Uhamiaji ianze uchunguzi jinsi watoto wa Lissu, ambao ni raia wa Marekani walipata passport za Tanzania, kama Lissu alidanganya, ashughulikiwe

Uhamiaji ianze uchunguzi jinsi watoto wa Lissu, ambao ni raia wa Marekani walipata passport za Tanzania, kama Lissu alidanganya, ashughulikiwe

Inabidi tuheshimu sheria zetu tulizozitunga wenyewe kwa faida za watz wote.
Msameheni jamani,, sawa najua nchi yetu hairusu uraia pacha labda alidaganya kwa kutojua tu sheria, asamehewe tu, kisha achague anataka awe mmarekani au mtanzania🤷🏾‍♂️
 
Watoto wa Tundu Antipas Mughway Lissu ni raia wa marekani, lakini baba yao aliwachukulia passport za Tanzania, bila shaka aliwasilisha taarifa za uongo kwa Afisa wa serikali, jambo ambalo ni kinyume Cha sheria, na ni moja ya tabia za kifisadi.

Natoa rai idara ya uhamiaji imwage moto kwa kuanzisha uchunguzi kuhusu suala hili.

Watoto hawa wamekuwa wakifaidi bajeti ya nchi yetu, na kuwanyima watoto halali wa kitanzania haki ya kutumia fedha zao.

Ni ngumu sana kwa Tanzania kuendelea, kama mtu anayeutaka urais, Kila akilipwa mafao ya ubunge, fedha zote anahamisha kupeleka marekani, ananunua majumba huko, halafu anarudi anajifanya kupigania maendeleo ya Tanzania.

Pia wizara ya ardhi iweke alama nyekundu kwenye ardhi anazomiliki Tundu Lissu na au wanae. Kwa sheria za Tanzania, raia wa kigeni haruhusiwi kumiliki ardhi, kama Kuna tuviwanja kanunua kwa jina la mwanae, basi hati hizo zifutwe, na pia kama Lissu akifa, watoto wake hawaruhusiwi kurithi ardhi kwa kuwa si raia wa Tanzania.
Kabla mtu hajabadili uraia, anakuwa na passprot ya nchi alikotoka..!!
 
Umeme unakatika hovyo unakuja na hoja za passport za Watanzania wenzio kisa unawajua wakati hizi Nchi za Afrika karibu nyingi Wahindi na watu wa Bara la Asia wanazitumia vizuri wakimaliza mambo yao wanaendelea na mishe zingine...
Kaamzishe mada ya umeme, usinipangie
 
Ccm inaogopa kuruhusu uraia pacha sababu inawaogopa diaspora, kumbuka diaspora awapitiwi na moshi wa mwenge Ili kuzipumbaza akili zao zilale Ili watawaliwe, tofauti na walio ndani. Wanaogopa daispora watawajanjarusha wananchi nao watashindwa kuwatawala.

Lakini ipo siku huu uchawi wao ule moto wao wa kuzimu unaowaloga watz utafika mwisho. Hakuna zindiko linalodumu milele, ngoja ije generation nyingine.
Umesema kweli tupu Aisee! Mwenge: Naomba soma Isaya 50: 11.
 
Watoto wa Tundu Antipas Mughway Lissu ni raia wa marekani, lakini baba yao aliwachukulia passport za Tanzania, bila shaka aliwasilisha taarifa za uongo kwa Afisa wa serikali, jambo ambalo ni kinyume Cha sheria, na ni moja ya tabia za kifisadi.

Natoa rai idara ya uhamiaji imwage moto kwa kuanzisha uchunguzi kuhusu suala hili.

Watoto hawa wamekuwa wakifaidi bajeti ya nchi yetu, na kuwanyima watoto halali wa kitanzania haki ya kutumia fedha zao.

Ni ngumu sana kwa Tanzania kuendelea, kama mtu anayeutaka urais, Kila akilipwa mafao ya ubunge, fedha zote anahamisha kupeleka marekani, ananunua majumba huko, halafu anarudi anajifanya kupigania maendeleo ya Tanzania.

Pia wizara ya ardhi iweke alama nyekundu kwenye ardhi anazomiliki Tundu Lissu na au wanae. Kwa sheria za Tanzania, raia wa kigeni haruhusiwi kumiliki ardhi, kama Kuna tuviwanja kanunua kwa jina la mwanae, basi hati hizo zifutwe, na pia kama Lissu akifa, watoto wake hawaruhusiwi kurithi ardhi kwa kuwa si raia wa Tanzania.
lisu ni adui mkubwa sana wa nchi hii, na hana uchungu kabisa na Tanzania, anahcojaligi yeye ni maslahi yake na familia tu au na chama tu. no wonder alishauri kwenye kikao kwamba chadema waingie mkataba hata na shetani alimradi tu wapate madaraka. rejea kitabu cha dr.slaa.
 
Hivi wewe ni mgeni hapa Tanzania kiasi hufahamu yaliyoikumba familia yote ya lisu?
 
Kaamzishe mada ya umeme, usinipangie
Watu tumetumia Passport zote hizo leo upo na South Africa mwakani Malawi na leo ninerudi na ya Tanzania maisha yanaendelea ila kwa hizi E passport ni ngumu kuzichezea kama tulivyokua tunafanya mwanzo yote ilikua katika kutafuta maisha na kupata work permit kirahisi sasa wewe baki na kitambulisho chako cha kura wapigie kelele wenye passport za nje fainal ipo karibu...huyo akiamua anaukana huo uraia wa USA kisheria anabaki na utanzania wake ila ashapata anachotaka..
 
Tatizo liko wapi kama wamefikisha 18 waumeamua kuukana uraia wa Tanzania na kubaki na uraia wa US?
Awalete hapa tuandamane wote, sio wanamuandamisha Akwilina tu
 
Back
Top Bottom