Uhamiaji naomba muwamulike Wanaijeria walio Tanzania

Uhamiaji naomba muwamulike Wanaijeria walio Tanzania

Mnigeria hawezi kutoka Nigeria kuja Tanzania kushona nguo, bahati mbaya hujui unaloliandika.zile namba ni hatari, kule USA mara nyingi ukitua uwanjani (international flight) kama ni black most likely utaulizwa are you from Nigeria? if yes, you are subjected to further grilling
Kwanini wakuulize wakati Passport yaeleza yote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si wapopo tu waCongoman wamejaa mtaani,wanajiita wabembe wa kibirizi

Nchi imefunguliwa acheni watu tutafute pesa,chamsingi hatupori mali za watu kama wazawa
 
Yule mama mkuu wa Uhamiaji imemshinda anachekacheka tu. hawa wanaigeria na wakongo sio wa kuwachekea hawa wanatakiwa wawasake usiku apàrtment kwa apartment hasa hasa tabata na mtaa wa Agrey k/koo, wanaingia na gia ya kuwaoa mabinti wa kibogo.
 
Wameingia kihalali au wamezamia??
 
Mikoa ya Pembezoni haswa Kigoma wamejazana Raia wa kigeni amabo hawana vibali vya kufanya kazi,
Kuna wimbi la raia wa Burundi na DRC.
ni vyema mikoa ya mipakani ikapewa uangalizi wa hali ya Juuuuu maana wahalifu hugeuza mikoa hiyo kuwa chimbo.
Rukwa,katavi,Kigoma,Kagera na Tabora kuna lundo la wakongo,warundi na wanyarwanda.
 
Yule mama mkuu wa Uhamiaji imemshinda anachekacheka tu. hawa wanaigeria na wakongo sio wa kuwachekea hawa wanatakiwa wawasake usiku apàrtment kwa apartment hasa hasa tabata na mtaa wa Agrey k/koo, wanaingia na gia ya kuwaoa mabinti wa kibogo.
Vanessa Mdee
 
Wanatuletea Tabia za ajabu ajabu Sana wageni..ndio Mana msomali hataki ndabo za wageni ..mimtu Ina kukhanith kwenye ardhi yako...
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kumbe na ww uliona
Haki nilishangaa sana watu wamenunua Moet & Chandon Nectar imperial Rose kama sikosei ambazo bei yake iko juu Imperial Brut....

Nikajiuliza hawa mabishoo mpunga wanautoa wapi jamani???
Kwakweli wachunguzwe usikute ndo watoa figo za watu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kabisaaaa.
 
Si wapopo tu waCongoman wamejaa mtaani,wanajiita wabembe wa kibirizi

Nchi imefunguliwa acheni watu tutafute pesa,chamsingi hatupori mali za watu kama wazawa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Niwape pongezi Idara ya Uhamiaji Tanzania kwa kazi nzuri mnayozidi kuifanya.

Ila kuna vitu vidogo mnahitaji kuvifanyia kazi. Kuna wimbi kubwa la vijana wa Nigeria wapo humu nchini wanafanya biashara ambazo hazieleweki.

Unakuta mNigeria eti anashona nguo. Kuna tukio moja limetokea Kidimbwi mwezi mmoja nyuma ambako waNigeria walinunua chupa 100 za champagne aina ya Moet na kugawia watu hovyo.

Bei ya Moet ni 250,000/= Hawa vijana wa Nigeria inabidi wachunguzwe maana sasa hivi wanaenda mbali na kujificha kwenye kujifanya wameoa dada zetu wa kiTanzania.

Lingine ni kuhusu hawa raia wa kigeni wanaopewa Business visa wakati wanafanya kazi ambazo wazawa pia wanaweza kufanya. Hili pia kwakweli tunawaomba muliangalie kwa umakini sana.
Kati ya idara za hovyo hapa nchini ni uhamiaji na sijui kwanini haijamufuliwa.Polisi ina nafuu kuliko uhamiaji.hovyo kabisa.wahindi wapakistani wengi sana wanaishi kwenye magodown huko vingunguti na uhamiaji wanajifanya hawaoni.Hao wanaigeria wanafahamika uhamiaji ni mwendo wa rushwa tu.
 
Mwingine huyu huku,watu wamekaa kikuda kudaaaa tu siku hizi si mfanye mambo yenu kwani mnaijeria akiwa hapa nchini wewe unapungukiwa nini?

watu wanafanya biashara ziwe halali au haramu Serikali n wajibu wake kuwafatlia,eti umeumia watu kugaiwa Moet,huo unaonyesha ni wivu wa kimaskini.

Kwahyo hizo moet uliwapa hao wanaijeria hela wakaenda nunulia au walitumia pesa zao? kwanini msijifunze kutafuta pesa na nyie vijana acheni kuendekeza Chuki zisizo na maana.

Umewaona wanaijeria tu hii nchi,wachina huwaoni,wahindi je wote hao huwaoni pelekesha kule roho lako baya.
Mnaijeria rudi kwenu...
Usiwe mkali wenyewe wakikutimua.
 
Back
Top Bottom