Uhamiaji Tanzania: Bila dhumuni la safari hakuna kupewa pasi ya kusafiria (Passport)

Uhamiaji Tanzania: Bila dhumuni la safari hakuna kupewa pasi ya kusafiria (Passport)

Mi nilidhani passport ndo mkuu wa vitambulisho ama kitbulisho kiandamizi mbona nchi nyingine mtoto akizalowa tu anapewa na passport ? Du huyu mtoa maoni ndo yuko jikoni kutuandalia hizo kitu. Mawazo ya kimaskini
 
Nenda katoe rushwa then pata gamba urudi utulie sagari zingine huwa ni dharura km kuugua ama kuuguliwa na pasport inschukua mwezi na zaidi kupatikana. Nchi yangu Tanzania nakupenda kwa moyo wote
 
Inamaana hata ambaye ana passport lakini imekwisha muda wake,
Atahitaji kusubiri ili apate dhumuni la safari ndy abadilishe passport?

Hivi hawajuwi kama Kazi zingine applications ya Kazi pamoja na cv yanakwenda sambamba na passport copy,,na passport Namba?

Kweli huku ni kupatwa kwa tanzania.
 
Pengine siyo bure, kuna namna wananufaika na huo ukiritimba.
 
Nenda katoe rushwa then pata gamba urudi utulie sagari zingine huwa ni dharura km kuugua ama kuuguliwa na pasport inschukua mwezi na zaidi kupatikana. Nchi yangu Tanzania nakupenda kwa moyo wote
Na inawezekana, wengi waliopata ni baada ya kunyoosha mkono.

Halafu bado utaambiwa Serikali inapiga vita rushwa wakati yenyewe ndiyo inayapalilia mazingira ya rushwa.
 
Passport should be to every one, Tanzania hakuna kazi. Watu watawanyike duniani ili hatimaye walete pesa nyumbani.
Pia wapewe watanzania kwa ujumla wao, watanzania halisi wenye NATION I. D,
NI CHANZO PIA CHA MAPATO ENDAPO LIFE SPAN YAKE ITAKUWA 3 YEARS, NA BEI YAKE IKAWA HAIZIDI LAKI MBILI NA NUSU.
 
Inamaana hata ambaye ana passport lakini imekwisha muda wake,
Atahitaji kusubiri ili apate dhumuni la safari ndy abadilishe passport?

Hivi hawajuwi kama Kazi zingine applications ya Kazi pamoja na cv yanakwenda sambamba na passport copy,,na passport Namba?

Kweli huku ni kupatwa kwa tanzania.
Namfahamu mtu mmoja kutoka Mwanza, aliyesafiri kwenda Dar akitarajia kurejea nyumbani kwake Mwanza baada ya kufanikisha kilichompeleka Dar Es Salaam.

Lakini alipokuwa Dar, alilazimika kuunganisha safari kwenda ng'ambo. Ilikuwa ni safari ya ghafla sana na ya MUHIMU sana.

Kama asingekuwa na passport, mambo yangemharibikia.
 
siisiiiiiiemmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmuuuu oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee ila wao za kwao wanaletewa nyumbani wala hawajazi hata fomu wanapeleka majina tu na kadi zao finish.
Imeelekezwa, "kila mbuzi ale kulingana na urefu wa kambao yake'

Kamba zao ni ndefu.
 
Hii ndio taarifa mpya kutoka Uhamiaji iliyotolewa leo na Msemaji wake Paul Mselle.

Paul Mselle amesema haya...

Pasi ya kusafiria ni 'document' ya kiusalama na ni haki ya kiusalama na ni mali ya Serikali, pale ambapo mtu ataitumia vibaya basi anaweza akanyang’anywa

Pasi ya kusafiria sio kitambulisho kusema mtu achukue abaki nayo ndani ni lazima kuwe na dhumuni la safari, kama hauna safari hatuwezi kukupa pasi ya kusafiria

Mtu atakayepoteza Pasi yake ya kusafiria (Passport), itamlazimu kutoa taarifa Polisi pamoja na kutangaza kwenye gazeti na kwamba ni lazima atoe kiasi cha shilingi Laki tano kwa kupoteza Passport hiyo, na ili aweze kupata nyingine.

Kumekuwa na changamoto ya kuchelewa kwa pasi ya kusafiria sababu unakuta mtu hajakamilisha vigezo vya kupata pasi ya kusafiria. Kuna wengine wanawasilisha vyeti vya kuzaliwa ambavyo haviko kwenye mfumo wa RITA na ukimuuliza alikipataje anasema alimtuma mtu kwa maana ya vishoka na hawa unakuta wengine ni raia wa Tanzania na wengine sio raia wa Tanzania

Wengine nao unakuta taarifa za cheti cha kuzaliwa zinatofautiana na taarifa za vitambulisho vya Taifa, unakuta kwenye Kitambulisho cha TAIFA(NIDA) kazaliwa Temeke kwenye cheti kazaliwa Morogoro.

Wanaogeza wigo wa rushwa tu, hakuna lisilowezdkana
 
Labda, hawataki Watanzania wawe matajiri.

Mawazo ya kijamaa nayo, mhhh!!! Yanahuzunisha na kuchekesha kwa pamoja
Kuna shida kweli

Kufungua uchumi si tu kufungua uchumi.kwa wageni waje lakini pia kuondoa vikwazo mfano vya upataji passport ili na wananchi wako waende kwingine nchi zingine kutafuta fursa
 
Inamaana hata ambaye ana passport lakini imekwisha muda wake,
Atahitaji kusubiri ili apate dhumuni la safari ndy abadilishe passport?

Hivi hawajuwi kama Kazi zingine applications ya Kazi pamoja na cv yanakwenda sambamba na passport copy,,na passport Namba?

Kweli huku ni kupatwa kwa tanzania.
Uko sahihi
 
Idara inaongozwa na mwanamke, maamuzi kama hayo siyashangai.
hoja si kuongozwa na mwanamke alichokiongea ndo kipo hivyo hata kabla ya huyo mama kupewa wadhifa huo.kwa walio na passport wanajua ni lazima kwenye ile application form kuna sehemu inauliza dhumuni la safari,aidha kusoma,biashara nk.siyo swala jipya liko miaka nenda rudi.
 
Kwani hakuna hata mtu mmoja mwenye "akili" aliye kwenye mfumo wa maamuzi wa kuwashauri wenzake kuwa hiyo misimamo ilishapitwa na wakati miaka mingi iliyopita?
 
Sasa utaombaje passport kama huna matumizi nayo?

Si unakua na mpango wa safari ndio unatafuta passport!? Au nakosea ndugu zangu😃😃😃😃
Muda muafaka wa kuweka akiba ni wakati huna uhitaji nayo, ukisubiria mpaka umepata shida ndiyo uanze kukusanya Hela, inaweza ikawa ni too late.

Fursa zinaweza zikajitokeza, zitazomuhitaji mtu kusafiri kwa haraka. Ni aliye na passport pekee ndiye anayeweza kuidaka.

Passport siyo ya kuitafuta wakati wa kusafiri, inapaswa iwe tayari ikisubiria fursa ya safari.
 
Back
Top Bottom