Aisee, next time nitakupeleka Somalia ukafurahie muziki wakeIla zambia bhana hawa maigration wa zambia ni habari nyingine linapokuja swala la raia wa kigeni
Watz wanaofanya biashara zambia wanaeelewa mziki wa maigration wa zambia jamaa wanakufata mpaka getto ulilopanga kama wakikukosa unafatwa mpaka kwa restaurant
Nakumbuka wamewai tunasa toka lusaka wakaturudisha mpaka border ya tunduma kwa gharama zao hawa jamaa ni moto
Sasa siku moja nipo zambia ndani ndani huko nilikuwa na passport ndogo ile ya dharura nakumbuka jamaa alikuwa ananigongea nikae zambia wiki mbili tu hapa nipo border ya nakonde (Tunduma) wakati mimi naeenda kukaa zaidi ya mwezi ile kuongea nae vizuri na ongo kidogo jamaa ndio kunigongea mwezi mmoja nikasema fresh ile nimefika zambia nimepiga mishe nikaona hapa twn mambo hayaeendi nikaona ngoja nifosi chaka uko vijijini niko na mzigo nikasema hapa nieende migration nioongeze siku kabisa hili ikitokea nimezidisha siku isiwe shida hapo kumbuka nimekaa wiki mbili tu zambia na nimebaakiza wiki mbili kwenye ile emergency passport yangu
Oyaah moto niliokutana nao hapo hauukuwa wa mchezo jamaa waliwaka naeendaje kuongeza siku wakati nimebakiza wiki mbili kwenye passport yan jamaa wanaongea kiwemba pale najifanya siwaeelewi nime kaa kimya nimetia huruma kama mtu aliye kamatwa kwa fumanizi aisee nimetulia pale wakiniuliza kitu ni am sorry i didnt know if its a problem am sorry officer naongea pale yale majama marefu yamepanda hewani meusi yamenikazia naskia lockup lockup maskini mimi jumlisha na kigugumizi changu niko hoi leo nimeisha najisemea kimoyomoyo
Wakanitoa pale wakanipeleka kwenye chumba kimoja iv nimekaa pale ndani kama masaa matatu iv ndio wakaja kunitoa wakanipa warnings kibao alfu wakaniongezea na wiki moja wakaniacha nieende aisee sikuamini ndio kuja kujua pale ndani palikuwa na officer mmoja amesoma bongo ko alinionea huruma tu juu sisi watz ni wakalimu sana kwa wageni hapa ali nipa lift kwenye gari yake wakati natoka pale migration tulibonga swahili mdaa huo
Kuna maisha sana huko kaka. Ukiwa na tenga moja la kuku unarudi bongo na milioni Tano taslim kibindoniMzee huko hapana
Hahah mkuu ulikuwa na bahati sana ety nimepata dharura hahah kwa mikosi yangu hapa nilikuwa nakaa ndani mwezi hahahmwaka flan nilikuwa naenda Botswana,Boda ya kuingia Zambia nikagongewa(sikumbuki ilikuwaje) stamp ya KUINGIA Zambia na sio KUPITA.Nimefika Lusaka nikachukua BUS la Botswana . ile tumetoka nje kidogo ya Lusaka afisa wa Uhamiaji huyu hapa anakagua Hati za kusaafiria. akachukua passport yangu akaikagua then akaomba tiketi yangu,nikampa..mara mninasikia" WEWE UMEGONGEWA MUHURI WA KUINGIA,UKU UNAENDA WAPI SASA?".
sikujibu,akarudia mara nyingine tena kauli hiyo hiyo..na mimi nikamjibu" nimepata dharula,nimeamua niondoke"
.jamaa akanikata jicho la ku-mind, mi nikakausha then akanitema.
Zambia ni kipengere inapokuja insu ya uhamiaji.
Miezi kadhaa nyuma nilikua kwenye basi naelekea mkoa fulani siti za nyuma yangu kulikia na vijana wa jeshi wale wapya wapya wale, basi lilifika sehemunfulani likasimama madogo walikua wanauza vitu madirishaniHata mimi sikuwaeelewa
Huko hapana, mm hata bure siend huko.. Hakuna kitu kilichonichosha kama vile viberia vyao..na ukikadharau ukakapita basiiiAisee, next time nitakupeleka Somalia ukafurahie muziki wake
kwa nchi zingine nisingeliulizwa chochote kwa kasi hiyo lakin kwa Zambia ikawa tofauti.Hahah mkuu ulikuwa na bahati sana ety nimepata dharura hahah kwa mikosi yangu hapa nilikuwa nakaa ndani mwezi hahah
Ndio muwe wazalendo kwa nchi yenuIla Zambia bhana, hawa migration wa Zambia ni habari nyingine linapokuja suala la raia wa kigeni.
Watz wanaofanya biashara Zambia wanaelewa muziki wa migration wa Zambia. Jamaa wanakufata mpaka getto ulilopanga, na wakikukosa unafuatwa mpaka kwa restaurant.
Nakumbuka wamewahi kutunasa toka Lusaka, wakaturudisha mpaka border ya Tunduma kwa gharama zao. Hawa jamaa ni moto.
Sasa, siku moja nipo Zambia ndani kabisa, nilikuwa na passport ndogo ile ya dharura. Nakumbuka jamaa alikuwa ananigongea nikae Zambia wiki mbili tu, wakati mimi naenda kukaa zaidi ya mwezi.
Ile kuongea nae vizuri na ongo kidogo, jamaa akaniandikia mwezi mmoja. Nikasema fresh. Ile nimefika Zambia, nimepiga mishe nikaona mambo hayaendi, nikasema ngoja nifosi chaka vijijini nikiwa na mzigo.
Nikajisemea, bora niende migration niongeze siku kabisa, ili ikitokea nimezidisha siku isiwe shida. Wakati huo nilikuwa nimekaa wiki mbili tu Zambia na nimebakiza wiki mbili kwenye ile emergency passport yangu.
Oyaaah, moto niliokutana nao hapo haukuwa wa mchezo. Jamaa waliwaka, “Naendaje kuongeza siku wakati umebakiza wiki mbili kwenye passport?” Wanaongea kiwemba, najifanya siwaelewi. Nimekaa kimya, nimetia huruma kama mtu aliyekamatwa kwa fumanizi. Aisee, nimetulia pale.
Wakiniuliza kitu, najibu, “I’m sorry, I didn’t know if it’s a problem. I’m sorry officer.” Naongea pale, yale majamaa marefu yamepanda hewani, meusi yamenikazia, nasikia “lockup! lockup!” Maskini mimi, jumlisha na kigugumizi changu, niko hoi, najisemea kimoyomoyo.
Wakanitoa pale, wakanipeleka kwenye chumba kimoja. Nimekaa pale ndani kama masaa matatu, ndio wakaja kunitoa. Wakanipa warnings kibao, alafu wakaniongezea na wiki moja wakaniacha niende. Aisee, sikuamini.
Ndio kuja kugundua pale ndani kulikuwa na officer mmoja amesoma Bongo, akanionea huruma tu. Juu ya kwamba sisi Watz ni wakarimu sana kwa wageni, alinisaidia. Akanipa lift kwenye gari yake wakati natoka pale migration, tukabonga Kiswahili muda huo.