Uhamisho wa wakazi wa Gaza kwenda Indonesia kwa muda wapendekezwa na timu ya maridhiano ya kusitisha vita ili kuikarabati Gaza


Mchungaji mbona mnanikimbia au mumeelewa kuwa wanaotafsiri wanaona aibu wanajaribu kubadilisha neno gay na kuweka eunuch ??
 
Makubaliano yamefikiwa kuhusu mfungwa wa Israel Arbel Yahud; ataachiliwa Ijumaa ijayo, huku Israel ikiwaachilia wafungwa 30 wanaotumikia vifungo vya maisha.— Gazeti la Kiebrania Maariv.
 
Wamekataa kwenda kwa waarabu wenzao ambao wanaongea lugha moja wamekataa kwenda Ulaya waeende Indonesia😂
Hivi kuna nchi ya ulaya inaweza kukaribisha magaidi sebuleni kwake.?!
You must be joking.
 
Huyu bed-guard alikuwakuwaje huyu?
Ama ni kama nilivyoona picha flani ya mtumwa akimpepelea upepo Sultani wakati akiwa kitandani kalala na mkewe usiku?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…