Uhamiaji ni jeshi au idara ya kawaida?

Uhamiaji ni jeshi au idara ya kawaida?

Mwigulu ndo katafsiri katiba? Unafikiri neno Service lilikua gumu sana kutafsiri kwa kiswahili? Mbona rahisi sana kwenye katiba wangeandika "Idara ya polisi, Idara ya magereza / huduma ya polisi, huduma ya magereza kwani kuna ugumu gani kuandika hivyo kwenye katiba na wakaandika jeshi? Mbona Immigration iliitwa Idara ya uhamiaji?

USA yenyewe kila jimbo polisi inaitwa Idara utakutana na LAPD, NYPD, CPD, PPD , kwanini Tz hazijaitwa idara? Ni kwasababu nchi inaendeshwa na katiba na kwenye katiba yametajwa kuwa ni majeshi, sasa kaniletee katiba yako nyingine iliyokataa kuwa siyo majeshi
View attachment 3166635
Unapokuwa hujui unatakiwa kukubali hujui ili upate elimu. Ukiulizwa hapo jeshi ni nini utajibu kitu tofauti kabisa. Katiba sio kamusi kwamba inatafsiri maana ya vitu mbalimbali.

Katiba sio kamusi. Wewe unafahamu neno 'Military' lina maanisha nini kwa kiswahili?
 
Salamu, ili taasisi iitwe jeshi means ina uwezo wa ku-access silaha mbalimbali pia Ina kikosi maalumu ndani yake.

Mfano magereza wao Wana K, police wao Wana FFU na jwtz Wana makomandoo.

Je, Hawa uhamiaji wame-qualify kuitwa jeshi? Wana silaha? Wana special forces? Ikitokea mikiki wanaweza kupambana wenyewe?

Pia Wana kambi? Kama hivyo hawana why raia wanaliita jeshi? Kwa Nini wanasalimiana "sijambo afande"? Na kupigiana salute?

Nasubiri majibu.

About Immigration Department​


Who we are​


The Immigration Services Department is established under Section 4(1) of the Immigration Act of 1995 Chapter 54 as amended by Act No.8 of 2015. It gives the Department the authority to control and facilitate immigration issues in the United Republic of Tanzania. The Department is one of the security organs under Ministry of Home Affairs.
 
Tatizo wa Tz wengi hamtaki kujifunza hata sheria ndogondogo hata katiba hamuijui Sect 147(4) Cap 9 inatambua Magereza na polisi kama majeshi, na katiba inakataza kuwa ni marufuku mtu yoyote kuunda jeshi ingekua kisheria siyo majeshi wasingejiita majeshi usifikiri wanajiita kimazoea kama unavyodhani kwa faida zaidi soma hapaView attachment 3166532
Ni "kwa madhumuni ya ibara hii"...!!!
 
Back
Top Bottom