Mbona wengine wanagombea uraisIdara ya Uhamiaji imeelezea mikakati yake kuelekea kipindi cha uchaguzi mkuu.
Akihojiwa na mtangazaji Albert Kilala wa Channel ten msemaji wa idara ya uhamiaji mratibu msaidizi Aziz Kilondomara amesema wanafuatilia kwa makini sifa za wagombea na wapiga kura ili kuhakikisha nchi inaendelea kuwa salama wakati wote.
Idara inawataka wananchi wenye taarifa za wagombea ambao uraia wao ni wa mashaka mashaka wawalipoti haraka watu hao kwenye mamlaka za dola.
Source: Baragumu Channel ten
Ongezea na ile nyota tv ya mwanzaAsante sana mimi sidhani hata kama iko kwenye TV yangu ziko kama mbili hiyo na ya TIBISIIII
Wanataka kumtosa kijanjaJamaa ni mnywaranda nasikia anzeni naye
Walikuwa wali mpaka mnyarwanda mzilanKENDe akachukua nchiIdara ya Uhamiaji imeelezea mikakati yake kuelekea kipindi cha uchaguzi mkuu.
Akihojiwa na mtangazaji Albert Kilala wa Channel ten msemaji wa idara ya uhamiaji mratibu msaidizi Aziz Kilondomara amesema wanafuatilia kwa makini sifa za wagombea na wapiga kura ili kuhakikisha nchi inaendelea kuwa salama wakati wote.
Idara inawataka wananchi wenye taarifa za wagombea ambao uraia wao ni wa mashaka mashaka wawalipoti haraka watu hao kwenye mamlaka za dola.
Source: Baragumu Channel ten
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sijui Uhamiaji wamelitafakali hili kwa kina?
Ndiyo huyu ni wa kwa Nkulunziza,
Huyo mgombea akiambiwa aonyeshe kabuli la baba yake ,halijui labda akupeleke Burundi
Kwa comment yako hii inaonyesha umeisha mjua vizuriKuwa muungwana kwa nchi yako, mtaje tuuu
Duh, kiroja cha mwaka. Hawa uhamiaji mbona wamekosa kazi? Ni kama kusema naenda kufanya uchunguzi ili ifahamike kama jua linachomoza mashariki na kuazma magharibi. Mbona kipengele 39 - (a) cha Katiba kiko wazi kwamba yeyote anayewania urais lazime awe raia wa JMT. Hatuhuhitaji kukumbushwa hilo na uhamiaji. Wajielekeze kuzuia wasomali na wahabeshi wasipite nchini kuelekea sauzi. Hayo ya sifa za wagombea waiachie NEC.Kuna mgombea mmoja kizazi chake cha pili bado wapo Burundi. Hapo anasemaje?
CC:kipara kipyaMgombea yoyote wa urais hasiyeweza kuongea kiswahili kwa ufasaha anatakiwa kuenguliwa.
Na Rwanda piaBurundi ndiyo marafiki pekee tulionao kwa sasa, kumbe tuna blood connection!
Hao wa kike jihudumieni bila kuwaonea hurumaMafala tu tupo nao mtaani wanatuomba bia Hali ya maisha yao ngumu wanakimbizana wageni kwenye magesiti ili wapate mlo uchumi wa kati wengine wa kike wanatoa bira shida
hata asiyeongea kiingereza kilichonyooka sio mtanzania!Mgombea yoyote wa urais hasiyeweza kuongea kiswahili kwa ufasaha anatakiwa kuenguliwa.
Malaika hataki kuguswaHiyo idara,ya uhamiaji inatunika kisiasa......
Kwani nani asiyejua kuwa Askofu Kakobe alianza kupata msukosuko wa Uraia wake wakati alipomwambia Jiwe anapaswa Kutubu, kutokana na madhambi mengi anayofanya katika utawala wake?
Hivi mtanzania gani asiyejua kuwa Yule Mkurugenzi wa Twaweza, alianza kupata msuko suko wa uraia wake kutokana na kutoa ripoti ya utafiti wao, ulioonyesha kuwa umaarufu wa Magu, umeshuka kwa kiwamgo kikubwa sana?
Mwaka huu lazima mzalishwe mtoto wa kiume aitwaye LissuNawatajia Tundu Lissu hivi sasa ana uraia wa Ubeligiji na kwa mujibu wa Katiba yetu hairuhusu uraia wa Nchi mbili, kwa mantiki hiyo moja kwa moja TL anakosa sifa za kuwa Mgombea Urais wa Tanzania
Hawezi huyu Ni misukule tu mkuuThibitisha!
Wewe inaonesha hujawahi kutoka nje ya hii nchi ukaona thamani yake ukiwa nje.Ni upumbavu kuna nani mwenye akili timamu atajipenyeza na kulazimisha uraia wa nchi hii, kama mtu amesema yeye mtanzania ashukuriwe na apongezwe.
Na yule mtu wa Burundi/ mhutu anazo sifa?Nawatajia Tundu Lissu hivi sasa ana uraia wa Ubeligiji na kwa mujibu wa Katiba yetu hairuhusu uraia wa Nchi mbili, kwa mantiki hiyo moja kwa moja TL anakosa sifa za kuwa Mgombea Urais wa Tanzania
Kwa hiyo kuna mgombea ambaye siyo Mtanzania ana kitambulisho cha Taifa? ana kadi ya Mpiga kura?
Hao machoco umewa tag wa nini ?CC:kipara kipya
CC:Wakudadavua
CC:Jinga lao
CC:Magonjwa mtambuka