DOKEZO Uhamiaji nendeni nyumba za wageni za Mbagala Zakhem kagueni kila usiku mtakuta Wasomali na Waethiopia wamefichwa kusubiri kusafirishwa

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Watu wako on transit to S.A unahangaika nao wa Nini?
Kenya said the same yakawakuta ya kuwakuta. With hiyo short transit to SA, ikifumbiws macho hao hao kuna watakao baki bongo bila passport, kwa root hiyo hiyo madawa yatapitishwa, itakuwa ndio on transit ya kufadhili ya ugaidi since hawapii check point yoyote basi ni rahisi sana kuwabebsha na vitu vingine
 
Tatizo wengine ni magaidi ya kisomali
 
Hapo wanapita tu
Hawajapita.Wamefika,wakapanga vyumba "guest".Na inaonesha bado wapo.Kwa nini?Wapo kihalali?Nani anawaficha?Kwa lengo lipi?Anazijua taratibu za mgeni kuwepo nchini,mkoani,wilayani,tarafani,katani,mtaani,kitongojini,kwenye nyumba na eneo alilofikia?Wataondoka?Lini?
 
Kumbe wanapita tu kwenda majuu tengenezeni utaratibu mzuri ili wapite kihalali na msimamie mpaka wanaingia kwenye mapipa basi.
 
Kumbe wanapita tu kwenda majuu tengenezeni utaratibu mzuri ili wapite kihalali na msimamie mpaka wanaingia kwenye mapipa basi.
kwani unahisi hamna utaratibu halali? kama usingekuwepo tusingekuwa na uhamiaji na viwanja vya ndege.
 
Kwa ubinadamu uko sawa kwa asilimia 50% ila kwa uzalendo hauko sawa kwa asilimia 50%
Mtoa mada amefanya uzalendo.
Nchi zote duniani huwezi kuingia nchi ya watu bila kufuata taratibu
Watu wakiingia kiholela nchi inaweza kukaribisha vikundi vya kigaidi kama Boko haram,Alshababu n.k
Watu wengi wanapenda kukimbilia Marekani kutafuta maisha ila pamoja na haya huwezi kuingia Marekani kiholela bila kuingia mikono ya kisheria.
Hata wewe mwenyewe assume ua nyumba yako umejenga kubwa tu labda ina vyumba 50 unakaa na wapangaji wako na wewe ukiwa na vyumba vyako na familia yako mke na watoto wa kike na kiume.

Sidhani kama utafurahia wapangaji wako kila mara wanakaribisha wageni wasioleweka kila siku wanaingia na kutoka na wewe ukawa na amani.
Unaweza karibisha majambazi au wageni wengine wakakuharibia watoto
 
Wabongo wanawaacha wachina wapo busy kuuza nywere Kariakoo kwa kusambaza kama Machinga huku wakiwasumbua Waafrika wenzao ukiwa unapita pita Nchi za watu hauwezi kuwa na Roho ya kichawi hata hapo Johannesburg, Forsburg walipo Wasomali wengi wabongo wanaonekana Wachawi sana kwa tabia hizi...
 
Ww kumbaf kabisa hujui madhara ya wahamiaji haramu?
wengine wanaingia kwa staili hiyohiyo kuleta machafuko
 
Mkuu kwa nini hii sheria iwe Tanzania tu kwa Wasomali kwa nini Nchi zingine hakuna tatizo shida tumewakubali Wa Marekani kwa kutuambia hawa watu wasipite popote harafu wao USA ndio Nchi ya kwanza kuwakubali Wasomali na kuwapa Uraia wakifika kwao..
 
Wanatuzalishiaaa na madada zetuuu kabisa
 
Ww kumbaf kabisa hujui madhara ya wahamiaji haramu?
wengine wanaingia kwa staili hiyohiyo kuleta machafuko
Ras Kapita mbona wapo Warundi na Wanyarwanda kibao mpaka Mkuu wa Majeshi kasema na wengine wana madaraka makubwa hawa wapitaji ndio mnaona wana madhara...unakuta Mnyarwanda yupo Uhamiaji anamnyima Passport Mtanzania kwa maswali ya kipuuzi puuzi...
 
Hii nchi yetu.sababu hakujawahi kutokea vita.tunaishi kimazoea sana.tujipongeze
 
Mganga vipi wamekuibukia nn usiku??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…