Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Muafrika unambagua muafrika mwenzio tena ndani ya Afrika. Wenzio wamekuja kutafuta wewe umelala tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha uchawi, roho mbaya, husda na chuki mkuu. Havitakusaidia maishani.Niwape pongezi Idara ya Uhamiaji Tanzania kwa kazi nzuri mnayozidi kuifanya.
Ila kuna vitu vidogo mnahitaji kuvifanyia kazi. Kuna wimbi kubwa la vijana wa Nigeria wapo humu nchini wanafanya biashara ambazo hazieleweki.
Unakuta mNigeria eti anashona nguo. Kuna tukio moja limetokea Kidimbwi mwezi mmoja nyuma ambako waNigeria walinunua chupa 100 za champagne aina ya Moet na kugawia watu hovyo.
Bei ya Moet ni 250,000/= Hawa vijana wa Nigeria inabidi wachunguzwe maana sasa hivi wanaenda mbali na kujificha kwenye kujifanya wameoa dada zetu wa kiTanzania.
Lingine ni kuhusu hawa raia wa kigeni wanaopewa Business visa wakati wanafanya kazi ambazo wazawa pia wanaweza kufanya. Hili pia kwakweli tunawaomba muliangalie kwa umakini sana.
Taguta duka jingine mkuu ili kujipunguzia mateso unayopata kutokana na chuki kali sana ikisindikizwa na wivu😂Kuna mmoja yuko mwanza anauza spea used za magari, nadhani sheria za JF hazikubali kutaja majina. Aisee huyu tunaita wa mwisho, spea ya 40000 ukienda kwake anakutajia laki moja kama hutaki sepa. Yaani ukienda kwake, unaeza amua kupaki gari tu
Mapopo ni wabauguzi sana wenyewe kwa wenyewe wabaguana kwa dini na kabilaMuafrika unambagua muafrika mwenzio tena ndani ya Afrika. Wenzio wamekuja kutafuta wewe umelala tu
Sasa hapo kosa lake ni lipi?Kuna mmoja yuko mwanza anauza spea used za magari, nadhani sheria za JF hazikubali kutaja majina. Aisee huyu tunaita wa mwisho, spea ya 40000 ukienda kwake anakutajia laki moja kama hutaki sepa. Yaani ukienda kwake, unaeza amua kupaki gari tu
Sasa nini kibaya hapo, mbona wachina wanafanya biashara za umachinga kariakoo na hamlalamiki?Wamefungua maduka ya pochi Kariakoo ni balaa
Unashangaa bei ya Moet? Karibu nyumbani kwangu tunywe Dom PerignonHiyo MOET ina ujazo wa Mita Cubic ngapi?
Kwa inavoonekana wewe spea pekee umewahi kununua ni kichongeo ya penseli. Endelea hivo hivoTaguta duka jingine mkuu ili kujipunguzia mateso unayopata kutokana na chuki kali sana ikisindikizwa na wivu😂
Akili kumkichwa.
Me siitaki kujua wanafanya deals Gani ila Wana ni mafighter ile mbaya.
Sasa wewe hadaika na Dini YAKO kwamba halali ndo yenye heriii... Eti ni kujiwekea hazina mbinguni , hazina ya konyo.
Tafuta kitabu cha 48 laws of power.
Fanya tafiti ... Hakuna halali duniani
Walimpiga mimba Dada mmoja hapo Sinza. Jamaa akaondoka akasema anaenda kuandaa taratibu za utambulisho kwao Nigeria ili binti aende. Ndio moja kwa moja hadi leo. Sema binti nae mshenzi alipoona jamaa harudi na simu haipatikani kaenda kuchomoa mimba. Sasa ameolewa na mbongo. Wake zetu wamepitia mengiWanaigeria ni wapigaji sana, Hao unaowaona wanashangaa shangaa mitaani wanatuibia hela sisi na dada zetu wanawakaza. Hawa jamaa ni wakufurushwa kabisa.
Tunataka Jeshi la Uhamiaji LITIMIZE majukumu yake inavyo takiwa.Rukwa,katavi,Kigoma,Kagera na Tabora kuna lundo la wakongo,warundi na wanyarwanda.
Tunakalia majungu na kulialia tuSasa Mnigeria akishon nguo wewe huwezi kushon pia??
Kazi gani za wazawa wamechukua?
Halafu unajidai unajua Tanzania. Mwongo sana wewe.Rukwa,katavi,Kigoma,Kagera na Tabora kuna lundo la wakongo,warundi na wanyarwanda.
Usilete siasa za maga hapaTunataka Jeshi la Uhamiaji LITIMIZE majukumu yake inavyo takiwa.
Unamjua mwenye shamba au?Kamwe nchi yetu isiwe kama shamba la bibi, wahamiaji wanaingia kiholela bila utaratibu na wanaishi bila vibali na hata kufanya kazi.
Kwani wenye dhamana na hilo hawajui?Hii ni hatari kwa uslama wa nchi yetu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unashangaa bei ya Moet? Karibu nyumbani kwangu tunywe Dom Perignon
Acha wivu mkuu,Tunataka Jeshi la Uhamiaji LITIMIZE majukumu yake inavyo takiwa.
Kamwe nchi yetu isiwe kama shamba la bibi, wahamiaji wanaingia kiholela bila utaratibu na wanaishi bila vibali na hata kufanya kazi.
Hii ni hatari kwa uslama wa nchi yetu.