanzania🤷🏾‍♂️
 
Kabla mtu hajabadili uraia, anakuwa na passprot ya nchi alikotoka..!!
 
Umeme unakatika hovyo unakuja na hoja za passport za Watanzania wenzio kisa unawajua wakati hizi Nchi za Afrika karibu nyingi Wahindi na watu wa Bara la Asia wanazitumia vizuri wakimaliza mambo yao wanaendelea na mishe zingine...
Kaamzishe mada ya umeme, usinipangie
 
Umesema kweli tupu Aisee! Mwenge: Naomba soma Isaya 50: 11.
 
lisu ni adui mkubwa sana wa nchi hii, na hana uchungu kabisa na Tanzania, anahcojaligi yeye ni maslahi yake na familia tu au na chama tu. no wonder alishauri kwenye kikao kwamba chadema waingie mkataba hata na shetani alimradi tu wapate madaraka. rejea kitabu cha dr.slaa.
 
Kweli, na Mimi kama Chadema ninapiga kelele sana kuhusu matumizi mabaya ya ruzuku, ACT ya juzi tu Ina Ofisi Kali ya ghorofa, sisi Hela zinaliwa tu
Unataka wajenge ofisi ili ukalale huko? Hapana, kapange mtaani!
 
Hivi wewe ni mgeni hapa Tanzania kiasi hufahamu yaliyoikumba familia yote ya lisu?
 
Kaamzishe mada ya umeme, usinipangie
Watu tumetumia Passport zote hizo leo upo na South Africa mwakani Malawi na leo ninerudi na ya Tanzania maisha yanaendelea ila kwa hizi E passport ni ngumu kuzichezea kama tulivyokua tunafanya mwanzo yote ilikua katika kutafuta maisha na kupata work permit kirahisi sasa wewe baki na kitambulisho chako cha kura wapigie kelele wenye passport za nje fainal ipo karibu...huyo akiamua anaukana huo uraia wa USA kisheria anabaki na utanzania wake ila ashapata anachotaka..
 
Tatizo liko wapi kama wamefikisha 18 waumeamua kuukana uraia wa Tanzania na kubaki na uraia wa US?
Awalete hapa tuandamane wote, sio wanamuandamisha Akwilina tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…