Uhamiaji Tanzania: Bila dhumuni la safari hakuna kupewa pasi ya kusafiria (Passport)

Shule waliyoenda haijawasaidia. Walisoma kwa kukariri, na siyo kuulisha ufahamu ili kumwezesha kuwa mtatuzi wa matatizo.

Utafikiri watu hawafikirii, unaona wakati mwingine bora hata na robort.
 
Ukishaona nchi inaweka vikwazo vya kipumbavu hata kupata passport basi nchi inaelekea kufeli. Hapo wanatengeneza mifumo ilo rushwa itembee wajinga tu
 
Uko sahihi inatakiwa ku facilitate sio kukwamisha
Mfano unakuta soko mla kahawa Uganda bei nzuri mno kuliko Tanzania lakini ukitaka kupeleka unakwamishwa na watazania wenzetu hawataki uuze huko upate bei nzuri kwa roho mbaya tu

Acha kuwajumuisha watanzania wote. Wewe unajua ni akina nani ? Tusipende kuimba mapambio muda wote.

Hongera hapa ingawa unatusingizia watanzania. [emoji23]
 
Alafu anaeongea hivyo ni mtu mzima kasoma hajui dunia inakoelekea tunaongozwa na watu wajinga sana na wanaona hatuoni ujinga wao
 
Kwa utaratibu huu wanapoteza mapato mengi sana. Fikiria gharama za passport kisha uhimize kila raia awe nayo, walau hata milioni 8 tu.
Lakini pia kuwa na passport inaongeza hata usalama wa nchi.
 
Acha kuwajumuisha watanzania wote. Wewe unajua ni akina nani ? Tusipende kuimba mapambio muda wote.

Hongera hapa ingawa unatusingizia watanzania. [emoji23]
Please sijasema watanzania wote

Umeona neno wote hapo?

Wakwamishaji ni baadhi ya maafisa wa serikali ambao wanafumbiwa macho na baadhi ya maafisa wa serikali kuanzia ngazi za chini hadi juu wasiopenda maendeleo ya mtu wa chini au kuendekeza rushwa au tu kwa ubabe wao wa kijinga usio na maslahi kwa nchi
 
Tupeni nchi yetu Zanzibar, tumechoka na uvamizi, mbaki na passport zenu makabatini .
 
Pasipoti ndio nin?au kale kakitabu kalichoandikwa agano jipya?
 
Afrika tuna safari kubwa kwa akili hizi
 
Ukishaona nchi inaweka vikwazo vya kipumbavu hata kupata passport basi nchi inaelekea kufeli. Hapo wanatengeneza mifumo ilo rushwa itembee wajinga tu
Hivi na UHAMIAJI ni miongoni mwa taasisi zilizowahi kutajwa kukidhiri kwa rushwa?

Kama na yenyewe imo, huna haha ya kushangaa. Ni BUSINESS AS USUAL!
 
Shule waliyoenda haijawasaidia. Walisoma kwa kukariri, na siyo kuulisha ufahamu ili kumwezesha kuwa mtatuzi wa matatizo.

Utafikiri watu hawafikirii, unaona wakati mwingine bora hata na robort.
Globalisation hawaelewi hata maana yakr nini

Ni kuwa you open up foreigners waje iwe kutalii,kuwekeza, etc

Lakini Globalisation sio one way traffic na wewe immigration Tanzania inatakiwa urahisishe upatikanaji passport wananchi wako pia waende nje kutafuta fursa

Fursa hufuatwa husubiri nyumbani

Sasa ukisema ohh nitakupa passport ukishapata fursa hivi akili mtoa passport anazo kichwani kweli? Toka lini fursa inakufuata sio unaifuata huko iliko?
 
Kwani nini maani ya Pass- Port...,

Kwahio ndio hivyo ukitaka Passport hautanyimwa bali lazima uwe na nia ya kusafiri, na kinachotakiwa ni barua tu kama procedure kwamba unataka kusafiri kwenda sehemu fulani kwa sababu fulani.

Sioni tatizo sababu kuna loopholes nyingi kama unaenda kutembea utaambatanisha barua ya mwaliko kama kutembea kama mtalii utaambatanisha bank statement yako kwamba una uwezo, kama unatumwa kwenda kuangalia bidhaa za biashara utaweka barua ya mwenye biashara anakufadhili, kama ni scholarship utaambatanisha maelezo...

Hili sio jipya ni moja ya Vigezo vya uhamiaji walivyojiwekea; after all Passport kazi yake ni hio kupita border / port; kama ni ID nyingine hizo zipo pia na kwa kazi yake husika
 
Alafu anaeongea hivyo ni mtu mzima kasoma hajui dunia inakoelekea tunaongozwa na watu wajinga sana na wanaona hatuoni ujinga wao
Mkuu, utafiti wangu usio rasmi umenibainishia kuwa kuna baadhi ya watu walioenda shule na kupata mavyeti kibao lakini vichwani weupe.

Lakini kuna wengine, japo wanaweza wakawa na vyeti vya kawaida ila upstairs kunasoma vizuri.

Matendo ya mtu ndiyo yanayothibitisha kiwango chake cha hekima au upumbavu.
 
Kwani nini maani ya Pass- Port...,

Kwahio ndio hivyo ukitaka Passport hautanyimwa bali lazima uwe na nia ya kusafiri, na kinachotakiwa ni barua tu kama procedure kwamba unataka kusafiri kwenda sehemu fulani kwa sababu fulani.
Kifupi wewe kama uko serikalini kikazi una mawazo ya kizee hujastaafu tu kikongwe mjinga wewe

Hata huelewi dunia ilipo

Passport ukitaka kufanya hata mitihani ya kimataifa online ukiwa Tanzania lazima uwe na passport hata ukiomba kazi au scholarship,online kimataifa au tenda kimataifa online lazima uwe na passport

Vizee kama nyinyi hopeless kabisa tokeni maofisini mkalee vijukuu vyenu huko

Pisheni vijana washike nafasi

Upumbavu wenu wa kizee pelekeni kwa vijukuu vyenu pisheni vijana

Vijana washike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…