Uhamiaji ni jeshi, na hii si kwa Tanzania tu. Uhsmiaji unahusiana na masuala ya sheria za usafiri kati ya nchi na nchi, pia uhalifu kwenye mipaka ya nchi.Salamu, ili taasisi iitwe jeshi means ina uwezo wa ku-access silaha mbalimbali pia Ina kikosi maalumu ndani yake.
Mfano magereza wao Wana K, police wao Wana FFU na jwtz Wana makomandoo.
Je, Hawa uhamiaji wame-qualify kuitwa jeshi? Wana silaha? Wana special forces? Ikitokea mikiki wanaweza kupambana wenyewe?
Pia Wana kambi? Kama hivyo hawana why raia wanaliita jeshi? Kwa Nini wanasalimiana "sijambo afande"? Na kupigiana salute?
Nasubiri majibu.
Jeshi kwa lugha ya kiingereza ni military full stop. Si sahihi kabisa kutumia neno jeshi kwa vyombo vya kiraia kama magereza, polisi, uhamiaji na zimamoto.Salamu, ili taasisi iitwe jeshi means ina uwezo wa ku-access silaha mbalimbali pia Ina kikosi maalumu ndani yake.
Mfano magereza wao Wana K, police wao Wana FFU na jwtz Wana makomandoo.
Je, Hawa uhamiaji wame-qualify kuitwa jeshi? Wana silaha? Wana special forces? Ikitokea mikiki wanaweza kupambana wenyewe?
Pia Wana kambi? Kama hivyo hawana why raia wanaliita jeshi? Kwa Nini wanasalimiana "sijambo afande"? Na kupigiana salute?
Nasubiri majibu.
Ulichoandika ni maoni yako na sio ukweli. Neno 'Jeshi' kwa lugha ya kiingereza hufahamika kama 'Military'. Hata hivyo kiswahili kimekosa tafsiri sahihi ya neno 'force' na ndicho anachouliza mleta mada kwa kuhoji kama uhamiaji ni 'force'?Salamu, ili taasisi iitwe jeshi means ina uwezo wa ku-access silaha mbalimbali pia Ina kikosi maalumu ndani yake.
Mfano magereza wao Wana K, police wao Wana FFU na jwtz Wana makomandoo.
Je, Hawa uhamiaji wame-qualify kuitwa jeshi? Wana silaha? Wana special forces? Ikitokea mikiki wanaweza kupambana wenyewe?
Pia Wana kambi? Kama hivyo hawana why raia wanaliita jeshi? Kwa Nini wanasalimiana "sijambo afande"? Na kupigiana salute?
Nasubiri majibu.
Salamu, ili taasisi iitwe jeshi means ina uwezo wa ku-access silaha mbalimbali pia Ina kikosi maalumu ndani yake.
Mfano magereza wao Wana K, police wao Wana FFU na jwtz Wana makomandoo.
Je, Hawa uhamiaji wame-qualify kuitwa jeshi? Wana silaha? Wana special forces? Ikitokea mikiki wanaweza kupambana wenyewe?
Pia Wana kambi? Kama hivyo hawana why raia wanaliita jeshi? Kwa Nini wanasalimiana "sijambo afande"? Na kupigiana salute?
Nasubiri majibu.
Uhamiaji pesa ipoSalamu, ili taasisi iitwe jeshi means ina uwezo wa ku-access silaha mbalimbali pia Ina kikosi maalumu ndani yake.
Mfano magereza wao Wana K, police wao Wana FFU na jwtz Wana makomandoo.
Je, Hawa uhamiaji wame-qualify kuitwa jeshi? Wana silaha? Wana special forces? Ikitokea mikiki wanaweza kupambana wenyewe?
Pia Wana kambi? Kama hivyo hawana why raia wanaliita jeshi? Kwa Nini wanasalimiana "sijambo afande"? Na kupigiana salute?
Nasubiri majibu.
Na michongo ya kutoa vibali vya kuingia nchini, vya kuishi na passport...Uhamiaji pesa ipo
Kwa sheria za Tz hata polisi sio jeshi! Na maafisa wake ni gazzetted kasoro makamishna tu, wengine wote wanavalishwa visoda vyao na IGP au mwanasiasa waziri wa mambo ya ndani! Only JWTZ offices are commissioned kuanzia luteni usu upwards. Ni rais tu anayevalisha commissioned officers nyota zao mabeganiJeshi kwa lugha ya kiingereza ni military full stop. Si sahihi kabisa kutumia neno jeshi kwa vyombo vya kiraia kama magereza, polisi, uhamiaji na zimamoto.
