Uhamisho kwa njia ya mfumo wa ESS

Sasa ukichagia Mkoa mzima mfumo utajuaje kama nahitaji taasisi fulani au zinatokea taasisi zote zilizopo ndani ya Mkoa huo then unachagua..?
 
Je Mimi nimeomba vacancy transfer katika taasisi x je sijui kifuatacho watanijibu au
 
Kaka kama normal transfer ni ku select mkoa mzima, taasisi unayoitaka kwenye mkoa husika unaichaguaje? Au hapo transfer inakuaje
 
Unaiambia taasisi iku select.

Kama ni mkoa mzima, ina maana taasisi zoteee za mkoa husika ZINAKUONA kwenye ESS.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Kwa hiyo what matters kabla ya ku load ombi lazima uende physically kwenye taasisi husika uongee nao wakuhakikishie wanakuchukua ndo urudi kwenye mfumo( just to follow procedures) ila uwe ushajihakikishia sio?
 
Big YESS

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…