Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa waliamua kumkata ngebe mzee wao asipige mizinga.Hyo ilikuwa Kiki yao na ukaamini ni serious matter. Hafu aliyetolea ufafanuzi ni mama yake
Namuogopa sana mama Diamond, asije akasema kuwa hata Nyange alimsingizia mimba, baba halali wa Diamond ni BujibujiDuh
Simpendi Diamond but duh hii too much.
Lini na wapi nassib alimkana huyo baba yake?Ni kosa kubwa Diamond alifanya Kukana Baba yake Mzazi na kudai Baba yake ni Nyange ambaye hatokei kwenye Nyaraka yoyote kati ya anazozimiliki kutoka Serikali.
Bwashee acha basi kutuvunja 🤣🤣Mchaga wa Kibosho!
Nenda katafute pesa,acha kufatilia maisha ya watu,tangu lini serikali ikakuchagulia Mzazi,baba au mama,au ikakuchagulia jina,?Salaam Wakuu,
Vyombo vya Serikali viache double standard.
View attachment 1685906
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimzawadia kofia msanii Naseeb Abdul maarufu kama Diamond Platinumz baada ya kutumbuiza maelfu kwa maelfu ya wananchi waliohudhuria mkutano wa kampeni Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza Jumatatu Septemba 7, 2020
Ni Wakati wa Taasisi ya Uhamiaji ichukue passport ya Msanii wa Bongo Fleva Nasibu Abdul Juma Issack(Diamond Platnumz) na imuwekee Mazingira rafiki ya kupata Passport nyingine kwa jina la nyange. Ni kosa kubwa Diamond alifanya Kukana Baba yake Mzazi na kudai Baba yake ni Nyange ambaye hatokei kwenye Nyaraka yoyote kati ya anazozimiliki kutoka Serikali.
Hata hivyo Uhamiaji, NIDA na RITA, Wameonesha UDhaifu Mkubwa, ilitakiwa wake wameshamfungulia Kesi ya Uhujumu Uchumi Diamond kwa Kumiliki nyaraka fake za Serikali. Vitambulisho vyote anyang'anywe.
Naseeb ni kioo cha Tanzania, Sasa Dunia Nzima inaangalia utendaji kazi wa vyombo hivi vya Serikali.
Kitendo cha kuendelea kumkalia kimya ni kumkosea haki yake ya Msingi. Nyaraka zinazomhusu Diamond zilizopo Uhamiaji zichomwe moto. Sheria za nchi zimtendee haki.
Baada ya hapo achukuliwe hatua kwanini Walitengenza nyaraka za Uongo wakati wanajua ni Uongo.
Muda wote Serikali imedanganywa Baba wa Diamond ni Mzee Abdul kumbe ni Mzee nyange. Muda wote Wamekua Wakitumia Udanganyifu kujipatia kipato kwa Jina la Mzee Abdul.
Ni muda sasa Diamond apeleke nyaraka zake Uhamiaji. Tumezoea kuona Uhamiaji wakiwahoji wakina Zitto, Askofu Kakobe na Eyakuze.
Ni udhaifu Mkubwa kwa Uhamiaji, NIDA na RITA kukalia kimya swala hili la kukana jina lililo kwenye nyaraka za Serikali.
Mama Yake Diamond na Diamond Wapandishwe Kisutu kwa Uhujumu Uchumi na Udanganyifu.
Zaidi soma: Mama Diamond: Mzee Abdul alinikuta nina mimba ya Naseeb (Diamond) na aliikataa. Ricardo Momo na Diamond ni ndugu, baba yao ni Salum Idd Nyange
WachagaNyange ni kabila gani
Salaam Wakuu,

Duh.. Ni mwanaume ila unatamka kabisa simpendi fulani, aiseeDuh
Simpendi Diamond but duh hii too much.
Mbona kama unaonesha chuki badala ya kushauri kistaaarabu ..........uoni kama ni aibu kujiambia au kutamka ujinga wako........wewe ulisikia wapi ........wewe ulisikia wapi diamond akikanusha yule sio BABA yake........utafungwa Kwa kukurupuka.......NB....kukataa kumpa misaada aimaanishi yule sio BABA yake labda Wana tofauti zao uko wenyeweSalaam Wakuu,
Vyombo vya Serikali viache double standard.
View attachment 1685906
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimzawadia kofia msanii Naseeb Abdul maarufu kama Diamond Platinumz baada ya kutumbuiza maelfu kwa maelfu ya wananchi waliohudhuria mkutano wa kampeni Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza Jumatatu Septemba 7, 2020
Ni Wakati wa Taasisi ya Uhamiaji ichukue passport ya Msanii wa Bongo Fleva Nasibu Abdul Juma Issack(Diamond Platnumz) na imuwekee Mazingira rafiki ya kupata Passport nyingine kwa jina la nyange. Ni kosa kubwa Diamond alifanya Kukana Baba yake Mzazi na kudai Baba yake ni Nyange ambaye hatokei kwenye Nyaraka yoyote kati ya anazozimiliki kutoka Serikali.
Hata hivyo Uhamiaji, NIDA na RITA, Wameonesha UDhaifu Mkubwa, ilitakiwa wake wameshamfungulia Kesi ya Uhujumu Uchumi Diamond kwa Kumiliki nyaraka fake za Serikali. Vitambulisho vyote anyang'anywe.
Naseeb ni kioo cha Tanzania, Sasa Dunia Nzima inaangalia utendaji kazi wa vyombo hivi vya Serikali.
Kitendo cha kuendelea kumkalia kimya ni kumkosea haki yake ya Msingi. Nyaraka zinazomhusu Diamond zilizopo Uhamiaji zichomwe moto. Sheria za nchi zimtendee haki.
Baada ya hapo achukuliwe hatua kwanini Walitengenza nyaraka za Uongo wakati wanajua ni Uongo.
Muda wote Serikali imedanganywa Baba wa Diamond ni Mzee Abdul kumbe ni Mzee nyange. Muda wote Wamekua Wakitumia Udanganyifu kujipatia kipato kwa Jina la Mzee Abdul.
Ni muda sasa Diamond apeleke nyaraka zake Uhamiaji. Tumezoea kuona Uhamiaji wakiwahoji wakina Zitto, Askofu Kakobe na Eyakuze.
Ni udhaifu Mkubwa kwa Uhamiaji, NIDA na RITA kukalia kimya swala hili la kukana jina lililo kwenye nyaraka za Serikali.
Mama Yake Diamond na Diamond Wapandishwe Kisutu kwa Uhujumu Uchumi na Udanganyifu.
Zaidi soma: Mama Diamond: Mzee Abdul alinikuta nina mimba ya Naseeb (Diamond) na aliikataa. Ricardo Momo na Diamond ni ndugu, baba yao ni Salum Idd Nyange
Huyu ni kada wa CCM hivyo yupo juu ya mamlaka za nchiSalaam Wakuu,

Siyo DNA?Anayeamua baba ako awe nani ni mama yako sasa diamond ana kosa gani hapo
Na mzee katulizwa alizidi jamani Hadi kero hafu mbaya zaidi ni kumzalilisha diamondHapa waliamua kumkata ngebe mzee wao asipige mizinga.
Sasa watu watampuuzia no wonder bi sandra alimkimbia, hafu ana nguvu kwanini asifanye kaxi daily kutafta public sympathyYule mzee anapenda kamera,hawezi kuacha kukaa mbele ya makamera.