Uhamisho kwa njia ya mfumo wa ESS

Uhamisho kwa njia ya mfumo wa ESS

CHANGER

Member
Joined
Apr 28, 2012
Posts
96
Reaction score
14
Habari Wadau,

Mwenye uelewa juu ya kuomba maombi ya Moja kwa Moja kwenye mfumo naomba ufafanuzi. kati ya vacancy request na transfer request kipi kinatangulia?

Je kutokujaza vacancy request inaweza ikapelekea maombi yako kukataliwa au kuandikiwa "vacancy not
badgeted"?
Screenshot_20240429-124542.jpg
Screenshot_20240430-033147.jpg
 
Vacancy request:- unaomba nafasi kwenye taasisi ambayo imetangaza nafasi za transfer

Transfer request:- unaomba nafasi ya uhamisho kwenye taasisi, kama uhamisho wa kawaida.

NB:-
Kiafya.

Vacancy request:- una select specific Institute
Transfer request:- una select mkoa mzima

#YNWA
 
Habari Wadau,

Mwenye uelewa juu ya kuomba maombi ya Moja kwa Moja kwenye mfumo naomba ufafanuzi. kati ya vacancy request na transfer request kipi kinatangulia?

Je kutokujaza vacancy request inaweza ikapelekea maombi yako kukataliwa au kuandikiwa "vacancy not
badgeted"?View attachment 2977140View attachment 2977139
Anza kwa kumtamfuta wa kubadilishana naye halafu uso kwa uso ofisi ya utumishi uwaeleze kusudio lako wakupe mawazo kabla ya kuingia kwenye mfumo.
 
Changamoto iliyopo sasa ni wenye vyeo,na madaraja tofauti hawawezi kuonana kwenye mfumo hata kama mpo kada moja,na hili watu wa utumishi ni kama wameziba masikio.
 
Vacancy request:- unaomba nafasi kwenye taasisi ambayo imetangaza nafasi za transfer

Transfer request:- unaomba nafasi ya uhamisho kwenye taasisi, kama uhamisho wa kawaida.

NB:-
Kiafya.

Vacancy request:- una select specific Institute
Transfer request:- una select mkoa mzima

#YNWA
Asante kwa ufafanuzi
 
N
Anza kwa kumtamfuta wa kubadilishana naye halafu uso kwa uso ofisi ya utumishi uwaeleze kusudio lako wakupe mawazo kabla ya kuingia kwenye mfumo.
Nimejaribu kutafuta wa kubadilishana nae sijafanikiwa maana huu mkoa hata ambao ni wazawa hawataki kurudi kwao.
 
Kwa upande wangu shida ipo kwa I.T wetu,nilituma maombi ya kuhamia taasisi fulani lakini mpaka sasa ameshindwa kumuunganisha supervisor wangu ili aweze kuona ombi langu na kuliidhinisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Changamoto iliyopo sasa ni wenye vyeo,na madaraja tofauti hawawezi kuonana kwenye mfumo hata kama mpo kada moja,na hili watu wa utumishi ni kama wameziba masikio.
Huo mfumo kwa njia yoyote ile hauwezi kufanya kazi paka uwasiliane na viongozi wako (supervisor) na HR...Yaani hatua za manual ndio nyingi sana kuliko online.

ukijifanya mzee wa olnine request itakaa mwaka hapo hata ya likizo.
 
Hivi kwani sasa hivi hawapokei kabisa barua za uhamisho bila kutumia mfumo.? Maana taasisi nyingi bado hazijawa active ktk issue hizi, wameishia kujaza task na sub task tu
 
K
N

Nimejaribu kutafuta wa kubadilishana nae sijafanikiwa maana huu mkoa hata ambao ni wazawa hawataki kurudi kwao.
Kwan unafanya uhamisho wa kubadilishana au ule wa kutafuta nafas kwenye taasisi then unaomba kuhamia, uhamisho wa kubadilishana kwa sasa najua utakua una sumbua sana kwa sababu ya ugumu wa kuonana kwenye mfumo, pia uko kada gan unayotaka kubadilishana na mtu..?
 
Siyo wa kubadilishana, nimeomba wa nafasi supervisor akaaprove baada ya hapo nikitaka kusubmit tena kwenda kwa mkuu wa idara inaniandikia " vacancy not budgeted"
 
Back
Top Bottom