Wewe kama ni Chadema, hakika utakuwa miongoni mwa wale 19 walio bungeniMimi ni Chadema mkuu, ila napenda sheria zifuatwe
Acha kelele zako hapa. Una uhakika gani kama kada yote ya CCM haina passport za Tanzania na za nchi za nje? Watoto wao ndiyo usiseme. Wewe unafikiri Rais wako Samia hana Passport ya Oman? Je, watoto wake umewafawanyia uchunguzi?Watoto wa Tundu Antipas Mughway Lissu ni raia wa marekani, lakini baba yao aliwachukulia passport za Tanzania, bila shaka aliwasilisha taarifa za uongo kwa Afisa wa serikali, jambo ambalo ni kinyume Cha sheria, na ni moja ya tabia za kifisadi.
Natoa rai idara ya uhamiaji imwage moto kwa kuanzisha uchunguzi kuhusu suala hili.
Watoto hawa wamekuwa wakifaidi bajeti ya nchi yetu, na kuwanyima watoto halali wa kitanzania haki ya kutumia fedha zao.
Ni ngumu sana kwa Tanzania kuendelea, kama mtu anayeutaka urais, Kila akilipwa mafao ya ubunge, fedha zote anahamisha kupeleka marekani, ananunua majumba huko, halafu anarudi anajifanya kupigania maendeleo ya Tanzania.
Pia wizara ya ardhi iweke alama nyekundu kwenye ardhi anazomiliki Tundu Lissu na au wanae. Kwa sheria za Tanzania, raia wa kigeni haruhusiwi kumiliki ardhi, kama Kuna tuviwanja kanunua kwa jina la mwanae, basi hati hizo zifutwe, na pia kama Lissu akifa, watoto wake hawaruhusiwi kurithi ardhi kwa kuwa si raia wa Tanzania.
Samahani mkuu, article yangu sikukulenga wewe. Nili ku-refer kimakosa. Nimeyasaihihisha sasa.mtu mzima unapata wapi muda wa kuandika utumbo wa namni hii.
Mtoto wa Mtanzania hata kama amezaliwa nje, anaweza kupewa passport ya TZ. Isipokuwa akipewa passport, ukomo wa passport ni kabla ya kutimiza miaka 18.Watoto wa Tundu Antipas Mughway Lissu ni raia wa marekani, lakini baba yao aliwachukulia passport za Tanzania, bila shaka aliwasilisha taarifa za uongo kwa Afisa wa serikali, jambo ambalo ni kinyume Cha sheria, na ni moja ya tabia za kifisadi.
Natoa rai idara ya uhamiaji imwage moto kwa kuanzisha uchunguzi kuhusu suala hili.
Watoto hawa wamekuwa wakifaidi bajeti ya nchi yetu, na kuwanyima watoto halali wa kitanzania haki ya kutumia fedha zao.
Ni ngumu sana kwa Tanzania kuendelea, kama mtu anayeutaka urais, Kila akilipwa mafao ya ubunge, fedha zote anahamisha kupeleka marekani, ananunua majumba huko, halafu anarudi anajifanya kupigania maendeleo ya Tanzania.
Pia wizara ya ardhi iweke alama nyekundu kwenye ardhi anazomiliki Tundu Lissu na au wanae. Kwa sheria za Tanzania, raia wa kigeni haruhusiwi kumiliki ardhi, kama Kuna tuviwanja kanunua kwa jina la mwanae, basi hati hizo zifutwe, na pia kama Lissu akifa, watoto wake hawaruhusiwi kurithi ardhi kwa kuwa si raia wa Tanzania.
Unaelewa Nini maana ya uraia au umetumwa na Machawa kuleta uzi.Watoto wa Tundu Antipas Mughway Lissu ni raia wa marekani, lakini baba yao aliwachukulia passport za Tanzania, bila shaka aliwasilisha taarifa za uongo kwa Afisa wa serikali, jambo ambalo ni kinyume Cha sheria, na ni moja ya tabia za kifisadi.
Natoa rai idara ya uhamiaji imwage moto kwa kuanzisha uchunguzi kuhusu suala hili.
