Uhamiaji, NIDA na RITA, mfungulieni Kesi ya Uhujumu Uchumi Diamond Platnumz kwa Kumiliki nyaraka fake za Serikali. Vitambulisho vyote anyang'anye

Hakuna sheria kama hiyo mkuu japo mimi si mwanasheria unless kuwe na lengo la kumkomoa mtu, jina siyo lazima liwe na uhusiano na biological parent, mtu anaweza tumia jina lolote lile ili mradi liwe ndo jina lake halali. Mbona kuna watu kibao wamelelewa katika familia fulani na kutumia majina ya ukoo huo, nadhani mwenye haki ya kukataa jina ni Diamond na si uhamiaji NIDA wala RITA
 
Vipi yule DC wa kisarawe?

Au wivu tu kwa mondi?
 
Tumeshakujua ww ni timu ileeeeee sijui infidele.
 
Tafuta hela habar nyngne tuwaachie vyombo husika
 
Huyu mleta mada Kama sio Richi mavoko basi atakua mwarabu faita
 
Huyu mleta mada Kama sio Richi mavoko basi atakua mwarabu faita
 
kijana uchawi sio lazima upae na ungo...huu uchawi hata gamboshi hamna
 
You are very smart bro.
 
Unamdai au alikunyang'anya dem nini?
 
Tafuta pesa mwandishi acha kuwa na roho mbaya na ya korosho kwa pesa za wanaume wenzako ili na ww uje utafutwe kama yy sio kwenye J forum

Jina alipewa na walezi wake na sio yeye pili mtoto ni lazima apewe majina matatu au mawili hili sio ombi ni lazima akisha zaliwa.

Ukielewa neno baba mzazi na baba mlezi itakuwa vizuri
 
Mtoto anapozaliwa mzazi huwa anakwenda kuandika jina la mtoto na wazazi wake, kama kwenye cheti chake cha kuzaliwa hakuna jina la Mzee Abdul dogo hana haki ya kutumia hilo jina maana kwa watoto ambao ubini wao unakuwa tofauti na jina la baba, jina la mtoto kwenye cheti linaandikwa lote kwenye kipengele cha jina.

Kama vile mie mwanangu kutokana na kuvutiwa na mabandiko yako nitamwita Joseph Figganiga hivyo kwenye jina la mtoto yataandikwa majina yote mawili lakini nikitaka atumie jina langu la Kalimilo pale kwenye jina la mtoto pataandikwa Joseph tu kwa kuwa huku chini kwenye jina la baba itasoma jina langu

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…