una screen short nini kibox ambacho hujajaza passport number ? sababu zingine haziwi full form unajaza tu kidirisha kimoja then kina pop up kidirisha cha pili ujaze nk kila unapopiga next .Kwa hiyo mtu asi creen shot kidirisha hicho kitupu cha dirisha la kwanza akuletee kama ushahidi!!!! ha ha ha uwiii mbavu zangu mimi .Uhamiaji kitengo cha passport kuna shida!!!SCREEN SHOT OR PRINT-
Mkuu passport ni hati ya kusafiria wala siyo kitambulisho
Ndio tumefika huko!? Sitaki kuamini! Lakini haitashangaza ndani ya utawala huu hili kutokea.
WE WA AJABU SANA
tena huyo ni wa ajabu jabina
I dont need to see books to notice your weaknessesAcha ubaguzi wako wa kikoloni mwanamke maana yake niini umesoma kweli wewe
Tunatambua kwamba kigezo hicho kilikuwepo lakini kumbuka kwamba hakikuwa kizuizi kikuu , sasa hivi hicho kimeshakuwa kizuizi halisi , na kwa ajili hii imebidi litolewe tangazo lenye uzito mkubwa kama hili ulionalo hapaWewe itakuwa huna hiyo nyaraka na hujawahi kukaribianana na yeyeyote aliewahi hata kufikiria kuwa nayo.
Mshangae huyo alielitoa hilo tamko sasa ila utaratibu unalazimisha iwepo sababu ya safari miaka yote sio leo wala jana.
Walivyo Majuha watakujibu kwani Tanzania hakuna Vyuo Vikuu hadi uende huko Nje na Ng'ambo?Sisi tunatafuta scholarships, kwenye Application wanataka namba za passport.. itakuaje
Swala sio Roboti wala Karagosi.Jiki kitu ndicho kinaitwa kufanya kazi kama robot kwa mazoea ohhh miaka yote sisi huwa tunafanya hivi hivi!!!! AKILI INAKUWA ROBOT NA UTENDAJI KAZI WA KIROBOTI
Ndio maana Raisi anakuwa mkali kila siku kuwa watendaji kazi serikalini wabadilike waache kufanya kazi kwa mazoea
Skolashipu uende kwa mabeberu! Lazima uvipende vya kwenu.Sisi tunatafuta scholarships, kwenye Application wanataka namba za passport.. itakuaje
Vya kwetu tunavipenda lakini tukubali vilivyotuzidiSkolashipu uende kwa mabeberu! Lazima uvipende vya kwenu.
Tuwekee hapa hicho kifungu cha sheria kinachosema mwuomba passport atatakiwa kujieleza anaenda wapi na kufanya nini ndipo apewe passport.Hebu tuwekee hicho kifungu cha sheriaSwala sio Roboti wala Karagosi.
Swala ni uthibitisho wa sababu ya Safari na hilo lipo Kisheria,
Nilipata passport ndani ya wiki 2 na sikupita njia za panyakwa njia za panya labda
Hoja yako ni mbaya kabisa isiyo na utu. Je, hukuzaliwa na mwanamke? Ukumbuke hoja yako inamgusa mama yako pia. Jitahidi kustaarabika.Idara inaongozwa na mwanamke, maamuzi kama hayo siyashangai
My mom is different from uhamiaji LadyHoja yako ni mbaya kabisa isiyo na utu. Je, hukuzaliwa na mwanamke? Ukumbuke hoja yako inamgusa mama yako pia. Jitahidi kustaarabika.
Mkuu, mboma watu wanasoma mpaka Master Degree wakati hawana kazi.Sasa utaombaje passport kama huna matumizi nayo?
Si unakua na mpango wa safari ndio unatafuta passport!? Au nakosea ndugu zangu😃😃😃😃
Ushapata hiyo lottery au unamaanisha tangazo tu la hiyo bahati nasibu?Nikiambatanisha kiambata cha usa lottery kinachotaka nijaze taarifa za passport kabla sijatuma maombi kitakubalika?