johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hayo ndiyo maajabu ya viongozi wetu hapa TanzaniaKwa hiyo kuna mgombea ambaye siyo Mtanzania ana kitambulisho cha Taifa? ana kadi ya Mpiga kura?
Wakijikite CCMHasa waanze kuwafuatilia wenye matatizo kwenye kiswahili chao ndiyo watawagundua kwa urahisi sana
Hao ndiyo wamejazana ndani ya ccm tena wengine ni tegemeo lao kabisaWakijikite CCM
Wahindi, warabu na wasomali wanajiita watanzaniaHao ndiyo wamejazana ndani ya ccm tena wengine ni tegemeo lao kabisa
Sema MunguHapohapao Uhamiaji kulikuwa na Afisa Mwandamizi Mnyarwanda/Mrundi
Ngara, Mkinga, Sirari, HoloholoUhamiaji wakiwa Makini kuchunguza Wagombea ubunge wa Kigoma mjini basi Ccm itapita bila kupingwa huko mwaka huu
Hiyo channel unaitazama wewe pekee yako maana hakuna mtanzania wa kuiangalia hiyo kitu
Si yule mbunge mtarajiwa RIP MawazoHapohapao Uhamiaji kulikuwa na Afisa Mwandamizi Mnyarwanda/Mrundi
Yupo,tena ni huyu huyu mhutu namba moja.Kwa hiyo kuna mgombea ambaye siyo Mtanzania ana kitambulisho cha Taifa? ana kadi ya Mpiga kura?
Sijui Uhamiaji wamelitafakali hili kwa kina?Kuna mgombea mmoja kizazi chake cha pili bado wapo Burundi. Hapo anasemaje?
Kuwa muungwana kwa nchi yako, mtaje tuuuKuna mgombea mmoja kizazi chake cha pili bado wapo Burundi. Hapo anasemaje?