Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kenya said the same yakawakuta ya kuwakuta. With hiyo short transit to SA, ikifumbiws macho hao hao kuna watakao baki bongo bila passport, kwa root hiyo hiyo madawa yatapitishwa, itakuwa ndio on transit ya kufadhili ya ugaidi since hawapii check point yoyote basi ni rahisi sana kuwabebsha na vitu vingineWatu wako on transit to S.A unahangaika nao wa Nini?
Umewahi kujiuliza kama madhara yoyote yanayoweza kutokea kwa uwepo wao?Acha wivu mkuu watu wanaenda joberg huku acha tuchukue dollar zao
Uwepo wao joberg au?Umewahi kujiuliza kama madhara yoyote yanayoweza kutokea kwa uwepo wao?
Tatizo wengine ni magaidi ya kisomaliUkisikia roho mbaya za kichawi ndo hizi, ndo maana wabongo wengi hata passport hawana sababu ya kuogopa safari. Mbongo yeyote aliyesafiri akavuka mipaka ya Tanzania hawezi kuja kuchoma watu wanaopambana kutafuta maisha.
Hivi mu Ethiopia akilala Mbagala wiki moja huku akichangia kipato gesti na vyakula mchana usiku, baadae akapanda basi au ndege kuelekea South Africa wewe na umaskini wako unapungukiwa nini?,au nini kinaongezeka kwenye maisha yako!?
Wakikamatwa wakatozwa hela wakaruhusiwa kwenda mbele kwenye akaunti yako zinaongezeka shilingi ngapi!? Mambo mengine jifunzeni kuwa mnayaona na kukausha, hao wa Ethiopia hawajachagua kukimbia nchi yao, ni hali ngumu ya maisha.
Nyie ndo kipindi cha utumwa mlikuwa mnawaonesha waarabu, Babu zetu walipojificha kwa malipo ya slice za mikate. Mpumbavu kabisa mleta mada huna akili, na nahisi unakula na kulala kwa shemeji.
Hapo "guest" Dasilamu kwa Pdidy.Uwepo wao joberg au?
Hapo wanapita tuHapo "guest" Dasilamu kwa Pdidy.
Hawajapita.Wamefika,wakapanga vyumba "guest".Na inaonesha bado wapo.Kwa nini?Wapo kihalali?Nani anawaficha?Kwa lengo lipi?Anazijua taratibu za mgeni kuwepo nchini,mkoani,wilayani,tarafani,katani,mtaani,kitongojini,kwenye nyumba na eneo alilofikia?Wataondoka?Lini?Hapo wanapita tu
Kumbe wanapita tu kwenda majuu tengenezeni utaratibu mzuri ili wapite kihalali na msimamie mpaka wanaingia kwenye mapipa basi.Muda si mrefu tutawapa na Serikali za mitaa wanavyoongezeka. Immigration fanyeni msako wa guest za Mbagala Zakhem kila Alhamisi mpaka Jumapili
Hizi guest nyingi huhifadhi waethiopia wanaosubiria kula pipa kwenda Joberg...
Nendeni mida kama hii saba mpaka kumi usiku......
Mtupe na mrejesho wa idadi ya mliowakuta...
kwani unahisi hamna utaratibu halali? kama usingekuwepo tusingekuwa na uhamiaji na viwanja vya ndege.Kumbe wanapita tu kwenda majuu tengenezeni utaratibu mzuri ili wapite kihalali na msimamie mpaka wanaingia kwenye mapipa basi.
Kwa ubinadamu uko sawa kwa asilimia 50% ila kwa uzalendo hauko sawa kwa asilimia 50%Ukisikia roho mbaya za kichawi ndo hizi, ndo maana wabongo wengi hata passport hawana sababu ya kuogopa safari. Mbongo yeyote aliyesafiri akavuka mipaka ya Tanzania hawezi kuja kuchoma watu wanaopambana kutafuta maisha. Hivi mu Ethiopia akilala Mbagala wiki moja huku akichangia kipato gesti na vyakula mchana usiku, baadae akapanda basi au ndege kuelekea South Africa wewe na umaskini wako unapungukiwa nini?,au nini kinaongezeka kwenye maisha yako!?,.., wakikamatwa wakatozwa hela wakaruhusiwa kwenda mbele kwenye akaunti yako zinaongezeka shilingi ngapi!?,mambo mengine jifunzeni kuwa mnayaona na kukausha, hao wa Ethiopia hawajachagua kukimbia nchi yao, ni hali ngumu ya maisha. Nyie ndo kipindi cha utumwa mlikuwa mnawaonyesha waarabu, Babu zetu walipojificha kwa malipo ya slice za mikate. Mpumbavu kabisa mleta mada huna akili, na nahisi unakula na kulala kwa shemeji.
