Uhamiaji ianze uchunguzi jinsi watoto wa Lissu, ambao ni raia wa Marekani walipata passport za Tanzania, kama Lissu alidanganya, ashughulikiwe

Kamateni wazi wa fedha za umma, acha ujinga ujinga kuleta vitu visivokuwa na negative impact kwa wananchi
Kweli, na Mimi kama Chadema ninapiga kelele sana kuhusu matumizi mabaya ya ruzuku, ACT ya juzi tu Ina Ofisi Kali ya ghorofa, sisi Hela zinaliwa tu
 
Na ni ujinga mtupu kukaa na kukandiana mambo uasiohusu kwani ue ananino hadi achunguzwe ivo mbona kuna mabeberu hapo serikalini huwasemi unaenda kumzungumzia baba wawatu na maumivu kwenye nchi yake halali we vip bwna
 
Naunga mkono hoja. Kuna ongezeko la wendawazimu wengi sana katika kipindi hiki, nadhani ni kutokana na tatizo la njaa

Yeye kabeba mimba Kona bar, anaishi Maji Matitu kule Mbagala na watoto wanasome KWAMTOGOLE SEKONDARI.

Safar kubwa aliyowahi kufanya ni kutoka Buza mpaka Bunju. Hana analolijua zaidi ya kutumia sehemu zake za siri
Mkuu, uko kwenye siku zako?
 
Watoto wa Tundu Antipas Mughway Lissu ni raia wa marekani, lakini baba yao aliwachukulia passport za Tanzania, bila shaka aliwasilisha taarifa za uongo kwa Afisa wa serikali, jambo ambalo ni kinyume Cha sheria, na ni moja ya tabia za kifisadi.

Natoa rai idara ya uhamiaji imwage moto kwa kuanzisha uchunguzi kuhusu suala hili.

Watoto hawa wamekuwa wakifaidi bajeti ya nchi yetu, na kuwanyima watoto halali wa kitanzania haki ya kutumia fedha zao.

Ni ngumu sana kwa Tanzania kuendelea, kama mtu anayeutaka urais, Kila akilipwa mafao ya ubunge, fedha zote anahamisha kupeleka marekani, ananunua majumba huko, halafu anarudi anajifanya kupigania maendeleo ya Tanzania.

Pia wizara ya ardhi iweke alama nyekundu kwenye ardhi anazomiliki Tundu Lissu na au wanae. Kwa sheria za Tanzania, raia wa kigeni haruhusiwi kumiliki ardhi, kama Kuna tuviwanja kanunua kwa jina la mwanae, basi hati hizo zifutwe, na pia kama Lissu akifa, watoto wake hawaruhusiwi kurithi ardhi kwa kuwa si raia wa Tanzania.
Sasa wivu wenu umehamia kwa watoto wake 😂😂😂, ni vzr ungeenda hoji pale US Embassy au omba makachero wakawahoji pale ubalozini!!
 
Watoto wa Tundu Antipas Mughway Lissu ni raia wa marekani, lakini baba yao aliwachukulia passport za Tanzania, bila shaka aliwasilisha taarifa za uongo kwa Afisa wa serikali, jambo ambalo ni kinyume Cha sheria, na ni moja ya tabia za kifisadi.

Natoa rai idara ya uhamiaji imwage moto kwa kuanzisha uchunguzi kuhusu suala hili.

Watoto hawa wamekuwa wakifaidi bajeti ya nchi yetu, na kuwanyima watoto halali wa kitanzania haki ya kutumia fedha zao.

Ni ngumu sana kwa Tanzania kuendelea, kama mtu anayeutaka urais, Kila akilipwa mafao ya ubunge, fedha zote anahamisha kupeleka marekani, ananunua majumba huko, halafu anarudi anajifanya kupigania maendeleo ya Tanzania.

Pia wizara ya ardhi iweke alama nyekundu kwenye ardhi anazomiliki Tundu Lissu na au wanae. Kwa sheria za Tanzania, raia wa kigeni haruhusiwi kumiliki ardhi, kama Kuna tuviwanja kanunua kwa jina la mwanae, basi hati hizo zifutwe, na pia kama Lissu akifa, watoto wake hawaruhusiwi kurithi ardhi kwa kuwa si raia wa Tanzania.
Utamshughulia kwa lipi mtu aliyeshinda risasi?
 
