Espoir_jnr
JF-Expert Member
- Aug 8, 2020
- 604
- 2,166
Hawa wanadanganyana sana.Peleka matenga kumi urudi na 50m mkuu
Broiler Zambia saivi K130.
Hawa wanadanganyana sana.Peleka matenga kumi urudi na 50m mkuu
Aisee...sio migration ni immigration
Wazambia wanapenda kula Broiler kuliko kuku wa kienyeji kwanza wanawaita Vilage chicken kwa kuwadharau wanashangaa wageni wanapenda kula hao kuku wa kienyeji kuliko kuku wao wa kisasa ndio maana baadhi ya maeneo wamepandishwa bei..Hawa wanadanganyana sana.
Broiler Zambia saivi K130.
Saivi kila kitu expensive, Labda next year tukielekea uchaguzi.Wazambia wanapenda kula Broiler kuliko kuku wa kienyeji kwanza wanawaita Vilage chicken kwa kuwadharau wanashangaa wageni wanapenda kula hao kuku wa kienyeji kuliko kuku wao wa kisasa ndio maana baadhi ya maeneo wamepandishwa bei..
sema hapo kwenye Mall yao ya Lusaka iliyo karibu na Intercity wanajaa sana hapo..Saivi kila kitu expensive, Labda next year tukielekea uchaguzi.
Wewe labda utoke na mipusi mkuu sio mipaka 😂😂😂😂😂🤪🤪🤪Mwaka huu lazima nitoke na mimi nje ya mipaka yetu
Nipo SA ila napita sana Zambia kuanzia huku Livingstone,Choma,Kariba nilivuruga sana kipindi fulani napiga mishe Harare miaka ya nyuma sana..Uko pande gani mkuu, Niko Eastern province mwaka wa 3 huu.
Zambia Migrations yao ni kitu chengine.
Ahahahahaha...acha tuone ila lazimaWewe labda utoke na mipusi mkuu sio mipaka 😂😂😂😂😂🤪🤪🤪
Sawa ndugu, SA nina ishi North west province.Nipo SA ila napita sana Zambia kuanzia huku Livingstone,Choma,Kariba nilivuruga sana kipindi fulani napiga mishe Harare miaka ya nyuma sana..
Watu nilioanza nao safari wapo Solwezi na Lusaka hapo Comesa.
Ok sawa sawa nipo JHB huku Edenville ila nakua sana Arusha huku nafata mizigo tu wiki mbili narudi home huko North West mwezi wa tatu nilipata Land cruiser moja mbichi sana ipo Arusha kwa sasa hivi...Sawa ndugu, SA nina ishi North west province.
Somewhere Vryburg.
Ila kuja uko mpaka December.
Zambia things are not fine currently, Ila sio beach baya sana.
Sawa ndugu.Ok sawa sawa nipo JHB huku Edenville ila nakua sana Arusha huku nafata mizigo tu wiki mbili narudi home huko North West mwezi wa tatu nilipata Land cruiser moja mbichi sana ipo Arusha kwa sasa hivi..
Ili jambo umeliongea kiushabiki sana , nenda kigoma huko au au maeneo ya mpakani immigiration wanapiga kazi ajabu adi kwenye vichaka wapo wakiwakamata ni jela moja kwa mojaSi passport tu unapewa kadi ya CCM, Namba ya nida, kadi ya mpiga kura na cheti cha kuzaliwa
Achana na ushabiki wa hovyo watu watu wanapewa rasimali za nchi sembuse na Hayo makaratasi.Ili jambo umeliongea kiushabiki sana , nenda kigoma huko au au maeneo ya mpakani immigiration wanapiga kazi ajabu adi kwenye vichaka wapo wakiwakamata ni jela moja kwa moja
Busia na malaba kuacha kitu lazimaUmenikumbusha mbali BODA ya BUSIA. Hongo nje nje.
Kazi ni kipimo cha utu
Noma sana aiseeSomalia,SA,Zimbabwe sijui Mozambique hawafikii kwa Wazambia mazee hapo sikia tu mtu unarudi zako nyumbani unashushwa kwenye Bus wakiona vibali havieleweki wanakupeleka ndani harafu utatokea mahakamani pana kondakta mmoja wa Taqwa alikua anafanya mazoea kwa sababu kila siku anapita muda mwingine passport yake anaenda akirudi agongi Tunduma wakati Bus linaonekana limetoka Daslm alitoa hela zote walikataa alibaki pale kama mwezi hivi ndio akatokea mahakamani na mtu kapita njia hiyo zaidi ya miaka 10...
Mimi Wazambia nakua kamili ila pia hawawezi kugundua kwa sababu naongea Kinyanja vizuri wao ukijua lugha basi ni rai kama Malawi hawana mambo mengi..