Wabongo wanawaacha wachina wapo busy kuuza nywere Kariakoo kwa kusambaza kama Machinga huku wakiwasumbua Waafrika wenzao ukiwa unapita pita Nchi za watu hauwezi kuwa na Roho ya kichawi hata hapo Johannesburg, Forsburg walipo Wasomali wengi wabongo wanaonekana Wachawi sana kwa tabia hizi...Ukisikia roho mbaya za kichawi ndo hizi, ndo maana wabongo wengi hata passport hawana sababu ya kuogopa safari. Mbongo yeyote aliyesafiri akavuka mipaka ya Tanzania hawezi kuja kuchoma watu wanaopambana kutafuta maisha.
Hivi mu Ethiopia akilala Mbagala wiki moja huku akichangia kipato gesti na vyakula mchana usiku, baadae akapanda basi au ndege kuelekea South Africa wewe na umaskini wako unapungukiwa nini?,au nini kinaongezeka kwenye maisha yako!?
Wakikamatwa wakatozwa hela wakaruhusiwa kwenda mbele kwenye akaunti yako zinaongezeka shilingi ngapi!? Mambo mengine jifunzeni kuwa mnayaona na kukausha, hao wa Ethiopia hawajachagua kukimbia nchi yao, ni hali ngumu ya maisha.
Nyie ndo kipindi cha utumwa mlikuwa mnawaonesha waarabu, Babu zetu walipojificha kwa malipo ya slice za mikate. Mpumbavu kabisa mleta mada huna akili, na nahisi unakula na kulala kwa shemeji.
Ww kumbaf kabisa hujui madhara ya wahamiaji haramu?Ukisikia roho mbaya za kichawi ndo hizi, ndo maana wabongo wengi hata passport hawana sababu ya kuogopa safari. Mbongo yeyote aliyesafiri akavuka mipaka ya Tanzania hawezi kuja kuchoma watu wanaopambana kutafuta maisha.
Hivi mu Ethiopia akilala Mbagala wiki moja huku akichangia kipato gesti na vyakula mchana usiku, baadae akapanda basi au ndege kuelekea South Africa wewe na umaskini wako unapungukiwa nini?,au nini kinaongezeka kwenye maisha yako!?
Wakikamatwa wakatozwa hela wakaruhusiwa kwenda mbele kwenye akaunti yako zinaongezeka shilingi ngapi!? Mambo mengine jifunzeni kuwa mnayaona na kukausha, hao wa Ethiopia hawajachagua kukimbia nchi yao, ni hali ngumu ya maisha.
Nyie ndo kipindi cha utumwa mlikuwa mnawaonesha waarabu, Babu zetu walipojificha kwa malipo ya slice za mikate. Mpumbavu kabisa mleta mada huna akili, na nahisi unakula na kulala kwa shemeji.
Mkuu kwa nini hii sheria iwe Tanzania tu kwa Wasomali kwa nini Nchi zingine hakuna tatizo shida tumewakubali Wa Marekani kwa kutuambia hawa watu wasipite popote harafu wao USA ndio Nchi ya kwanza kuwakubali Wasomali na kuwapa Uraia wakifika kwao..Japokuwa sikubaliana na suala la kuchomana kabisa, si jambo zuri. Lakini Bwana james na ww umeleta utetezi wa kitanzania, is not about “unapungukiwa nini?”
Is about sheria na usalama wa nchi.
Hizo kauli kama zako zinasikika sana kwa wavunja sheria wakitaka kuhalalisha mambo yao, na si tu kwneye hilo hadi ufisadi, matapeli, wasafirishaji madawa ya kulevya, prositutes.
Bottom line kila mtu anatafuta riziki, but hatuwez kuzitafuta kama lawless, other wisehakuna haja ya kuwa na serikali
Kuna njia halali za kusafiri lakini sio hizo za kujana kwenye V8 kama ndizi
Wanatuzalishiaaa na madada zetuuu kabisaKenya said the same yakawakuta ya kuwakuta. With hiyo short transit to SA, ikifumbiws macho hao hao kuna watakao baki bongo bila passport, kwa root hiyo hiyo madawa yatapitishwa, itakuwa ndio on transit ya kufadhili ya ugaidi since hawapii check point yoyote basi ni rahisi sana kuwabebsha na vitu vingine
Ras Kapita mbona wapo Warundi na Wanyarwanda kibao mpaka Mkuu wa Majeshi kasema na wengine wana madaraka makubwa hawa wapitaji ndio mnaona wana madhara...unakuta Mnyarwanda yupo Uhamiaji anamnyima Passport Mtanzania kwa maswali ya kipuuzi puuzi...Ww kumbaf kabisa hujui madhara ya wahamiaji haramu?
wengine wanaingia kwa staili hiyohiyo kuleta machafuko
Mganga vipi wamekuibukia nn usiku??Ukisikia roho mbaya za kichawi ndo hizi, ndo maana wabongo wengi hata passport hawana sababu ya kuogopa safari. Mbongo yeyote aliyesafiri akavuka mipaka ya Tanzania hawezi kuja kuchoma watu wanaopambana kutafuta maisha.