Uchaguzi 2020 Uhamiaji: Wagombea kwenye uchaguzi mkuu ni lazima awe raia wa Tanzania vinginevyo atatenguliwa!

Uchaguzi 2020 Uhamiaji: Wagombea kwenye uchaguzi mkuu ni lazima awe raia wa Tanzania vinginevyo atatenguliwa!

Idara ya Uhamiaji imeelezea mikakati yake kuelekea kipindi cha uchaguzi mkuu.

Akihojiwa na mtangazaji Albert Kilala wa Channel ten msemaji wa idara ya uhamiaji mratibu msaidizi Aziz Kilondomara amesema wanafuatilia kwa makini sifa za wagombea na wapiga kura ili kuhakikisha nchi inaendelea kuwa salama wakati wote.

Idara inawataka wananchi wenye taarifa za wagombea ambao uraia wao ni wa mashaka mashaka wawalipoti haraka watu hao kwenye mamlaka za dola.

Source: Baragumu Channel ten
Mbona wengine wanagombea urais
 
Walikuwa wali mpaka mnyarwanda mzilanKENDe akachukua nchi
 
Sijui Uhamiaji wamelitafakali hili kwa kina?

Ndiyo huyu ni wa kwa Nkulunziza,
Huyo mgombea akiambiwa aonyeshe kabuli la baba yake ,halijui labda akupeleke Burundi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna mgombea mmoja kizazi chake cha pili bado wapo Burundi. Hapo anasemaje?
Duh, kiroja cha mwaka. Hawa uhamiaji mbona wamekosa kazi? Ni kama kusema naenda kufanya uchunguzi ili ifahamike kama jua linachomoza mashariki na kuazma magharibi. Mbona kipengele 39 - (a) cha Katiba kiko wazi kwamba yeyote anayewania urais lazime awe raia wa JMT. Hatuhuhitaji kukumbushwa hilo na uhamiaji. Wajielekeze kuzuia wasomali na wahabeshi wasipite nchini kuelekea sauzi. Hayo ya sifa za wagombea waiachie NEC.
 
Mafala tu tupo nao mtaani wanatuomba bia Hali ya maisha yao ngumu wanakimbizana wageni kwenye magesiti ili wapate mlo uchumi wa kati wengine wa kike wanatoa bira shida
Hao wa kike jihudumieni bila kuwaonea huruma
 
Hiyo idara,ya uhamiaji inatunika kisiasa......

Kwani nani asiyejua kuwa Askofu Kakobe alianza kupata msukosuko wa Uraia wake wakati alipomwambia Jiwe anapaswa Kutubu, kutokana na madhambi mengi anayofanya katika utawala wake?

Hivi mtanzania gani asiyejua kuwa Yule Mkurugenzi wa Twaweza, alianza kupata msuko suko wa uraia wake kutokana na kutoa ripoti ya utafiti wao, ulioonyesha kuwa umaarufu wa Magu, umeshuka kwa kiwamgo kikubwa sana?
Malaika hataki kuguswa
 
Nawatajia Tundu Lissu hivi sasa ana uraia wa Ubeligiji na kwa mujibu wa Katiba yetu hairuhusu uraia wa Nchi mbili, kwa mantiki hiyo moja kwa moja TL anakosa sifa za kuwa Mgombea Urais wa Tanzania
Mwaka huu lazima mzalishwe mtoto wa kiume aitwaye Lissu
 
Ni upumbavu kuna nani mwenye akili timamu atajipenyeza na kulazimisha uraia wa nchi hii, kama mtu amesema yeye mtanzania ashukuriwe na apongezwe.
Wewe inaonesha hujawahi kutoka nje ya hii nchi ukaona thamani yake ukiwa nje.
 
Nawatajia Tundu Lissu hivi sasa ana uraia wa Ubeligiji na kwa mujibu wa Katiba yetu hairuhusu uraia wa Nchi mbili, kwa mantiki hiyo moja kwa moja TL anakosa sifa za kuwa Mgombea Urais wa Tanzania
Na yule mtu wa Burundi/ mhutu anazo sifa?
 
Ulishasikia wapi mtu wa taifa tofauti ama raria wa nchi nyingine achunguzwe uraia wa nchi yetu? Mtu anayechunguzwa uraia anakuwa na NIDA kabisa, kitambulisho cha mpiga kura na passport kabisa ikibidi. Ndio maana unaitwa uchunguzi ama kushukiwa,...huwezi ukachunguzwa na Burundi Mtanzania na unakaa Tanzania kama sio raia wa Burundi.
Kwa hiyo kuna mgombea ambaye siyo Mtanzania ana kitambulisho cha Taifa? ana kadi ya Mpiga kura?
 
Back
Top Bottom