Dialysis
JF-Expert Member
- Sep 22, 2021
- 325
- 677
- Thread starter
- #21
Huelewi kitu ,Tuliza kichwa Kwanza.Mimi naona uhamiaji inalaumiwa bure. Je, huyo mama alikuwa na na passport ya Africa Mashariki akakataliwa kuendelea na safari? Tukitunga sheria lazima tuzifuate. Hatuwezi kuchagua sheria ipi ifuatwe na ipi isifuatwe. Huyu mama angekuwa na makaratasi yanayotakiwa angeendelea na safari. Kwanza unajuaje ni kweli anaenda Kenya. Unajuaje ni Mrundi. Kwa nini hakuwa na passport? Je huko Kenya angeingiaje bila passport? Si angeisha kurudishwa mpakani. Kama alipata uchungu na kwenda Nyasho Clinic, si ni afadhali kuliko kupatia uchingu ndani ya gari ambapo huduma ya ukunga hakuna?
Uhamiaji wa Kwanza ilikuaje wakamuruhusu kuvuka mpaka?(Burundi -Ngara)
2. Umejua chanzo cha uchungu huo?
3. Uhamiaji hawezi kuwa na Sheria zinaweza kusaidia kwa watu kama hao?
4. Passport atatoa wapi hata hela ya chakula nyumbani imeshindikana.