Haiitwi majeshi kimazoea , ni katiba imetaja kuwa hayo ni majeshi na siyo mazoeaKwa TZ historia inatuhukumu: Polisi, Magereza, Uhamiaji, Zimamoto, TISS na hata TAKUKURU; hizi ni idara/taasisi za serikali kwa ajili ya kutoa huduma. Tembelea Ofisi za Uhamiaji pote nchini utakuta bango lao limeandika Idara ya Uhamiaji. Magereza (ilipaswa kuwa Prisons Service), Polisi (Police Services), Zimamoto (Fire & Rescue Services), TISS (Tanzania Intelligency & Security Services). Kumbuka, huwezi kuwa mtoa huduma, ukitumia maguvu ya kijeshi (Military powers), ingawa wanaruhusiwa kutumia 'nguvu ya kadri' Tumekuwa tukiita majeshi kwa mazoea na mpaka imekuwa hivyo; lakini baadhi ya nyaraka za kisheria bado zinavitamka vikosi hivyo kama vikosi/idara za huduma. Kutumia silaha si hoja, maana bado silaha zote nchini zinazidhibitiwa na TPDF/JWTZ, kuanzia uagizwaji wake.
Unaposikia Mkuu wa Majeshi, maana yake ni Mkuu wa Majeshi (Kamandi) za Anga (Air Wing), Maji (Navy), Aridhini (Infantry), JKT (National Service) na Jeshi la Akiba. Hata hivyo vikosi vingine vya Usalama huweza kujumuishwa katika opresheni za kijeshi mfano vita chini ya uongozi wa JWTZ.
NB: Hata hao waliopewa hadhi ya Jeshi-Usu, ni kwa kuwa wameruhusiwa kutumia baadhi ya silaha nzito za kivita!
Sheria ipi hiyo? Katiba imetaja majeshi Magereza na polisi imetajwa kuwa ni majeshi au kuna mabadiliko kwenye katiba?Kwa sheria za Tz hata polisi sio jeshi! Na maafisa wake ni gazzetted kasoro makamishna tu, wengine wote wanavalishwa visoda vyao na IGP au mwanasiasa waziri wa mambo ya ndani! Only JWTZ offices are commissioned kuanzia luteni usu upwards. Ni rais tu anayevalisha commissioned officers nyota zao mabegani
Soma maelezo, lete hiyo inayosema ni majeshi, niliyonayo inasema ni service tuSheria ipi hiyo? Katiba imetaja majeshi Magereza na polisi imetajwa kuwa ni majeshi au kuna mabadiliko kwenye katiba?
Jibu ndo hili full stop. Mods funga uziUlichoandika ni maoni yako na sio ukweli. Neno 'Jeshi' kwa lugha ya kiingereza hufahamika kama 'Military'. Hata hivyo kiswahili kimekosa tafsiri sahihi ya neno 'force' na ndicho anachouliza mleta mada kwa kuhoji kama uhamiaji ni 'force'?
Kwenye nchi yoyote inayofuata demokrasia mamlaka ya kiraia hutenganishwa na mamlaka ya kijeshi(military). Kwahiyo vyombo vyote vya usalama vilikovyoko chini ya wizara ya ndani ni vyombo vya kiraia na viko chini ya utawala wa kiraia ambao mkuu wake ni rais.
Labda una tafsiri ingine ya jeshi mwenzetu, naona ni services tuBunge ilipitisha kuwa Idara ya uhamiaji itambulike kama jeshi, mafunzo yao awali walikua wanafanyia kwenye vyuo vya magereza na polisi kabla ya kejengewa chuo chao huko Tanga
Mkuu soma sheria ya UHAMIAJI majibu yote yapo humo.Salamu, ili taasisi iitwe jeshi means ina uwezo wa ku-access silaha mbalimbali pia Ina kikosi maalumu ndani yake.
Mfano magereza wao Wana K, police wao Wana FFU na jwtz Wana makomandoo.
Je, Hawa uhamiaji wame-qualify kuitwa jeshi? Wana silaha? Wana special forces? Ikitokea mikiki wanaweza kupambana wenyewe?
Pia Wana kambi? Kama hivyo hawana why raia wanaliita jeshi? Kwa Nini wanasalimiana "sijambo afande"? Na kupigiana salute?
Nasubiri majibu.
Tatizo wa Tz wengi hamtaki kujifunza hata sheria ndogondogo hata katiba hamuijui Sect 147(4) Cap 9 inatambua Magereza na polisi kama majeshi, na katiba inakataza kuwa ni marufuku mtu yoyote kuunda jeshi ingekua kisheria siyo majeshi wasingejiita majeshi usifikiri wanajiita kimazoea kama unavyodhani kwa faida zaidi soma hapaSoma maelezo, lete hiyo inayosema ni majeshi