We acha kusapoti ujinga.. Tanzania ndo nahisi ni nchi jalala kwa raia wengi wa kigeni..tunaishi kishkaji sana na tunaachia raia wa kigeni mpaka wanajipenyeza kwenye taasisi za kiserikali ..wewe nenda tu hapo Rwanda au Mozambique utaona jinsi wenzetu walivo strict na mambo ya uhamiaji! Raia yyte wa kigen kana hana vibali ni sumu kwenye uchumi wetu!Ni wivu, gubu na akili ya kimasikini a.k.a wanyonge ndio mnawaona wanaigeria, sababu mpo mpo tu vijiweni na kuzurura mjini bila shughuli badala kujishughulisha..... muuza duka Mangi hawaoni, muuza mazao kutoka mikoani hawaoni na sisi mbona hata
Watanzania ujamaa umewalemaza saana,mlaumuni nyerere aisee,mnalia hakuna ajira halafu mnakomaa nchini kwenu licha ya mateso mnayolia kila siku mnayapata kutoka kwenye serikali zenu!
Dunia ya sasa haina mipaka watu wanasambaa nchi mbalimbali kusaka fursa,mkiona wamejazana kwenu na nyie nendeni kwao!!wanajeria wanakaribia milion 400 sasa,unategemea watajazana lwenye kanchi kao pale?? Waache waje kwa wazembewazembe kama huku wakamatie fursa,nyie endeleen kulala mnaenda kidmbwi kugongea Moët