The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Mleta mada labda ungetuambia kwanza hao watoto wa Lisu walikua na uraia wa USA kabla ya kua na uraia wa Tanzania? Na je kwa hivi sasa wana uraia wa nchi mbili kwa pamoja?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nani anauraia pacha?Sheria yetu hairuhusi uraia pacha ndiyo anaongelea mleta mada.
Watoto wa Tundu Antipas Mughway Lissu ni raia wa marekani, lakini baba yao aliwachukulia passport za Tanzania, bila shaka aliwasilisha taarifa za uongo kwa Afisa wa serikali, jambo ambalo ni kinyume Cha sheria, na ni moja ya tabia za kifisadi.
Natoa rai idara ya uhamiaji imwage moto kwa kuanzisha uchunguzi kuhusu suala hili.
Watoto hawa wamekuwa wakifaidi bajeti ya nchi yetu, na kuwanyima watoto halali wa kitanzania haki ya kutumia fedha zao.
Ni ngumu sana kwa Tanzania kuendelea, kama mtu anayeutaka urais, Kila akilipwa mafao ya ubunge, fedha zote anahamisha kupeleka marekani, ananunua majumba huko, halafu anarudi anajifanya kupigania maendeleo ya Tanzania.
Pia wizara ya ardhi iweke alama nyekundu kwenye ardhi anazomiliki Tundu Lissu na au wanae. Kwa sheria za Tanzania, raia wa kigeni haruhusiwi kumiliki ardhi, kama Kuna tuviwanja kanunua kwa jina la mwanae, basi hati hizo zifutwe, na pia kama Lissu akifa, watoto wake hawaruhusiwi kurithi ardhi kwa kuwa si raia wa Tanzania.
Unafikiri kuitaja chadema ndio kinga dhidi ya akili yako mgando?Kweli, na Mimi kama Chadema ninapiga kelele sana kuhusu matumizi mabaya ya ruzuku, ACT ya juzi tu Ina Ofisi Kali ya ghorofa, sisi Hela zinaliwa tu
Wanaweza kuwekeza kama wawekezajiUraia pacha uruhusiwe tu Ili tukuze uchumi, wabongo kibao wanataka kuwekeza home nje ni pa kutafuta walichukua pasipoti za nje Ili iwe rahisi kupata kingi.
Anayesema hairuhusu ni nani?Sheria yetu hairuhusi uraia pacha ndiyo anaongelea mleta mada.
Kibali na gharama za uwekazaji sio pesa kidogo,pili unaishi kwa kibali KILA baada ya miaka 2 unaomba tena.Wanaweza kuwekeza kama wawekezaji
Kipi kinachowashinda?
Ndio ujue waliopo nje wengi shughuli zao ni za kijungu jiko[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Kijana Fanya kazi umiliki vyakoo atakama wanae watakuwa wana uraia wa nje ila haiondoi haki za lisu kumuliki ardhi, kumiliki kitu chochote kisheria maana yeye si RAIA wa marekani bali wanae na haki zote alizostaili kuzipata ni zake kwaiyo Fanya kazi upate pesa uachane na roho mbaya inayokuandamaWatoto wa Tundu Antipas Mughway Lissu ni raia wa marekani, lakini baba yao aliwachukulia passport za Tanzania, bila shaka aliwasilisha taarifa za uongo kwa Afisa wa serikali, jambo ambalo ni kinyume Cha sheria, na ni moja ya tabia za kifisadi.
Natoa rai idara ya uhamiaji imwage moto kwa kuanzisha uchunguzi kuhusu suala hili.
Watoto hawa wamekuwa wakifaidi bajeti ya nchi yetu, na kuwanyima watoto halali wa kitanzania haki ya kutumia fedha zao.
Ni ngumu sana kwa Tanzania kuendelea, kama mtu anayeutaka urais, Kila akilipwa mafao ya ubunge, fedha zote anahamisha kupeleka marekani, ananunua majumba huko, halafu anarudi anajifanya kupigania maendeleo ya Tanzania.
Pia wizara ya ardhi iweke alama nyekundu kwenye ardhi anazomiliki Tundu Lissu na au wanae. Kwa sheria za Tanzania, raia wa kigeni haruhusiwi kumiliki ardhi, kama Kuna tuviwanja kanunua kwa jina la mwanae, basi hati hizo zifutwe, na pia kama Lissu akifa, watoto wake hawaruhusiwi kurithi ardhi kwa kuwa si raia wa Tanzania.
