Uhamiaji naomba muwamulike Wanaijeria walio Tanzania

Uhamiaji naomba muwamulike Wanaijeria walio Tanzania

Acha wivu mkuu,

Umasikini wako ndy uMekufanya ukekuwa kiroporopo kama kasuku
wewe utakuwa mhamiaji haramu kutoka Burundi au DRC.

Ninacho kisema hapa sio kwamba Tanzania haikatai wageni bali tusicho kitaka ni wale wageni wanao ingia Nchini bila kufuata taratibu, yaani wanaingia kwa njia za panya/haramu na badae wanajifanya ni watanzania na kisha kujichanganya, hao ni watu hatari sana kwa amani na usalama wa nchi yetu.

Wahmiaji haramu wote walio jificha kila kona wasakwe na kisha wachukuliwe hatua za kisheria na kisha warudiahwe makwao.

wahamiaji haramu wanao ingia au walio ingia kwa njia haramu sio watu wazuri, inawezekana kabisa wakawa majambazi, wezi, matapeli n.k

Tanzania sio shamba la bibi, ukitaka kuingia fuata taratibu sio ujanjaujanja.
Uhamiaji sakeni hawa kunguni wote kisha eudisheni makwao.
 
Kuna wanaija walilala hotel fulani kule Mwanza. Wakataka kulipa kwa card, machine ikagoma. Hawana hela, mwenye hotel kawadandia. He took them to the bank ili kama labda machine ina shida. Wakaenda, jamaa wa bank alipopmba card zao wakagoma asizishike.
Jamaa akawaambia....basi sawa...ATM ile pale katoeni pesa mumpe. Mafi.......card bandia.

Unaijua card skimming?
Ndio michezo ya Wanaija. Yuko Tz pesa inapigwa South Africa.
 
Sio wamulikwe tu,Watimuliwe kabisaa! Wanataka kutia kitumbua chetu mchanga.
 
Back
Top Bottom