Ubalozini hawawezi kutoa taarifa kwa sababu jamaa ni "undercover" officer wao, na wamemuweka ubeleji, kijiwe Cha majasusi duniani
[emoji3][emoji3]Naunga mkono hoja. Kuna ongezeko la wendawazimu wengi sana katika kipindi hiki, nadhani ni kutokana na tatizo la njaa
huyo akiamua anaukana huo uraia wa USA kisheria anabaki na utanzania wake ila ashapata anachotaka........................Mkuu sijaelewa nifafanue nini hapo, maisha ya Watafutaji nje ni pamoja na kupambana na vibali vya kuishi wengine wametumia Permit za kikimbizi ili mradi tuu maisha yaende kwa wakati huo...
NakubaliMkuu sijaelewa nifafanue nini hapo, maisha ya Watafutaji nje ni pamoja na kupambana na vibali vya kuishi wengine wametumia Permit za kikimbizi ili mradi tuu maisha yaende kwa wakati huo...
Ni dawa za mganga wake wa Geita, vidono vya Muha mmoja hivi, unadhani ni kawaida?
Wanapataje hela za kuendesha chama? 😲Acha uongo, CHADEMA haichukui Ruzuku tangu 2020. Karibu CHADEMA inaoneka unaipenda Sana.
Ha ha ha ha ndiyo achana na mambo ya Lisu pambana kwanza na hayo pesa zenu zinazoliwa huko [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kweli, na Mimi kama Chadema ninapiga kelele sana kuhusu matumizi mabaya ya ruzuku, ACT ya juzi tu Ina Ofisi Kali ya ghorofa, sisi Hela zinaliwa tu
Duu[emoji102][emoji102][emoji102]Mkuu, uko kwenye siku zako?
Huwa na kijiakili fulani kama umeolewa.Watoto wa Tundu Antipas Mughway Lissu ni raia wa marekani, lakini baba yao aliwachukulia passport za Tanzania, bila shaka aliwasilisha taarifa za uongo kwa Afisa wa serikali, jambo ambalo ni kinyume Cha sheria, na ni moja ya tabia za kifisadi.
Natoa rai idara ya uhamiaji imwage moto kwa kuanzisha uchunguzi kuhusu suala hili.
Watoto hawa wamekuwa wakifaidi bajeti ya nchi yetu, na kuwanyima watoto halali wa kitanzania haki ya kutumia fedha zao.
Ni ngumu sana kwa Tanzania kuendelea, kama mtu anayeutaka urais, Kila akilipwa mafao ya ubunge, fedha zote anahamisha kupeleka marekani, ananunua majumba huko, halafu anarudi anajifanya kupigania maendeleo ya Tanzania.
Pia wizara ya ardhi iweke alama nyekundu kwenye ardhi anazomiliki Tundu Lissu na au wanae. Kwa sheria za Tanzania, raia wa kigeni haruhusiwi kumiliki ardhi, kama Kuna tuviwanja kanunua kwa jina la mwanae, basi hati hizo zifutwe, na pia kama Lissu akifa, watoto wake hawaruhusiwi kurithi ardhi kwa kuwa si raia wa Tanzania.
Wanapataje hela za kuendesha chama? 😲
Marekani wanatumia Juis soil
Bongo tunatumia juis sanguine
Hapa hatuwezi kufanana
Msameheni jamani,, sawa najua nchi yetu hairusu uraia pacha labda alidaganya kwa kutojua tu sheria, asamehewe tu, kisha achague anataka awe mmarekani au mtanzania🤷🏾♂️
Mimi ni Chadema mkuu, hoja yangu ni kuhusu utaratibu
Kama wakati anasafiri aliwakatia paspoti za watanzania, wakati ni wamarekani,, sheria inasemaje?As
Asamehewe na Nani?
lisu ni adui mkubwa sana wa nchi hii, na hana uchungu kabisa na Tanzania, anahcojaligi yeye ni maslahi yake na familia tu au na chama tu. no wonder alishauri kwenye kikao kwamba chadema waingie mkataba hata na shetani alimradi tu wapate madaraka. rejea kitabu cha dr.slaa.
Hiyo ni sera ya WamarekaniKama marekani wanafuata jus soli, Basi watoto wa Lissu ni wamarekani sio watanzania.
Kama wakati anasafiri aliwakatia paspoti za watanzania, wakati ni wamarekani,, sheria inasemaje?