Labda walikuwa wanataka kumtoa chochote wakaona haelekei kabisaa.Akili zetu za kiafrika hizi, bado wiki mbili kwanini wanataka kukuweka lockup, wamelewa madaraka
Una lisura lipana kama walivyo wao, Kam sivyo basi una asili ya mbeya na weusi wa kifipaMi nilikuwa na bahati sana sijui kwa sababu ya muonekano yaani wakinikuta kwenye gari nasafiri watapekuliwa wengine tu mi wananiacha alafu mbaya zaidi hata lugha Yao sijui (kitumbuka)
Mkuu naomba niku DM nikuulize kitu maana nilikuwa na maswali nataka muuliza mtu aliyeko huko au yupo na uzoefu huko.Ila Zambia bhana, hawa migration wa Zambia ni habari nyingine linapokuja suala la raia wa kigeni.
Watz wanaofanya biashara Zambia wanaelewa muziki wa migration wa Zambia. Jamaa wanakufata mpaka getto ulilopanga, na wakikukosa unafuatwa mpaka kwa restaurant.
Nakumbuka wamewahi kutunasa toka Lusaka, wakaturudisha mpaka border ya Tunduma kwa gharama zao. Hawa jamaa ni moto.
Sasa, siku moja nipo Zambia ndani kabisa, nilikuwa na passport ndogo ile ya dharura. Nakumbuka jamaa alikuwa ananigongea nikae Zambia wiki mbili tu, wakati mimi naenda kukaa zaidi ya mwezi.
Ile kuongea nae vizuri na ongo kidogo, jamaa akaniandikia mwezi mmoja. Nikasema fresh. Ile nimefika Zambia, nimepiga mishe nikaona mambo hayaendi, nikasema ngoja nifosi chaka vijijini nikiwa na mzigo.
Nikajisemea, bora niende migration niongeze siku kabisa, ili ikitokea nimezidisha siku isiwe shida. Wakati huo nilikuwa nimekaa wiki mbili tu Zambia na nimebakiza wiki mbili kwenye ile emergency passport yangu.
Oyaaah, moto niliokutana nao hapo haukuwa wa mchezo. Jamaa waliwaka, “Naendaje kuongeza siku wakati umebakiza wiki mbili kwenye passport?” Wanaongea kiwemba, najifanya siwaelewi. Nimekaa kimya, nimetia huruma kama mtu aliyekamatwa kwa fumanizi. Aisee, nimetulia pale.
Wakiniuliza kitu, najibu, “I’m sorry, I didn’t know if it’s a problem. I’m sorry officer.” Naongea pale, yale majamaa marefu yamepanda hewani, meusi yamenikazia, nasikia “lockup! lockup!” Maskini mimi, jumlisha na kigugumizi changu, niko hoi, najisemea kimoyomoyo.
Wakanitoa pale, wakanipeleka kwenye chumba kimoja. Nimekaa pale ndani kama masaa matatu, ndio wakaja kunitoa. Wakanipa warnings kibao, alafu wakaniongezea na wiki moja wakaniacha niende. Aisee, sikuamini.
Ndio kuja kugundua pale ndani kulikuwa na officer mmoja amesoma Bongo, akanionea huruma tu. Juu ya kwamba sisi Watz ni wakarimu sana kwa wageni, alinisaidia. Akanipa lift kwenye gari yake wakati natoka pale migration, tukabonga Kiswahili muda huo.
kweli aiseeZambia,Malawi,Mozambique zote nchi za kijingajinga rushwa imekuwa ni lazima sio ombi uwe na kosa usiwe na kosa ni Sawa Sawa,Zambia nilipita kipindi cha corona na mipaka ilikuwa imefungwa kipindi hicho nilienjoy show,mwisho wa siku sio kuhusu uhamiaji tu ni kwamba wananchi wa nchi hizo wamezaliwa na roho mbaya
Noma sana pole mkuuAisee umenikumbusha mwezi wa tatu tu apo niliendaa malawi kuna mizigo nilikuwa nafutriaa kule kuna geti tatu kutoka mpakani mpaka wilaya kalonga . geti la kwanza nikavuka salama la pili nikavuka vizuri huku roho inalia paa.. geti la tatu sasa ndiyo kimbembe.. kwanza wadau wal liambiwa niwe naongea kilugha chetu kinaendana na lugha yao sasa yure bwana kaniuliza swali nikajibu vzurii tu kaniuliza nimwambie waziri mkuu wao anaitwa nani😂😂 nikawa namuangalia tuu kaona haitoshi kaniambiaa nimpe simu yangu kaenda moja kwa moja wasap kakuta kiswahili kitupu kama kuna kitu sijawaza ni kuhusu smu kama ataingia waspu.. badae nikashushwa na kuniweka chini ya ulinzi sina chochote yani.. we sikia tu
Badae dereva akaja kunisadiaa tulimpaa kama 30k iv ya bongo.. kwetu huku wala hata hawasumbuliwi..
unabaki kuwa mtukutuNa vipi ningezidisha siku ningekuwa ndio mwema au??
sio migration ni immigrationIla Zambia bhana, hawa migration wa Zambia ni habari nyingine linapokuja suala la raia wa kigeni.