Watoto hawa wamekuwa wakifaidi bajeti ya nchi yetu, na kuwanyima watoto halali wa kitanzania haki ya kutumia fedha zao.
Ni ngumu sana kwa Tanzania kuendelea, kama mtu anayeutaka urais, Kila akilipwa mafao ya ubunge, fedha zote anahamisha kupeleka marekani, ananunua majumba huko, halafu anarudi anajifanya kupigania maendeleo ya Tanzania.
Pia wizara ya ardhi iweke alama nyekundu kwenye ardhi anazomiliki Tundu Lissu na au wanae. Kwa sheria za Tanzania, raia wa kigeni haruhusiwi kumiliki ardhi, kama Kuna tuviwanja kanunua kwa jina la mwanae, basi hati hizo zifutwe, na pia kama Lissu akifa, watoto wake hawaruhusiwi kurithi ardhi kwa kuwa si raia wa Tanzania.
Watoto wa Tundu Antipas Mughway Lissu ni raia wa marekani, lakini baba yao aliwachukulia passport za Tanzania, bila shaka aliwasilisha taarifa za uongo kwa Afisa wa serikali, jambo ambalo ni kinyume Cha sheria, na ni moja ya tabia za kifisadi.
Natoa rai idara ya uhamiaji imwage moto kwa kuanzisha uchunguzi kuhusu suala hili.
Watoto hawa wamekuwa wakifaidi bajeti ya nchi yetu, na kuwanyima watoto halali wa kitanzania haki ya kutumia fedha zao.
Ni ngumu sana kwa Tanzania kuendelea, kama mtu anayeutaka urais, Kila akilipwa mafao ya ubunge, fedha zote anahamisha kupeleka marekani, ananunua majumba huko, halafu anarudi anajifanya kupigania maendeleo ya Tanzania.
Pia wizara ya ardhi iweke alama nyekundu kwenye ardhi anazomiliki Tundu Lissu na au wanae. Kwa sheria za Tanzania, raia wa kigeni haruhusiwi kumiliki ardhi, kama Kuna tuviwanja kanunua kwa jina la mwanae, basi hati hizo zifutwe, na pia kama Lissu akifa, watoto wake hawaruhusiwi kurithi ardhi kwa kuwa si raia wa Tanzania.
Matoto ya Lissu ni mazee kabisaTatizo tuna mambu mbu mbu wengi sana siku hizi hapa JF. Watoto wa chini ya miaka 18 wanaweza kuwa na Uraia wa nchi zaidi ya moja mpaka waamue wanataka kuwa raia wa wapi wakifikisha miaka 18. Ili mradi mzazi mmoja awe na passport ya TZ. Watoto wa ndugu yangu miaka 7 wana passport ya canada, US na Tanzania . Baba yao ana uraia wa US, Mama TZ na wamezaliwa Canada
Naona umelewa chimpumuUnaelewa Nini maana ya uraia au umetumwa na Machawa kuleta uzi.
Lini Lissu aliishi Marekani na akapata watoto huko.
Ndio kunazo njia unaweza kuwazalia huko. Ila hii ya kwako haina mantiki yote ni Uchawa tuu.
Tafuta pesa ya kutunza mko na watoto wako haya hayana mantiki kwako kalaghabaho!
Unaifundisha uhamiaji kazi!!
Alisema mzee Lowassa-Mtu mzima anaandika utumbo mtupu yaani hata sheria za nchi yako huzijui . Hivi hujui kwamba mtoto chini ya 18 anaweza kuwa rraia wa nchi mbili wa kurithi kwa wazazi na wa kuzaliwa hadi akifikisha umri wa 18 ndio itabidi aukane uraia mmoja.
Sasa Lissu akisema watoto wake ni raia wa Marekani unashangazwa na nini wakati ni watoto under 18 na walizaliwa USA. Kwa kweli hoja zinazotolewa na kizazi cha sasa zinatia aibu.
