nduza
JF-Expert Member
- Feb 7, 2019
- 1,595
- 2,503
Ni wangapi wamepima DNA kuthibitisha ubini wao?Siyo DNA?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni wangapi wamepima DNA kuthibitisha ubini wao?Siyo DNA?
Hakuna sheria kama hiyo mkuu japo mimi si mwanasheria unless kuwe na lengo la kumkomoa mtu, jina siyo lazima liwe na uhusiano na biological parent, mtu anaweza tumia jina lolote lile ili mradi liwe ndo jina lake halali. Mbona kuna watu kibao wamelelewa katika familia fulani na kutumia majina ya ukoo huo, nadhani mwenye haki ya kukataa jina ni Diamond na si uhamiaji NIDA wala RITASalaam Wakuu,
Vyombo vya Serikali viache double standard.
View attachment 1685906
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimzawadia kofia msanii Naseeb Abdul maarufu kama Diamond Platinumz baada ya kutumbuiza maelfu kwa maelfu ya wananchi waliohudhuria mkutano wa kampeni Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza Jumatatu Septemba 7, 2020
Ni Wakati wa Taasisi ya Uhamiaji ichukue passport ya Msanii wa Bongo Fleva Nasibu Abdul Juma Issack(Diamond Platnumz) na imuwekee Mazingira rafiki ya kupata Passport nyingine kwa jina la nyange. Ni kosa kubwa Diamond alifanya Kukana Baba yake Mzazi na kudai Baba yake ni Nyange ambaye hatokei kwenye Nyaraka yoyote kati ya anazozimiliki kutoka Serikali.
Hata hivyo Uhamiaji, NIDA na RITA, Wameonesha UDhaifu Mkubwa, ilitakiwa wake wameshamfungulia Kesi ya Uhujumu Uchumi Diamond kwa Kumiliki nyaraka fake za Serikali. Vitambulisho vyote anyang'anywe.
Naseeb ni kioo cha Tanzania, Sasa Dunia Nzima inaangalia utendaji kazi wa vyombo hivi vya Serikali.
Kitendo cha kuendelea kumkalia kimya ni kumkosea haki yake ya Msingi. Nyaraka zinazomhusu Diamond zilizopo Uhamiaji zichomwe moto. Sheria za nchi zimtendee haki.
Baada ya hapo achukuliwe hatua kwanini Walitengenza nyaraka za Uongo wakati wanajua ni Uongo.
Muda wote Serikali imedanganywa Baba wa Diamond ni Mzee Abdul kumbe ni Mzee nyange. Muda wote Wamekua Wakitumia Udanganyifu kujipatia kipato kwa Jina la Mzee Abdul.
Ni muda sasa Diamond apeleke nyaraka zake Uhamiaji. Tumezoea kuona Uhamiaji wakiwahoji wakina Zitto, Askofu Kakobe na Eyakuze.
Ni udhaifu Mkubwa kwa Uhamiaji, NIDA na RITA kukalia kimya swala hili la kukana jina lililo kwenye nyaraka za Serikali.
Mama Yake Diamond na Diamond Wapandishwe Kisutu kwa Uhujumu Uchumi na Udanganyifu.
Zaidi soma: Mama Diamond: Mzee Abdul alinikuta nina mimba ya Naseeb (Diamond) na aliikataa. Ricardo Momo na Diamond ni ndugu, baba yao ni Salum Idd Nyange
Angetoa singo angeiti afanye collabo na harmonize.Singo moja tu angepata pesa ya kumalizia mda wake duniani.Yule mzee anapenda kamera,hawezi kuacha kukaa mbele ya makamera.
Tumeshakujua ww ni timu ileeeeee sijui infidele.Salaam Wakuu,
Vyombo vya Serikali viache double standard.
View attachment 1685906
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimzawadia kofia msanii Naseeb Abdul maarufu kama Diamond Platinumz baada ya kutumbuiza maelfu kwa maelfu ya wananchi waliohudhuria mkutano wa kampeni Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza Jumatatu Septemba 7, 2020
Ni Wakati wa Taasisi ya Uhamiaji ichukue passport ya Msanii wa Bongo Fleva Nasibu Abdul Juma Issack(Diamond Platnumz) na imuwekee Mazingira rafiki ya kupata Passport nyingine kwa jina la nyange. Ni kosa kubwa Diamond alifanya Kukana Baba yake Mzazi na kudai Baba yake ni Nyange ambaye hatokei kwenye Nyaraka yoyote kati ya anazozimiliki kutoka Serikali.
Hata hivyo Uhamiaji, NIDA na RITA, Wameonesha UDhaifu Mkubwa, ilitakiwa wake wameshamfungulia Kesi ya Uhujumu Uchumi Diamond kwa Kumiliki nyaraka fake za Serikali. Vitambulisho vyote anyang'anywe.
Naseeb ni kioo cha Tanzania, Sasa Dunia Nzima inaangalia utendaji kazi wa vyombo hivi vya Serikali.
Kitendo cha kuendelea kumkalia kimya ni kumkosea haki yake ya Msingi. Nyaraka zinazomhusu Diamond zilizopo Uhamiaji zichomwe moto. Sheria za nchi zimtendee haki.
Baada ya hapo achukuliwe hatua kwanini Walitengenza nyaraka za Uongo wakati wanajua ni Uongo.
Muda wote Serikali imedanganywa Baba wa Diamond ni Mzee Abdul kumbe ni Mzee nyange. Muda wote Wamekua Wakitumia Udanganyifu kujipatia kipato kwa Jina la Mzee Abdul.
Ni muda sasa Diamond apeleke nyaraka zake Uhamiaji. Tumezoea kuona Uhamiaji wakiwahoji wakina Zitto, Askofu Kakobe na Eyakuze.
Ni udhaifu Mkubwa kwa Uhamiaji, NIDA na RITA kukalia kimya swala hili la kukana jina lililo kwenye nyaraka za Serikali.
Mama Yake Diamond na Diamond Wapandishwe Kisutu kwa Uhujumu Uchumi na Udanganyifu.
Zaidi soma: Mama Diamond: Mzee Abdul alinikuta nina mimba ya Naseeb (Diamond) na aliikataa. Ricardo Momo na Diamond ni ndugu, baba yao ni Salum Idd Nyange
Chagga people kma sio marangu Ni machame[emoji2][emoji2]Nyange ni kabila gani
Hii sio sahihi. Ahukumiwe kulingana na sheria inavyosema.Afungwe maisha.
Usipompenda mtu ambaye hata hakujui wewe ndiye unayeumia.Duh
Simpendi Diamond but duh hii too much.
You are very smart bro.Mtu alie kulea, alie kulisha, alie kufundisha Jinsi ya kupiga mswaki, kuoga, shave, kusoma na kukusomesha, it’s sound like a dad hata kama sio Baba yako. Diamond ni Mtu mzima anatakiwa afikiri kwa kutumia utu uzima wale, mama ni mama , Lkn wana siri zao kubwa , ya wazee yawache kwa wazee
MsambaaNyange ni kabila gani
Kibao mkuuNi wangapi wamepima DNA kuthibitisha ubini wao?