Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa ukichagia Mkoa mzima mfumo utajuaje kama nahitaji taasisi fulani au zinatokea taasisi zote zilizopo ndani ya Mkoa huo then unachagua..?Vacancy request:- unaomba nafasi kwenye taasisi ambayo imetangaza nafasi za transfer
Transfer request:- unaomba nafasi ya uhamisho kwenye taasisi, kama uhamisho wa kawaida.
NB:-
Kiafya.
Vacancy request:- una select specific Institute
Transfer request:- una select mkoa mzima
#YNWA
Itakua kigoma hiyo,pole sana🤣N
Nimejaribu kutafuta wa kubadilishana nae sijafanikiwa maana huu mkoa hata ambao ni wazawa hawataki kurudi kwao.
Atasubiri tren ya SGR stend ya Magufuri.🤣🤣Pole utasubiri sana
Je Mimi nimeomba vacancy transfer katika taasisi x je sijui kifuatacho watanijibu auVacancy request:- unaomba nafasi kwenye taasisi ambayo imetangaza nafasi za transfer
Transfer request:- unaomba nafasi ya uhamisho kwenye taasisi, kama uhamisho wa kawaida.
NB:-
Kiafya.
Vacancy request:- una select specific Institute
Transfer request:- una select mkoa mzima
#YNWA
Kaka kama normal transfer ni ku select mkoa mzima, taasisi unayoitaka kwenye mkoa husika unaichaguaje? Au hapo transfer inakuajeVacancy request:- unaomba nafasi kwenye taasisi ambayo imetangaza nafasi za transfer
Transfer request:- unaomba nafasi ya uhamisho kwenye taasisi, kama uhamisho wa kawaida.
NB:-
Kiafya.
Vacancy request:- una select specific Institute
Transfer request:- una select mkoa mzima
#YNWA
Unaiambia taasisi iku select.Kaka kama normal transfer ni ku select mkoa mzima, taasisi unayoitaka kwenye mkoa husika unaichaguaje? Au hapo transfer inakuaje
Kwa hiyo what matters kabla ya ku load ombi lazima uende physically kwenye taasisi husika uongee nao wakuhakikishie wanakuchukua ndo urudi kwenye mfumo( just to follow procedures) ila uwe ushajihakikishia sio?Unaiambia taasisi iku select.
Kama ni mkoa mzima, ina maana taasisi zoteee za mkoa husika ZINAKUONA kwenye ESS.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Big YESSKwa hiyo what matters kabla ya ku load ombi lazima uende physically kwenye taasisi husika uongee nao wakuhakikishie wanakuchukua ndo urudi kwenye mfumo( just to follow procedures) ila uwe ushajihakikishia sio?