Uhamiaji, NIDA na RITA, mfungulieni Kesi ya Uhujumu Uchumi Diamond Platnumz kwa Kumiliki nyaraka fake za Serikali. Vitambulisho vyote anyang'anye

Acha nicheke, 😂😂😂😂😂😂😂
 
Mtu alie kulea, alie kulisha, alie kufundisha Jinsi ya kupiga mswaki, kuoga, shave, kusoma na kukusomesha, it’s sound like a dad hata kama sio Baba yako. Diamond ni Mtu mzima anatakiwa afikiri kwa kutumia utu uzima wale, mama ni mama , Lkn wana siri zao kubwa , ya wazee yawache kwa wazee
 
Kuna hatari wanaume wengi wakawachukia watoto wao, na pesa zao wakatumia wanavyojua. Na ustawi wa jamii wanakomalia kugombana na wanaume wasiotunza watoto lakini katika hili wako kimya. Je! Hawaoni moyo wa mwanaume kunyanyasika? Je! Hawaoni hatari ya wanaume wengi kukata tamaa na hivyo kujiweka kando na jukumu la malezi? Ustawi wa jamii wamekaa kimya, dini zimekaa kimya, na Mimi nakaa kimya.
 
Ni kosa kubwa Diamond alifanya Kukana Baba yake Mzazi na kudai Baba yake ni Nyange ambaye hatokei kwenye Nyaraka yoyote kati ya anazozimiliki kutoka Serikali.
Lini na wapi nassib alimkana huyo baba yake?
Weka clip hapa
 
Nenda katafute pesa,acha kufatilia maisha ya watu,tangu lini serikali ikakuchagulia Mzazi,baba au mama,au ikakuchagulia jina,?
Hv unaelewa hata taratibu za kupata passport?nyaraka moja ya muhimu kuwa nayo ni Cheti Cha kuzaliwa,jina lililopo hapo ndio litakalotumika,
Sasa shida ipo wapi?
Kisheria hata ukitaka kubadirisha jina inatuhusiwa,Sasa Mond kavunja Sheria ipi?,kusema Baba yangu ni A na sio B?
Hapa anayetskiwa kufungua kesi ni Mzee Abdul,ambaye aliaminishwa Naseeb ni mwanaye kumbe siyo,amshitski mama Mond kwa udanganyifu.
 

Tafuta pesa ndugu
Utasujudiwa mpaka na upepo,umaskini ni nusu ya ukafiri
 
Mbona kama unaonesha chuki badala ya kushauri kistaaarabu ..........uoni kama ni aibu kujiambia au kutamka ujinga wako........wewe ulisikia wapi ........wewe ulisikia wapi diamond akikanusha yule sio BABA yake........utafungwa Kwa kukurupuka.......NB....kukataa kumpa misaada aimaanishi yule sio BABA yake labda Wana tofauti zao uko wenyewe
 
Huyu ni kada wa CCM hivyo yupo juu ya mamlaka za nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…