Watz wanaofanya biashara Zambia wanaelewa muziki wa migration wa Zambia. Jamaa wanakufata mpaka getto ulilopanga, na wakikukosa unafuatwa mpaka kwa restaurant.
Nakumbuka wamewahi kutunasa toka Lusaka, wakaturudisha mpaka border ya Tunduma kwa gharama zao. Hawa jamaa ni moto.
Sasa, siku moja nipo Zambia ndani kabisa, nilikuwa na passport ndogo ile ya dharura. Nakumbuka jamaa alikuwa ananigongea nikae Zambia wiki mbili tu, wakati mimi naenda kukaa zaidi ya mwezi.
Ile kuongea nae vizuri na ongo kidogo, jamaa akaniandikia mwezi mmoja. Nikasema fresh. Ile nimefika Zambia, nimepiga mishe nikaona mambo hayaendi, nikasema ngoja nifosi chaka vijijini nikiwa na mzigo.
Nikajisemea, bora niende migration niongeze siku kabisa, ili ikitokea nimezidisha siku isiwe shida. Wakati huo nilikuwa nimekaa wiki mbili tu Zambia na nimebakiza wiki mbili kwenye ile emergency passport yangu.
Oyaaah, moto niliokutana nao hapo haukuwa wa mchezo. Jamaa waliwaka, “Naendaje kuongeza siku wakati umebakiza wiki mbili kwenye passport?” Wanaongea kiwemba, najifanya siwaelewi. Nimekaa kimya, nimetia huruma kama mtu aliyekamatwa kwa fumanizi. Aisee, nimetulia pale.
Wakiniuliza kitu, najibu, “I’m sorry, I didn’t know if it’s a problem. I’m sorry officer.” Naongea pale, yale majamaa marefu yamepanda hewani, meusi yamenikazia, nasikia “lockup! lockup!” Maskini mimi, jumlisha na kigugumizi changu, niko hoi, najisemea kimoyomoyo.
Wakanitoa pale, wakanipeleka kwenye chumba kimoja. Nimekaa pale ndani kama masaa matatu, ndio wakaja kunitoa. Wakanipa warnings kibao, alafu wakaniongezea na wiki moja wakaniacha niende. Aisee, sikuamini.
Ndio kuja kugundua pale ndani kulikuwa na officer mmoja amesoma Bongo, akanionea huruma tu. Juu ya kwamba sisi Watz ni wakarimu sana kwa wageni, alinisaidia. Akanipa lift kwenye gari yake wakati natoka pale migration, tukabonga Kiswahili muda huo.
Somalia,SA,Zimbabwe sijui Mozambique hawafikii kwa Wazambia mazee hapo sikia tu mtu unarudi zako nyumbani unashushwa kwenye Bus wakiona vibali havieleweki wanakupeleka ndani harafu utatokea mahakamani pana kondakta mmoja wa Taqwa alikua anafanya mazoea kwa sababu kila siku anapita muda mwingine passport yake anaenda akirudi agongi Tunduma wakati Bus linaonekana limetoka Daslm alitoa hela zote walikataa alibaki pale kama mwezi hivi ndio akatokea mahakamani na mtu kapita njia hiyo zaidi ya miaka 10...Aisee, next time nitakupeleka Somalia ukafurahie muziki wake
Peleka matenga kumi urudi na 50m mkuuKuna maisha sana huko kaka. Ukiwa na tenga moja la kuku unarudi bongo na milioni Tano taslim kibindoni
Zambia Migrations yao ni kitu chengine.Somalia,SA,Zimbabwe sijui Mozambique hawafikii kwa Wazambia mazee hapo sikia tu mtu unarudi zako nyumbani unashushwa kwenye Bus wakiona vibali havieleweki wanakupeleka ndani harafu utatokea mahakamani pana kondakta mmoja wa Taqwa alikua anafanya mazoea kwa sababu kila siku anapita muda mwingine passport yake anaenda akirudi agongi Tunduma wakati Bus linaonekana limetoka Daslm alitoa hela zote walikataa alibaki pale kama mwezi hivi ndio akatokea mahakamani na mtu kapita njia hiyo zaidi ya miaka 10...
Mimi Wazambia nakua kamili ila pia hawawezi kugundua kwa sababu naongea Kinyanja vizuri wao ukijua lugha basi ni rai kama Malawi hawana mambo mengi..