Yaani wana zero exposure halafu wanajidai wajuaji. Wakati mwingine ficheni aibu zenu
Matoto ya Lissu ni mazee kabisa
Pia Sheria zetu haziruhusu ufisadi na upigaji.Sheria yetu hairuhusi uraia pacha ndiyo anaongelea mleta mada.
Sijakuona siku nyingi mpaka nkajua umeenda na JiweSheria yetu hairuhusi uraia pacha ndiyo anaongelea mleta mada.
Bila kuweka umri hapa, hatuwezi jenga hoja, kisheria/katiba, mtoto chini ya miaka 18 anaweza kuwa na passport au uraia pacha. Anatakiwa atakapofikisha miaka 18, aukane mmoja kati ya hizo 2.Watoto wa Tundu Antipas Mughway Lissu ni raia wa marekani, lakini baba yao aliwachukulia passport za Tanzania, bila shaka aliwasilisha taarifa za uongo kwa Afisa wa serikali, jambo ambalo ni kinyume Cha sheria, na ni moja ya tabia za kifisadi.
Natoa rai idara ya uhamiaji imwage moto kwa kuanzisha uchunguzi kuhusu suala hili.
Watoto hawa wamekuwa wakifaidi bajeti ya nchi yetu, na kuwanyima watoto halali wa kitanzania haki ya kutumia fedha zao.
Ni ngumu sana kwa Tanzania kuendelea, kama mtu anayeutaka urais, Kila akilipwa mafao ya ubunge, fedha zote anahamisha kupeleka marekani, ananunua majumba huko, halafu anarudi anajifanya kupigania maendeleo ya Tanzania.
Pia wizara ya ardhi iweke alama nyekundu kwenye ardhi anazomiliki Tundu Lissu na au wanae. Kwa sheria za Tanzania, raia wa kigeni haruhusiwi kumiliki ardhi, kama Kuna tuviwanja kanunua kwa jina la mwanae, basi hati hizo zifutwe, na pia kama Lissu akifa, watoto wake hawaruhusiwi kurithi ardhi kwa kuwa si raia wa Tanzania.
sheria inasemaje kuhusu umri wa mtu kuukana uraia wake?Mimi ni Chadema mkuu, ila napenda sheria zifuatwe
Haya ndiyo matatizo ya kuwa mgombea binafsi, hujui kama Tundu Lissu siyo Mmarekani. Akishinda Urais wa Tanzania halafu Mungu apishie mbali akafa, "warithi" wake, first of kina, ni wanawe wa Marekani, watarithi mali zake zikiwemo nyaraka zake na other private documents zinazohusu Taifa, zikaangukia mokononi mwa adui.Watoto wa Tundu Antipas Mughway Lissu ni raia wa marekani, lakini baba yao aliwachukulia passport za Tanzania, bila shaka aliwasilisha taarifa za uongo kwa Afisa wa serikali, jambo ambalo ni kinyume Cha sheria, na ni moja ya tabia za kifisadi.
Natoa rai idara ya uhamiaji imwage moto kwa kuanzisha uchunguzi kuhusu suala hili.
Watoto hawa wamekuwa wakifaidi bajeti ya nchi yetu, na kuwanyima watoto halali wa kitanzania haki ya kutumia fedha zao.
Ni ngumu sana kwa Tanzania kuendelea, kama mtu anayeutaka urais, Kila akilipwa mafao ya ubunge, fedha zote anahamisha kupeleka marekani, ananunua majumba huko, halafu anarudi anajifanya kupigania maendeleo ya Tanzania.
Pia wizara ya ardhi iweke alama nyekundu kwenye ardhi anazomiliki Tundu Lissu na au wanae. Kwa sheria za Tanzania, raia wa kigeni haruhusiwi kumiliki ardhi, kama Kuna tuviwanja kanunua kwa jina la mwanae, basi hati hizo zifutwe, na pia kama Lissu akifa, watoto wake hawaruhusiwi kurithi ardhi kwa kuwa si raia wa Tanzania.
Niliposema Lissu siyo " presidential material " Niliitwa majina kama yote ya kikauzu!Ni ngumu sana kwa Tanzania kuendelea, kama mtu anayeutaka urais,