Marekani wanatumia Juis soilKwanza hao watoto waweza kuwa raia wa Matekani kwa kuzaliwa.
Nijuavyo mke wa Lissu aliwahi kuishi na kusoma Us
Umeme unakatika hovyo unakuja na hoja za passport za Watanzania wenzio kisa unawajua wakati hizi Nchi za Afrika karibu nyingi Wahindi na watu wa Bara la Asia wanazitumia vizuri wakimaliza mambo yao wanaendelea na mishe zingine...
Ndio gharama ya kukana uraia wako wa nchi ya asili kwa faida binafsi za kiuchumi.Kibali na gharama za uwekazaji sio pesa kidogo,pili unaishi kwa kibali KILA baada ya miaka 2 unaomba tena.
Hao watoto wanaumri chini ya miaka 22! Bado wanasoma wameweza vipi kumiriki ardhi?Watoto wa Tundu Antipas Mughway Lissu ni raia wa marekani, lakini baba yao aliwachukulia passport za Tanzania, bila shaka aliwasilisha taarifa za uongo kwa Afisa wa serikali, jambo ambalo ni kinyume Cha sheria, na ni moja ya tabia za kifisadi.
Natoa rai idara ya uhamiaji imwage moto kwa kuanzisha uchunguzi kuhusu suala hili.
Watoto hawa wamekuwa wakifaidi bajeti ya nchi yetu, na kuwanyima watoto halali wa kitanzania haki ya kutumia fedha zao.
Ni ngumu sana kwa Tanzania kuendelea, kama mtu anayeutaka urais, Kila akilipwa mafao ya ubunge, fedha zote anahamisha kupeleka marekani, ananunua majumba huko, halafu anarudi anajifanya kupigania maendeleo ya Tanzania.
Pia wizara ya ardhi iweke alama nyekundu kwenye ardhi anazomiliki Tundu Lissu na au wanae. Kwa sheria za Tanzania, raia wa kigeni haruhusiwi kumiliki ardhi, kama Kuna tuviwanja kanunua kwa jina la mwanae, basi hati hizo zifutwe, na pia kama Lissu akifa, watoto wake hawaruhusiwi kurithi ardhi kwa kuwa si raia wa Tanzania.
Lissu aliwakosea nini jamii hii?Hao watoto wanaumri chini ya miaka 22!!Bado wanasoma wameweza vipi kumiriki ardhi??
Unasema wamekuwa wakifaidi pesa ya nchi,bongo,pesa ipi?
Kama walikuwa wakifaidi wakati Bado ni wabongo,ni haki yao?!
Yaani mtu kutafuta uraia wa nchi nyingine,na kuukana uraia wake wa awali,we unaona ni ufisadi??akili huna kabisa,kila mtu duniani,ana haki ya kubadilisha uraia,passport zao za bongo,zipo USA,zifste pale ubalozini,
Kuna ufisadi unapigwa kwenye SGR,umeme,mafuta,na gesi,mbuga zetu,
Ila wewe kwa kuwashwa unamuona lisu tu!!
Wewe utafaidika nini katika hili?Watoto wa Tundu Antipas Mughway Lissu ni raia wa marekani, lakini baba yao aliwachukulia passport za Tanzania, bila shaka aliwasilisha taarifa za uongo kwa Afisa wa serikali, jambo ambalo ni kinyume Cha sheria, na ni moja ya tabia za kifisadi.
Natoa rai idara ya uhamiaji imwage moto kwa kuanzisha uchunguzi kuhusu suala hili.
Wako under 18 ya konyoMtu mzima anaandika utumbo mtupu yaani hata sheria za nchi yako huzijui . Hivi hujui kwamba mtoto chini ya 18 anaweza kuwa rraia wa nchi mbili wa kurithi kwa wazazi na wa kuzaliwa hadi akifikisha umri wa 18 ndio itabidi aukane uraia mmoja.
Sasa Lissu akisema watoto wake ni raia wa Marekani unashangazwa na nini wakati ni watoto under 18 na walizaliwa USA. Kwa kweli hoja zinazotolewa na kizazi cha sasa zinatia aibu.
Yaani wana zero exposure halafu wanajidai wajuaji. Wakati mwingine ficheni aibu zenu