smaki
JF-Expert Member
- Jan 23, 2019
- 4,976
- 3,098
Tanzania walijifunza kwa Haile selasie alipeleka watu wake wengi wakasome nje. ili hatimae waje wajenge nchi yao hee!! Kilichompata!! ....ni ngumu kumesa!!!...Kwa kusoma ulichokiandika hapa, nimekufahamu kuwa zoezi lote hili limeanzishwa kwa sababu za uchoyo, kuzuia watu wasiweze kwenda nchi za nje. Ni kwa sababu hizo hizo za uchoyo ndio zinazowafanya kuamini kuwa kila anaetaka passport ndio anataka kwenda ulaya, sio kwengine kokote kule ULAYA tu, na hampendi watu waende ulaya. Sawa!
Ni ukoo wake mzima kuuawa! Wakahakikisha Hkn damu ya Haile selasie ktk nchi ile!!
Mmoja ya watu walio mfanyizia ni Mengistu Maliam nae akapinduliwa kwa sasa ni mzee sana yuko hapo zimbabwe.na
binti yake tumeoa.