Fedha zippi hizo wanazokula watoto wa lisu ambazo zinarudisha nyuma maendeleo ya nchi, Zinazidi hizi ambazo kila mwaka CAG huwa anasema mmegawana na hakuna anayewajibika?
 
Ajenda yetu Chadema ni utawala wa sheria, nyie CCM ndio mnapuyanga kama mazezeta
 
Watoto wa Tundu Antipas Mughway Lissu ni raia wa marekani, lakini baba yao aliwachukulia passport za Tanzania, bila shaka aliwasilisha taarifa za uongo kwa Afisa wa serikali, jambo ambalo ni kinyume Cha sheria, na ni moja ya tabia za kifisadi.

Natoa rai idara ya uhamiaji imwage moto kwa kuanzisha uchunguzi kuhusu suala hili.

Watoto hawa wamekuwa wakifaidi bajeti ya nchi yetu, na kuwanyima watoto halali wa kitanzania haki ya kutumia fedha zao.

Ni ngumu sana kwa Tanzania kuendelea, kama mtu anayeutaka urais, Kila akilipwa mafao ya ubunge, fedha zote anahamisha kupeleka marekani, ananunua majumba huko, halafu anarudi anajifanya kupigania maendeleo ya Tanzania.

Pia wizara ya ardhi iweke alama nyekundu kwenye ardhi anazomiliki Tundu Lissu na au wanae. Kwa sheria za Tanzania, raia wa kigeni haruhusiwi kumiliki ardhi, kama Kuna tuviwanja kanunua kwa jina la mwanae, basi hati hizo zifutwe, na pia kama Lissu akifa, watoto wake hawaruhusiwi kurithi ardhi kwa kuwa si raia wa Tanzania.
Umevimbiwa maharage mekundu, unaandika ujinga.
 
Mtu mzima anaandika utumbo mtupu yaani hata sheria za nchi yako huzijui . Hivi hujui kwamba mtoto chini ya 18 anaweza kuwa rraia wa nchi mbili wa kurithi kwa wazazi na wa kuzaliwa hadi akifikisha umri wa 18 ndio itabidi aukane uraia mmoja.

Sasa Lissu akisema watoto wake ni raia wa Marekani unashangazwa na nini wakati ni watoto under 18 na walizaliwa USA. Kwa kweli hoja zinazotolewa na kizazi cha sasa zinatia aibu.

Yaani wana zero exposure halafu wanajidai wajuaji. Wakati mwingine ficheni aibu zenu
 
Watoto wa Tundu Antipas Mughway Lissu ni raia wa marekani, lakini baba yao aliwachukulia passport za Tanzania, bila shaka aliwasilisha taarifa za uongo kwa Afisa wa serikali, jambo ambalo ni kinyume Cha sheria, na ni moja ya tabia za kifisadi.

Natoa rai idara ya uhamiaji imwage moto kwa kuanzisha uchunguzi kuhusu suala hili.

Watoto hawa wamekuwa wakifaidi bajeti ya nchi yetu, na kuwanyima watoto halali wa kitanzania haki ya kutumia fedha zao.

Ni ngumu sana kwa Tanzania kuendelea, kama mtu anayeutaka urais, Kila akilipwa mafao ya ubunge, fedha zote anahamisha kupeleka marekani, ananunua majumba huko, halafu anarudi anajifanya kupigania maendeleo ya Tanzania.

Pia wizara ya ardhi iweke alama nyekundu kwenye ardhi anazomiliki Tundu Lissu na au wanae. Kwa sheria za Tanzania, raia wa kigeni haruhusiwi kumiliki ardhi, kama Kuna tuviwanja kanunua kwa jina la mwanae, basi hati hizo zifutwe, na pia kama Lissu akifa, watoto wake hawaruhusiwi kurithi ardhi kwa kuwa si raia wa Tanzania.
Idadi ya wapumbavu inaongezeka kwa kasi ya ajabu huko ccm.
 
Back
Top Bottom