Anatoboa akiijua taasisi yenye kumuhitaji.Pambana na norma transfer, huenda ukatoboa, vacany transfer hutoboi.
Anza kwa kumtamfuta wa kubadilishana naye halafu uso kwa uso ofisi ya utumishi uwaeleze kusudio lako wakupe mawazo kabla ya kuingia kwenye mfumo.Habari Wadau,
Mwenye uelewa juu ya kuomba maombi ya Moja kwa Moja kwenye mfumo naomba ufafanuzi. kati ya vacancy request na transfer request kipi kinatangulia?
Je kutokujaza vacancy request inaweza ikapelekea maombi yako kukataliwa au kuandikiwa "vacancy not
badgeted"?View attachment 2977140View attachment 2977139
Taasisi nyingi hazijafungulia dirisha la vacancy,hivyo ni vigumu kujua taasisi gani inauhitaji wa nafasi anayoomba.Anatoboa akiijua taasisi yenye kumuhitaji.
#YNWA
Changamoto iliyopo sasa ni wenye vyeo,na madaraja tofauti hawawezi kuonana kwenye mfumo hata kama mpo kada moja,na hili watu wa utumishi ni kama wameziba masikio.Anza kwa kumtamfuta wa kubadilishana naye halafu uso kwa uso ofisi ya utumishi uwaeleze kusudio lako wakupe mawazo kabla ya kuingia kwenye mfumo.
Asante kwa ufafanuziVacancy request:- unaomba nafasi kwenye taasisi ambayo imetangaza nafasi za transfer
Transfer request:- unaomba nafasi ya uhamisho kwenye taasisi, kama uhamisho wa kawaida.
NB:-
Kiafya.
Vacancy request:- una select specific Institute
Transfer request:- una select mkoa mzima
#YNWA
Nimejaribu kutafuta wa kubadilishana nae sijafanikiwa maana huu mkoa hata ambao ni wazawa hawataki kurudi kwao.Anza kwa kumtamfuta wa kubadilishana naye halafu uso kwa uso ofisi ya utumishi uwaeleze kusudio lako wakupe mawazo kabla ya kuingia kwenye mfumo.
Kada ipi na ni wapi ulipo?N
Nimejaribu kutafuta wa kubadilishana nae sijafanikiwa maana huu mkoa hata ambao ni wazawa hawataki kurudi kwao.
Huo mfumo kwa njia yoyote ile hauwezi kufanya kazi paka uwasiliane na viongozi wako (supervisor) na HR...Yaani hatua za manual ndio nyingi sana kuliko online.Changamoto iliyopo sasa ni wenye vyeo,na madaraja tofauti hawawezi kuonana kwenye mfumo hata kama mpo kada moja,na hili watu wa utumishi ni kama wameziba masikio.
Kwan unafanya uhamisho wa kubadilishana au ule wa kutafuta nafas kwenye taasisi then unaomba kuhamia, uhamisho wa kubadilishana kwa sasa najua utakua una sumbua sana kwa sababu ya ugumu wa kuonana kwenye mfumo, pia uko kada gan unayotaka kubadilishana na mtu..?N
Nimejaribu kutafuta wa kubadilishana nae sijafanikiwa maana huu mkoa hata ambao ni wazawa hawataki kurudi kwao.
Hivi mfank umepata nafas ktk taasisi nyingine afu taasisi yako ikawa inakubania kuhama apo unatakiwa ufanyajePambana na norma transfer, huenda ukatoboa, vacany transfer hutoboi.
Siyo wa kubadilishana, nimeomba wa nafasi supervisor akaaprove baada ya hapo nikitaka kusubmit tena kwenda kwa mkuu wa idara inaniandikia " vacancy not budgeted"K
Kwan unafanya uhamisho wa kubadilishana au ule wa kutafuta nafas kwenye taasisi then unaomba kuhamia, uhamisho wa kubadilishana kwa sasa najua utakua una sumbua sana kwa sababu ya ugumu wa kuonana kwenye mfumo, pia uko kada gan unayotaka kubadilishana na mtu..?
Fact hii aiseeKama wenyeji ndo Hawa basi huko ni pagumu mkuu.