Statistics
JF-Expert Member
- Sep 22, 2013
- 3,666
- 7,788
Nilikuwa bukombe kwenye mazishi ya mzee biteko, Watusi aka wanyarwandwa walijazana pale kumuaga ndugu yao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lini?Nilikuwa bukombe kwenye mazishi ya mzee biteko, Watusi aka wanyarwandwa walijazana pale kumuaga ndugu yao.
Dah we jamaa eti ashukuriwe na apongezwe 😁😁😁Ni upumbavu kuna nani mwenye akili timamu atajipenyeza na kulazimisha uraia wa nchi hii, kama mtu amesema yeye mtanzania ashukuriwe na apongezwe.
Bwashee, umekosea, si ingesema tu kwamba TAL aliwekewa damu ya Wakenya?! Pia amekaa sana Ubelijiji!!😂Jamii ya wanyaturu ilitokea Ethiopia!
Bora huyo manake katiba inamruhusu..kuna mwingine ana uraia wa nchi mbili..na anajua vizuri Sana kwamba hairuhusiwi.Kuna mgombea mmoja kizazi chake cha pili bado wapo Burundi. Hapo anasemaje?
Hahahaaaa.......!Bwashee, umekosea, si ingesema tu kwamba TAL aliwekewa damu ya Wakenya?! Pia amekaa sana Ubelijiji!!😂
Tundu Lissu alienda Belgium kutibiwa baada ya kupigwa risasi 16 na serikali haijachukua hatua yoyote zaidi ya kuzidi kumuumiza. Kama mlitaka asichukue uraia wa Belgium basi mngekuwa responsible kwa yaliyotokea, you fools!Bora huyo manake katiba inamruhusu..kuna mwingine ana uraia wa nchi mbili..na anajua vizuri Sana kwamba hairuhusiwi.
Who told you Lissu ni raia wa Ubeligiji? Na mbona watumia lugha za kuudhi wachangiaji wenzako?. ..Jifunze kuchangia Kwa staha bila kuwakwaza wengine..hii ni jukwaa la watu wanaotumia akili zao kujadili mada tofauti tofauti bila kukwaza wengine.Tundu Lissu alienda Belgium kutibiwa baada ya kupigwa risasi 16 na serikali haijachukua hatua yoyote zaidi ya kuzidi kumuumiza. Kama mlitaka asichukue uraia wa Belgium basi mngekuwa responsible kwa yaliyotokea, you fools!
Sasa ni nani nwingine?Who told you Lissu ni raia wa Ubeligiji? Na mbona watumia lugha za kuudhi wachangiaji wenzako?. ..Jifunze kuchangia Kwa staha bila kuwakwaza wengine..hii ni jukwaa la watu wanaotumia akili zao kujadili mada tofauti tofauti bila kukwaza wengine.
Kwahiyo ni raia wa Ubelgiji?Tundu Lissu alienda Belgium kutibiwa baada ya kupigwa risasi 16 na serikali haijachukua hatua yoyote zaidi ya kuzidi kumuumiza. Kama mlitaka asichukue uraia wa Belgium basi mngekuwa responsible kwa yaliyotokea, you fools!
Uhamiaji wakiwa Makini kuchunguza Wagombea ubunge wa Kigoma mjini basi Ccm itapita bila kupingwa huko mwaka huu
Sasa ni nani nwingine?
Na sio wote mkuu..kuna mipaka mingine wakazi wake hawana hulka ya kuhoji..hii ni Sawa na kuishi Kwa shangazi au mjomba, alafu kila siku wewe ndio unaleta drama kuliko watoto wa mjomba/shangazi yako..Lazima Baba/mama mwenye nyumba aanze kuhoji umuhimu wa wewe kuishi pale.Hawa mimi huwa siwaelewi mtu yeyote anayetokea mpakani akionekana anahoji utaona wanaanza na mambo ya uraia hii nchi ina shida sana na uadilifu wa watumishi wa umma wapo kwa kutumiwa na wachache kufikia malengo yao
Haswaa Lizzu mmoja wapo, afwatiliweIdara ya Uhamiaji imeelezea mikakati yake kuelekea kipindi cha uchaguzi mkuu.
Akihojiwa na mtangazaji Albert Kilala wa Channel ten msemaji wa idara ya uhamiaji mratibu msaidizi Aziz Kilondomara amesema wanafuatilia kwa makini sifa za wagombea na wapiga kura ili kuhakikisha nchi inaendelea kuwa salama wakati wote.
Idara inawataka wananchi wenye taarifa za wagombea ambao uraia wao ni wa mashaka mashaka wawalipoti haraka watu hao kwenye mamlaka za dola.
Source: Baragumu Channel ten