econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Hiyo ni sera ya Wamarekani
Kuhusu watoto ikiwa wamezaliwa Marekani, Meli au ndege iliyosajiriwa Marekani basi hao ni raia wao.
Bongo tuna juis Sanguine
Ikiwa mtoto mmoja ya wazazi wake ni raia wa Tanzania kwa kuzaliwa.
Na yeye kazaliwa nje ya nchi basi ana haki ya kurithi uraia.
Nasisitiza anarithi uraia.
Ila hajafikisha miaka 18
Hivyo atakuwa na uraia wa nchi mbili yaani Bongo na Ughaibuni aka mamtoni aka Unyamwezini.
Akifikisha miaka 18 watatakiwa kuchagua mmoja wapo.
Wasipochagua ujue ule wa Tanzania unakufa kifo Cha asili
Na watatambulika kuwa raia wa kigeni wenye asili ya Tanzania.
Wakija wanaomba visa kama kawaida.
Hivyo watoto wa Lisu ni Watanzania na Wamarekani kwa wakati mmoja kwa kipindi hiki.
Tchao
Asante